Kuishi na mwanaume bila ndoa

Kuishi na mwanaume bila ndoa

Mkuu Bonny, ndoa (na si sherehe) ni muhimu sana, huwezi kusema watu wanaona ndoa ni kila kitu wakati ndoa is the foundation.

Hivi mtu anayejibeba kwa mwanaume na kuzaa bila future plans zozote unaweza kusema huyo anajielewa? Mkuu are you serious??
Thank you brod darling
 
Muoe wewe,,ili mfunge,maana labda hujamuelewa alichokuambia

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
hivi mtu mnagegedana daily unaogopa nn sasa??
hio ndo njia ya kumsoma mwanamke uone unachotaka kukioa umuone anaweza kua mama mwenye nyumba?

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
mila ipi sasa? mie nataka harus na yeye hataki pia naona kama nitapoteza muda kukaa na mtu Bila cheti hata cha ndoa

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
Kumbe unataka harusi me nlijua unataka ndoa ...dah kwahiyo ww unataka kuvaa shela na sio kuvaa majukumu ya familia pole yako tena

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Huo ni uhuni na uzinzi mnaotaka kuendeleza, mwambie akuoe ndo uishi nae, tena mwambie aache mteremko, pumbavu kabisa

Sent from my GT-I9195 using JamiiForums mobile app
 
Sasa hataki kuja home kujitambulisha na kulipa mahaur hataki kabisa....sijui anashida gani

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
Me nlijua anatakiwa alipe mahari lakini kumbe ww unataka ulipiwe mahaur

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ukishaishi Na Mwanaume More Than Three Month Tayari Ni Mke Na Mume Hata Mkiachana Kama Kulikuwa Na Mali Lazima Mtagawana Pasu Kwa Pasu Kwa Mujibu Wa Sheria Ya Tanzania
Mkuu kidogo umeghafilika ni miaka 2 consecatively inaitwa presumtion of marriage according 2 Law of marriage Act

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Huo ndo muda ya ww kuonesha upendo wa dhat na uvumilivu Huo ni mtego wa kukujua kama unafaa kuwa wake wa maish coz isije kuwa umemtaman tu afu ukajivika upendo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Faida ni kwamba ameepusha gharama hasara ni kwamba akisha kula nyapu na kukuchezea vya kutosha , neno ndoa utaishia kulisikia kwenye vitabu vya bulicheka

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Dah... Kumbe wengi wanaogopa kujilipua

Sent from my Osborne II using JamiiForums Mobile App
 
Back
Top Bottom