ymollel
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 3,095
- 2,291
ukiita c++ ila ikafanana na nokia in any way (hardware au software) kwa lengo la kumpumbaza mnunuaji ujue iyo ni feki
hata kitu kikiwa sub standard nacho ni feki. we hujiulizi kwanini tecno yenye specs kubwa ambazo ni equivalent na simu nyingine kama samsung au zingine ila utaona bei yake ni ya chini mnoooo kulinganisha na wengine. wao wanapata wapi malighafi?
uwa husikii apple wamesue samsung kwa kuiga design, na kesi kama izo. tecno hawana hata kiwanda cha simu.
Kwa maelezo yako basi SAMSUNG ni feki. Pia brand zote zilizokuja baada ya iphone ni feki sio? Tumekariri vibaya . Mbona kwa laptops hatusemi kuwa samsung laptop ni feki? au panasonic laptop ni feki?
Kumbuka kwamba this is technology market and price doesnt mean QUALITY. What matters is the specs and durability. People nowadays are not after big brand names.