Kuitambua tecno p3 original.

Kuitambua tecno p3 original.

So china ndio wanatengeneza components zote hao wengine ni OEM

chief-mkwawa kishakujibu. kwenye post juu ya hii. tecno blaza ni kikampuni kiko nyuma ya nyumba ya mtu. si ajabu hata kodi hawalipi huko kwao
 
Last edited by a moderator:
nokia wana kiwanda chao china kinajulikana na wanalipa kodi

apple wanatengenezewa na foxcon china wanajulikana wanalipa kodi.

hebu nipe source inayoonesha kiwanda cha tecno

Sasa hapo tunaenda nje ya topic. Kujua jina la kiwanda na location pamoja na mambo ya kulipa kodi sio kigezo. Kwani ni bidhaa ngapi zenye ubora hafifu na viwanda vinajulikana? What about SINGSUNG tv na fridges ya singapore? Hilo ni swala la popularity na sio original or fake. Na kama hao jamaa hawana kiwanda basi tecno zinalimwa au???
 
nenda kwenye website ya singsung ujisomee mwenyewe walichoandika. singsung ni kama tecno hawana kiwanda. na wao ni walewale wakuweka oda with few customizations plus branding kazi kwisha.

chief kakuuliza kuhusu kiwanda hapo ilikuwa ni kutaka kutrace ubora wa iyo bidhaa. sasa kama hawana kiwanda iyo R & D wanafanyia wapi? tatizo waafrika hasa watanzania hatutaki kujiuliza maswali magumu. tunataka maswali marahisi tu kama kitu gani ambacho s4 inafanya tecno haifanyi

kama hawalipi kodi tayari question mark ni nyingi hapo kuhusu ubora wa bidhaa zao....

kuna vitu vingi vya kujiuliza kabla hujaamua kufanya maamuzi ya mwisho. huchagui demu wa kuoa kutokana na figa yake ya ukweli umfikishe huko hawezi hata kuosha vyombo.
 
Back
Top Bottom