Kuna baadhi ya wanaume ni waoga hasa kutokana na maisha waliyoyaona... kutokana na woga/hofu hii basi wanachagua kuwowa kwanza ndoa ni baadae au baadae sana... Wengine wanaishi hata miaka 20 ila ndoa mbado kabisa...Kikubwa ni upendoNdugu zangu natumai hamjambo....hivi hili suala la mwanaume kumwambia mwanamke waishi bila ndoa then wafunge ndoa baadae mnalionaje.
Mimi mwenzenu niko njia panda baada ya boyfriend kusema tuishi bila ndoa.
Je faida na hasara zake hua ni zipi? kwa mliotangulia kuoa ama kuolewa naombeni msaada
Sahihi kabisa kwa unalolisema! Lkn huyo mwanaume anasababu gani ya msingi inayomfanya ashindwe kumuoa kwa wakati huo hadi ahitaji aishi naye kwanza? Kwa muda gani pia atahitaji aishi naye hadi ndoa itakapopita? Anavyomuona ana nia ya kweli kumuoa? Je wanaishi karibu kila mmoja? Mwanaume anamsaada gani kwake kwa sasa? Akinijibu maswali hayo nitampa ushauri.Mkuu usikubali kabisaa sio jambo jema kuwa mvumilivu tu wakati wako wa kuolewa utaolewa usilazimishe ndoa
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Kwa kweli asithubutu kabisa kuzaa na boyfriend. Mwanaume utaishi naye miaka kibao, siku ukibeba mimba bado atakwambia yeye hakuplan so atalea tu mtoto wake, hana mpango wa ndoa na wewe, ndo mwanzo wa kuzaa kila mtoto na baba yake. Plus mtu mmedate miaka 5 na bado anaona haitoshi, unaweza kwenda kuishi naye ukazidi kujichelewesha tu mwenyewe. Uchumba sugu hapana kwa kweliWe nenda kajipeleke kwa mwanaume ambaye hajawa teyari kwa ndoa na majukumu ya kukamilika ndo utakuja kujua nn mana ya mwanaume....ukijidanganya eti ndo ubebe mimba kwamba ndo silaha ya kumvutia...hapo ndo kwisha kabisa....
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Dada/wadogo zetu sijui mna tatizo gani, hivi hujaona kuwa hana nia ya kukuoa, can't you see that? If a man wouldn't even want to get acquainted to your family, what do you think his intentions are? Think Tuchki, think young lady.Sasa hataki kuja home kujitambulisha na kulipa mahaur hataki kabisa....sijui anashida gani
Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
Don't make such a mistake, sikushauri uishi na mtu kiholela tu, mara nyingi consequences zake ni mbaya sana.
UNLESS; afahamike kwenu, atoe posa na kulipa mahari then muwaambie wazazi kuwa ndoa ya kidini mtafunga baadae, otherwise unajiharibia.
Na wana miaka 5 wanadate; Sometimes tunajipotezeaga muda sisi wenyeweDada/wadogo zetu sijui mna tatizo gani, hivi hujaona kuwa hana nia ya kukuoa, can't you see that? If a man wouldn't even want to get acquainted to your family, what do you think his intentions are? Think Tuchki, think young lady.
Uchumba sugu ni wa mda gani sisy darling??Kwa kweli asithubutu kabisa kuzaa na boyfriend. Mwanaume utaishi naye miaka kibao, siku ukibeba mimba bado atakwambia yeye hakuplan so atalea tu mtoto wake, hana mpango wa ndoa na wewe, ndo mwanzo wa kuzaa kila mtoto na baba yake. Plus mtu mmedate miaka 5 na bado anaona haitoshi, unaweza kwenda kuishi naye ukazidi kujichelewesha tu mwenyewe. Uchumba sugu hapana kwa kweli
Haha miaka 5 jamani no way. Imagine after 5 years mtu aje akwambie haoni future kati yenu, hadi uje utulie uanze upya mmmmmhUchumba sugu ni wa mda gani sisy darling??
Safi sana, watu siku hizi wanatafuta easy way, kwani ndoa ina gharama gani ili mtu aseme tutafunga mwaka ujao? Shida kubwa tunachanganya ndoa na sherehe.Teh one of my cousins, shemeji alitoa mahari and everything, akaomba akaanze maisha na mkewe na still aligomewa hadi walipofunga ndoa. Tatizo tumerahisisha sana maisha ya ndoa siku hizi.
WANAWAKE WANAOMVUNJA MOYO HUYU DADA HAWAJAPATA HIZO NAFASI NDIO MAANA WANAMKATISHA TAMAA
5yrs? Dah, mimi hata miezi 18 sitaki.Haha miaka 5 jamani ba
Seriously kama mna nia ya dhati ya kuoana, sherehe kubwa sio a big deal kabisa. Ila ndo hivyo tumerahisisha sana maisha ya ndoa na hata kuzaa tu na boyfriend/girlfriend tunaona ni kitu cha kawaida tu.Safi sana, watu siku hizi wanatafuta easy way, kwani ndoa ina gharama gani ili mtu aseme tutafunga mwaka ujao? Shida kubwa tunachanganya ndoa na sherehe.
Haha kwa kweli mie mwenyewe sitaki. So far hamna siku ambayo itafika useme kuwa umemsoma mwenzako na kuridhika naye 100%, so kwa nini mpotezeane muda miaka yote hiyo?5yrs? Dah, mimi hata miezi 18 sitaki.