Kuishi na mwanaume bila ndoa

Kuishi na mwanaume bila ndoa

muishi kwa kipindi kipi mpaka awe tayari kuwa mume? inakuaje mtu anakuwa tayari kuishi na wewe bila ndoa ila kuishi kwenye ndoa ndo iwe ngumu? sasa mtaishi kama nani utakuwa bado gf au? Na vp kuanzisha familia na watoto? ndugu yangu kuna leo na kesho kuishi na mtu bila ndoa ni dhambi mana mnazini, maisha yenyewe haya watu wanadondoka kila siku, sikuombei mabaya ile kesho umedondoka hiyo dhambi inakuwa vepeee? TAFAKARI CHUKUA HATUA
Asante mkuu mnanifarij sana....

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu usikubali kabisaa sio jambo jema kuwa mvumilivu tu wakati wako wa kuolewa utaolewa usilazimishe ndoa

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Asante

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
 
Kumbe Unataka Harusi Siyo Ndoa Halafu Baadaye Uanze Vituko Kwa Mumeo Aisee
Sasa kama yeye ndo anamatatizo na vituko mie nitafanyaje? huoni mimi baadae mtaniita single mother

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
 
Section 160 (1) of the Law of Marriage Act ( CAP 29 R.E. 2002) says that where it is proved that a man and woman have lived together for two years or more, in such circumstances as to have acquired the reputation of being husband and wife, there shall be a rebuttable presumption that they were duly married.

Nimekupa angalizo kwa mujibu wa sheria, ila akili kumkichwa, au wewe unataka ndoa sherehe ya ukumbini.
Hii ipo sana mjini inaitwa kusogezana, wajanja wengi wanafanya hivyo then baadae wanakuja kubariki hicho kitumbua, tu kama alivyofanya mdau prof jizo hivi karibuni
Presumption inabaki presumption!
Ndoa ya mafikirio kusettle mali.
 
ni boyfriend anataka nikae nae Bila ndoa yoyote Ile ananiahidi baadae tuje tufunge ndoa nikimwambia aje home hataki anataka niende kwao tuu halafu tuishi sasa mimi kwa vile sijui wala sijawahi ishi na mwanaume ndo nimeamua kuomba ushauri kwa waliotangulia

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
Wewe Hujawahi Kuishi na Mwanaume wala Hujui, Vile vile Hujui Kuwa Baba yako na Mama Yako walipitia utaratibu upi mpaka kufika hatua ya kukupata wewe. Vile vile huna Shangazi wala Ndugu kwenye Ukoo wenu ambaye ameshawahi Kuoa au kuolewa akawa Mfano wa kujua utaratibu alioupitia Mpaka kuharalisha kuwa Pamoja.

Juzi Nilikuwa najiuliza hivi ina Maana Vijana wa siku hizi Hawana Akili ya Kujiongoza Maake kuna vitu vinaandikwa humu Kuhitaji Msaada au Ushauri ukiiangalia Mpaka Unashindwa Kuelewa aina ya Kizazi Tulichonacho.

Hivi Kweli Jambo Kama hilo Unashindwa Kumshirikisha hata Mama Yako? Siku Hizi Vijana wa Kike hamna Urafiki na Mama Zenu, Dada zenu, Shangazi Zenu, au?

JF Punguzeni Kuruhusu Thread za Namna Hiii.. Zinatuabisha na Kutuonyesha Elimu tunazosoma hazitukombowi...
 
Mna muda gani kwenye mahusiano?
kama hamna muda mrefu yawezekana bado hajajiridhisha na tabia zako anataka muishi pamoja ili ujisahau uonyeshe makucha yako.

AU

Wewe ni mtu unayependa sherehe? Yawezekana jamaa hataki hizo mambo.

Wewe ni mkristo au muislamu?
Hata kama ni mkristo.
Mwambie jamaa akutolee posa na uwaelekeze wazazi wasimgonge kwenye mahali, yawezekana anahofia hizo mambo.
mnaweza kwenda kanisani mkafunga ndoa, sherehe hua ni mbwembwe zetu walimwengu.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
tatizo hataki kuja home

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
 
mila ipi sasa? mie nataka harus na yeye hataki pia naona kama nitapoteza muda kukaa na mtu Bila cheti hata cha ndoa

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
Kua mkweli,sema unataka harusi na baada ya hapo uendelee na mambo yako,kama kutoka na maex wako,wanawake bhana...
 
Wewe Hujawahi Kuishi na Mwanaume wala Hujui, Vile vile Hujui Kuwa Baba yako na Mama Yako walipitia utaratibu upi mpaka kufika hatua ya kukupata wewe. Vile vile huna Shangazi wala Ndugu kwenye Ukoo wenu ambaye ameshawahi Kuoa au kuolewa akawa Mfano wa kujua utaratibu alioupitia Mpaka kuharalisha kuwa Pamoja.

Juzi Nilikuwa najiuliza hivi ina Maana Vijana wa siku hizi Hawana Akili ya Kujiongoza Maake kuna vitu vinaandikwa humu Kuhitaji Msaada au Ushauri ukiiangalia Mpaka Unashindwa Kuelewa aina ya Kizazi Tulichonacho.

