Tamatheo
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,298
- 1,562
Kuna baadhi ya wanaume ni waoga hasa kutokana na maisha waliyoyaona... kutokana na woga/hofu hii basi wanachagua kuwowa kwanza ndoa ni baadae au baadae sana... Wengine wanaishi hata miaka 20 ila ndoa mbado kabisa...Kikubwa ni upendoNdugu zangu natumai hamjambo....hivi hili suala la mwanaume kumwambia mwanamke waishi bila ndoa then wafunge ndoa baadae mnalionaje.
Mimi mwenzenu niko njia panda baada ya boyfriend kusema tuishi bila ndoa.
Je faida na hasara zake hua ni zipi? kwa mliotangulia kuoa ama kuolewa naombeni msaada
na nafsi zenu kiimani