Kuitambua tecno p3 original.

Kuitambua tecno p3 original.

hakuna tecno faki,tecno ni branded name tu, maana tecno zinatengenezwa na viwanda vya china ambavyo vinatengeneza simu kwa bunch, kila kampuni inayoweka order inatengenezewa kama ilivyoweka order na otlooking yake. ni kama ilivyo kwa pikipiki za mchina, yaani wanafanya customaization hata mimi naweza irder simu branded nduu/ mamaya, machipset ya mediatek yapo kibaaao na bei chee tofauti na chipset za qualcom
 
Naomba mnisaidie ndugu mamna ya kuitambua simu original TCNO P3.

haya ukiinunua download soplftware ya cpu-z itakupa details zote za simu kama zilivyo kwenye manuals book, zikiwa tofaut ni feki mfano adreno,cores,cpu chipset vendor etc,
 
Anayejua ufake wa kitu ni mtengenezaji wa hicho kitu ,anaweza kuamua original yake ndo iwe hivyo huwezi kusema ni fake wakati yeye ndo kaamua model yake iwe hivyo hata kama haikufurahishi
.
Kwann useme hivi?
.
Kwa mfano mimi nikitengeneza simu alafu nikaiita C++ smartphone ......
Itakuwa ni original
.
Ila nikitengeneza simu then nikaiita NOKIA hiyo itakuwa ni fake bwana joe
.
 
Anayejua ufake wa kitu ni mtengenezaji wa hicho kitu ,anaweza kuamua original yake ndo iwe hivyo huwezi kusema ni fake wakati yeye ndo kaamua model yake iwe hivyo hata kama haikufurahishi

.
Haaaaaaa kumbeeeee? Lol
.
.
 
Kina vitu kiujumla vinatuchanganya na kuleta sintofahamu hii, kuna>
Simu fake
Simu duni na
Simu orijino

Simu fake ni kutengeneza simu kwa kutumia jina la mwenzako wakati kiuhalisia sio,na kwa kiwango duni
Mfano S4 clone nk nk

Simu duni ni simu ambazo zinatengenezwa kwa kiwango duni kisichokidhi viwango vya kimataifa, most oft IME zao hazitambuliki
Mfano Tecno na mataka taka kibao yaliojaa kariakoo

Simu Original ni simu iliotengenezwa na wahusika walio buni bidhaa hiyo

Sasa hapa utaona wakati mwingine simu inaweza ikawa duni lakini ikawa original kwa maana ya kwamba imetengenezwa na wahusika walio ibuni mfano Tecno
Nimepapenda hapo, kumbe bidhaa yeyote ambayo haijakopiwa (bila kujali ni duni au original) ni original. Sababu imetoka moja kwa moja kwa mbunifu.!!
 
Usiniguse!! faking some thing is simply an act of imitating what is existing, so fake its jus come into existence after existence of sm thing! fake haina maana kua haimfurahishi mtu, hapana, fake inaweza ikawa nzuri kwa mtu mwingine zaidi ya Original! Issue ni kwamba si kile kilichovumbuliwa, bali ni kivuli chake hata kama mtengenezaji ni yule yule! Na na sifa tofauti zenye viwango duni ndio huitambulisha, hii inatokana na mahitaji ya bidhaa hiyo kwa watu wasio na uchumi mzuri! Ndio hayo tuu.
 
Kweli kabisa kaka. Hapa watu wanaleta siasa kwenye technology hapa jukwaani asilimia 80 hawajui maana ya fake. Wao wanashindwa kutofautisha features na duplicated item.
 
Umenena vyema ,hapo kwenye nyekundu vipi sasa simu za chna zote zinekan ni feki? mfano TECNO wameimite wapi
Usiniguse!! faking some thing is simply an act of imitating what is existing, so fake its jus come into existence after existence of sm thing! fake haina maana kua haimfurahishi mtu, hapana, fake inaweza ikawa nzuri kwa mtu mwingine zaidi ya Original! Issue ni kwamba si kile kilichovumbuliwa, bali ni kivuli chake hata kama mtengenezaji ni yule yule! Na na sifa tofauti zenye viwango duni ndio huitambulisha, hii inatokana na mahitaji ya bidhaa hiyo kwa watu wasio na uchumi mzuri! Ndio hayo tuu.
 
Mkuu usiniguse hatujaenda vizuri!
Ukivumbua kitu hakiwezi kikawa fake hata siku moja! Labda kinaweza kua si bora tuu ( Duni ) kulingana na teknologia na malighafi uliotumia!
Hivyo basi Tecno, Huwawei, na brand nyingine na matunda ya uvumbuzi wa wachina japo ni duni ila ni Original Mobile From China. Akitokea mtu Tanzania akatengeneza Brands hizo yaani Tecno na Huwawei Basi ni Fake!
Samsung, Iphone Fake, LG, Nokia from china si brands zilizotokana na uvumbuzi wa wachina hivyo ni fake.
Tofautisha hivi
Original, Duni, na Fake! Brands zote za wachina ni Duni sio Fake.
 
