WANAWAKE WANAOMVUNJA MOYO HUYU DADA HAWAJAPATA HIZO NAFASI NDIO MAANA WANAMKATISHA TAMAAUsidhani kua akidondoka huku akiwa kwenye ndoa ni tiketi yakuionja pepo,je ambao wako kwenye ndoa nabado wanasaliti ndoa,wao wakifa huenda peponi kisa wamefunga ndoa na waume zao ambao huwa tunawaona wanasalitiwa... ndoa siku hizi ni fasheni tu,tena wengine huwa mnafunga mkiwa wajawazito.
mimi Nina ndugu Lakin mtu wa karibu niliekua na mtrust katangulia mbele ya haki na si kila mtu anatakiwa kukupa ushauriHiyo Ndoa unayoisema itawashirikisha Akina nani mfano akisema aje kwenu.. Kwa Mfano akasema aje huko Kwenu na Kuitikia Ombi Lako atakuja kukutana na Watu Gani kwako. Kwa hao siyo Ndugu Zako ambao ndiyo wanaohitaji Kushirikishwa. Unashindwa nini Kuwashikirikisha Hili ila upo Tayari Kuwashirikisha Ndoa?
Kwa hiyo Unatuhakikishia kuwa Wewe ni Yatima, Huna Mlezi, Huna Majirani, Huko Shuleni Huna hata Mshauri wa Mambo yako ya Kiroho?
Are you really Serious....
Daah, usingesema boyfriend wako ungesema mzinzi mwenzio tuNdugu zangu natumai hamjambo....hivi hili suala la mwanaume kumwambia mwanamke waishi bila ndoa then wafunge ndoa baadae mnalionaje.
Mimi mwenzenu niko njia panda baada ya boyfriend kusema tuishi bila ndoa.
Je faida na hasara zake hua ni zipi? kwa mliotangulia kuoa ama kuolewa naombeni msaada
nia ni kuwachunguza zaidi ili pindi baada ya harusi kila mmoja awe amekubali mapungufu ya mwenzi wake.Ndugu zangu natumai hamjambo....hivi hili suala la mwanaume kumwambia mwanamke waishi bila ndoa then wafunge ndoa baadae mnalionaje.
Mimi mwenzenu niko njia panda baada ya boyfriend kusema tuishi bila ndoa.
Je faida na hasara zake hua ni zipi? kwa mliotangulia kuoa ama kuolewa naombeni msaada
mimi Nina ndugu Lakin mtu wa karibu niliekua na mtrust katangulia mbele ya haki na si kila mtu anatakiwa kukupa ushauri
Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
Sawa ni mzinzi mwenzetu mimi na weweDaah, usingesema boyfriend wako ungesema mzinzi mwenzio tu
Makandila
kivip mkuusahau kupata mpenzi serious
Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
We kaa hapo hapo njia panda, ukija kutahamaki wenzako wana watoto wako darasa la pili.Ndugu zangu natumai hamjambo....hivi hili suala la mwanaume kumwambia mwanamke waishi bila ndoa then wafunge ndoa baadae mnalionaje.
Mimi mwenzenu niko njia panda baada ya boyfriend kusema tuishi bila ndoa.
Je faida na hasara zake hua ni zipi? kwa mliotangulia kuoa ama kuolewa naombeni msaada
tabia zip na tupo kwenye mahusianoNivizur kushi kwanza kabla ya ndoa ili kusomana tabia then ndoa badae
Another Immoral AdviseInawezekana mleta mada ametoa taarifa nusunusu. Kwa imani na upeo wangu ninajua lazima kuna sababu kubwa ya kukuomba kuishi nawe ambayo moja wapo yawezekana kutokuwa vizuri kifedha na kimaisha kwa sasa kwa uwezo wa kufunga ndoa. Lakini kama kweli umeona nia yake kwa muda wote mliokuwa kwenye mahusiano yenu basi wewe nenda tu. By the way, mnamuda gani kwenye mahusiano yenu??
Ndugu zangu natumai hamjambo....hivi hili suala la mwanaume kumwambia mwanamke waishi bila ndoa then wafunge ndoa baadae mnalionaje.
Mimi mwenzenu niko njia panda baada ya boyfriend kusema tuishi bila ndoa.
Je faida na hasara zake hua ni zipi? kwa mliotangulia kuoa ama kuolewa naombeni msaada
tuna 5 yrs na pesa sio tatizo mbona ni watu tunaojiwezaInawezekana mleta mada ametoa taarifa nusunusu. Kwa imani na upeo wangu ninajua lazima kuna sababu kubwa ya kukuomba kuishi nawe ambayo moja wapo yawezekana kutokuwa vizuri kifedha na kimaisha kwa sasa kwa uwezo wa kufunga ndoa. Lakini kama kweli umeona nia yake kwa muda wote mliokuwa kwenye mahusiano yenu basi wewe nenda tu. By the way, mnamuda gani kwenye mahusiano yenu??