Hivi Kweli Jambo Kama hilo Unashindwa Kumshirikisha hata Mama Yako? Siku Hizi Vijana wa Kike hamna Urafiki na Mama Zenu, Dada zenu, Shangazi Zenu, au?

JF Punguzeni Kuruhusu Thread za Namna Hiii.. Zinatuabisha na Kutuonyesha Elimu tunazosoma hazitukombowi...
we nae kuna watu hatuna wazazi wala hatuna watu wa karibu kama ilivyo wewe pia hapa ni muunganiko wa watu wenye experience kama hutaki kuchangia Kaa kimya

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zangu natumai hamjambo....hivi hili suala la mwanaume kumwambia mwanamke waishi bila ndoa then wafunge ndoa baadae mnalionaje.

Mimi mwenzenu niko njia panda baada ya boyfriend kusema tuishi bila ndoa.

Je faida na hasara zake hua ni zipi? kwa mliotangulia kuoa ama kuolewa naombeni msaada
Huo Ni uasherati,epuka uasherati,ataenda kwenu kutaka kuoa nini kama papuchi ashalichakaza?Think Tuchki Think!Unaelewa?Wakristo ndio mna shida hii!and then you end up wasting alot of time mwisho uje utake kuolewa na mtu mwingine akute kila kitu used!alipe mahari mfunge ndoa msubiri hizo sherehe zenu mkiwa mnaishi pamoja!
 
Nashauri Ombi la Msaada linalohusu Mahusiano ya makundi haya Yasijadiliwe Humu.. Tunajirudisha Nyuma na Ugreat Thinker wetu Hauna Maana.

  • Boy Friend.
  • Girl Friend

It is a Shame kwa Great Think kuomba Ushauri wa Jinsi ya Kuishi na Girl Friend au Boy Friend. Kwa Maana Nyingine sisi kama wazazi wa kesho tunahamasisha sana Ngono Kbala ya Watoto Kupata Baraka za Wazazi kwa kutokemea hizi aina ya Thread
 
Kua mkweli,sema unataka harusi na baada ya hapo uendelee na mambo yako,kama kutoka na maex wako,wanawake bhana...
kwa hiyo nikaishi nae hivyo hivyo

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
 
muishi kwa kipindi kipi mpaka awe tayari kuwa mume? inakuaje mtu anakuwa tayari kuishi na wewe bila ndoa ila kuishi kwenye ndoa ndo iwe ngumu? sasa mtaishi kama nani utakuwa bado gf au? Na vp kuanzisha familia na watoto? ndugu yangu kuna leo na kesho kuishi na mtu bila ndoa ni dhambi mana mnazini, maisha yenyewe haya watu wanadondoka kila siku, sikuombei mabaya ile kesho umedondoka hiyo dhambi inakuwa vepeee? TAFAKARI CHUKUA HATUA
Usidhani kua akidondoka huku akiwa kwenye ndoa ni tiketi yakuionja pepo,je ambao wako kwenye ndoa nabado wanasaliti ndoa,wao wakifa huenda peponi kisa wamefunga ndoa na waume zao ambao huwa tunawaona wanasalitiwa... ndoa siku hizi ni fasheni tu,tena wengine huwa mnafunga mkiwa wajawazito.
 
Huo Ni uasherati,epuka uasherati,ataenda kwenu kutaka kuoa nini kama papuchi ashalichakaza?Think Tuchki Think!Unaelewa?Wakristo ndio mna shida hii!and then you end up wasting alot of time mwisho uje utake kuolewa na mtu mwingine akute kila kitu used!alipe mahari mfunge ndoa msubiri hizo sherehe zenu mkiwa mnaishi pamoja!
Sasa hataki kuja home kujitambulisha na kulipa mahaur hataki kabisa....sijui anashida gani

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu usikubali kabisaa sio jambo jema kuwa mvumilivu tu wakati wako wa kuolewa utaolewa usilazimishe ndoa

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Ila aendelee kuzini rejareja sindiyo?
 
we nae kuna watu hatuna wazazi wala hatuna watu wa karibu kama ilivyo wewe pia hapa ni muunganiko wa watu wenye experience kama hutaki kuchangia Kaa kimya

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app

Hiyo Ndoa unayoisema itawashirikisha Akina nani mfano akisema aje kwenu.. Kwa Mfano akasema aje huko Kwenu na Kuitikia Ombi Lako atakuja kukutana na Watu Gani kwako. Kwa hao siyo Ndugu Zako ambao ndiyo wanaohitaji Kushirikishwa. Unashindwa nini Kuwashikirikisha Hili ila upo Tayari Kuwashirikisha Ndoa?

Kwa hiyo Unatuhakikishia kuwa Wewe ni Yatima, Huna Mlezi, Huna Majirani, Huko Shuleni Huna hata Mshauri wa Mambo yako ya Kiroho?

Are you really Serious....
 
Sasa hataki kuja home kujitambulisha na kulipa mahaur hataki kabisa....sijui anashida gani

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
Hakutaki ndiyo jibu sahihi,akihamishwa kikazi wakati unaishi naye harudi anhamisha mwingine.Think lady Think!
 
Back
Top Bottom