Hivi neno original maana yake unafahamu sawasawa?
Is it true kuwa kila kinachotengenezwa china si original?

the term original as i used: meant, same quality and quanty as mentioned or advertised. eg: simu itangazwe ina vitu flan ambavyo ndivyo unavyoviona au utakapofanya majaribio utaona ndio vilevile walivyodai wameviweka

mchina: (not reffering to the origin of the product, but kwa kuwa china ndio wamebobea kuexport) sub starndard ama counterfeit products. sub starndard ni product ambazo hazifikii viwango vya ubora uliowekwa na mamlaka husika(eg tbs) au hazina ubora ambao uliotangazwa kuwa zinao. mfano waseme simu ina uzito wa gram 60 ila ilipopimwa ikakutwa ina zaidi au pungufu n.k
lakini counterfeit ni alphonce ku imitate bidhaa ya joe katika ubora wako either wa chini au wa juu na kuweka label kuwa ni original product ya joe... hii inaishia kumislead watu wanunue bidhaa yako wakidhani ni ya joe. eg zile simu ina label ya nokia na externally zinafafanana ndani zisifanane kabisaaaa
 
unapokuwa mtaalamu na ukamshauri mtu anunue simu kama hii kupunguza gharama nakuwa napata hofu kidogo

t4.jpg
 
Well explained, sasa back to tecno, wao ni registered company kama yecno, bidhaa wanazotengeza ni za tecno, wanatangaza specs za bidhaa zao kama zilivyo bila kidanganya hali halisi. Sasa napata tabu kwa nini tuseme bidhaa zao si original?

Kwa sababu kampuni iko china?
Kuna bidhaa kama hizo kwa jina hilo hilo zimeshawahi kutengenezwa na kampuni nyingine ambayo ndio original?
 
wazungu wana msemo. when the deal is too sweet think.twice. yani jamaa watengeneze simu yenye specs almost sawa na s4 kisha wauze half of the price. Wao wanapata wapi malighafi?
chief-mkwawa uwa anawauliza head quarters za tecno ziko wapi. hakuna anaetoaga jibu.

china kwenyewe hawatumii iyo simu.

hakuna detailed information kuhusu tecno. wapi utapata msaada online in case simu imezingua

na hasa wametarget africa nigeria ndio nchi yenye watu wengi mno africa pia afrika mashariki udhibiti wa ubora hakuna.
 
Last edited by a moderator:
unapokuwa mtaalamu na ukamshauri mtu anunue simu kama hii kupunguza gharama nakuwa napata hofu kidogo

t4.jpg

hivi ndugu, ushawah kuitumia tecno p3 na kuona utendaji wake!? maana naona unaweka picha za tecno za kawaida ! tukirudi kwenye smart phones ambazo ni high quality na ni affordable kwa wengi! nilinunua mwaka jana tecno P3 kwa lak 1.25 kama simu ya kujishikiza tu, lakini nivoanza kuitumia sikuamini ubora wake ukilinganisha na bei yake!
 
Well explained, sasa back to tecno, wao ni registered company kama yecno, bidhaa wanazotengeza ni za tecno, wanatangaza specs za bidhaa zao kama zilivyo bila kidanganya hali halisi. Sasa napata tabu kwa nini tuseme bidhaa zao si original?

Kwa sababu kampuni iko china?
Kuna bidhaa kama hizo kwa jina hilo hilo zimeshawahi kutengenezwa na kampuni nyingine ambayo ndio original?
Tecno ni kampuni registered? Where?
Tecno nisawa na Pikipiki,nguo na bidhaa za kichina hata wewe unaweza weka oda zikatengenezwa zikaitwa alphonce.NET
Kwenye ulimwengu wa smartphone Tecno haipo kabisa ingawaje simu zake zipo na zinafanya kazi poa kimtindo
Hakuna Expert wowote wanaothibitisha spec za tecno zaidi ya web yao na blog uchwara za kiafrika ambalo ndio soko lao................. DUMPING MARKET chochote we lete tu watu wananunua
 
Hivi neno original maana yake unafahamu sawasawa?
Is it true kuwa kila kinachotengenezwa china si original?

Dell computers,compaq etc zote ni za china na ni original inakuaje tecno zote ziwe fake???? Basi kila kitokacho china ni fake
 
izo viwanda vinawekwa china coz cheap labor. lakini wana assemble kwao. angalia product za apple utaona made in china assembled in california. na izo kampuni ziko registered us. au uk
 
So china ndio wanatengeneza components zote hao wengine ni OEM
 
Dell computers,compaq etc zote ni za china na ni original inakuaje tecno zote ziwe fake???? Basi kila kitokacho china ni fake

nokia wana kiwanda chao china kinajulikana na wanalipa kodi

apple wanatengenezewa na foxcon china wanajulikana wanalipa kodi.

hebu nipe source inayoonesha kiwanda cha tecno
 
Back
Top Bottom