Kuishi na mwanaume bila ndoa

Kuishi na mwanaume bila ndoa

mila ipi sasa? mie nataka harus na yeye hataki pia naona kama nitapoteza muda kukaa na mtu Bila cheti hata cha ndoa

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
Aisee kama unafikiria ndoa ni cheti umepotea sana.

Kwa mtazamo wangu mimi ndoa ni makubaliano ya hiari ya watu wa jinsia mbili tofauti kuishi kama mke na mume hadi kifo,au itapobidi kuachana kabla ya kifo.
Masuala ya msingi kwenye ndoa ni Upendo, Uvumilivu, kuheshimihana, kusaidiana na kufanya kazi halali ya kuingiza kipato.
Sheria ya ndoa ya Tanzania inatambua ndoa iliyofungwa kidini, kiserikali na kimila aidha sheria hiyo inatambua kwamba watu wakiishi kama mume na mke zaidi ya miaka 2 na kuendelea hapo ni ndoa imefungwa.
Halafu tambua kwamba ndoa ni suala la makubaliano ya watu 2 tu hakuna cha ndugu wala nini labda uwe chini ya miaka 18 ndipo inahitaji ridhaa ya wazazi au walezi kufunga ndoa .
Cheti, harusi sijui sherehe kwenye ndoa ni mbwembe tu, kama kuachwa unaachwa tu na cheti chako hata ikiwa ndoa ya kikatoliki. Wengi wameachwa na mavyeti vyao.
Mwisho nakushauri nenda kaishi na huyo jamaa cha msingi muwe manapendana, mnaheshimiana, mnavumilana,mnaingiza kipato halali inshala nakuombea mema uishi maisha marefu na ya amani kwenye hayo mahusiano na baadae ndoa yenu.
Hilo ni dhari wanaume wengi sikuhizi hatuhusudu sana kuoa wengi tunatafuta watoto tunawalea kisingle parent maisha yanaendela,
Mimi mwenyewe sijaoa lakini ikitokea nitake kuoa pamoja ni mkatoliki niliyesoma seminari kidogo niwe padri, ndoa hiyo kama kuna ulazima nitaenda kuifungia kwa DC na sio ndoa ya kanisa katoliki
 
Sawa mvulana

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
Ungeleta Maada inayosema Mchumba ningekupa Ushauri ila Umeleta Mada inayohusu Boy Friend. Boy Friend hata kukuchumbia hajakuchumbia, hata kwenu hajulikani hajulikani.. Watu tunakupa Procedures za kutambua kuwa huyu mtu kwa kutumia hata vigezo vidogo bado unapuuza..
 
tuna 5 yrs na pesa sio tatizo mbona ni watu tunaojiweza

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
Hmmm! Then jaribu kudadavua kwanini hataki mambo ya ndoa kwa sasa. Sometimes inaweza ikawa ni kwasababu ya mazingira kifamilia ni ukoo, or personal targets alizojiwekea. By the way anakupa chance nzuri kwasababu mkishindwana kila mtu na 50 zake. Kama mmedumu kwa 5 years basi jua anakupenda na anatamani mfike mbali. All in all....God bless you guys!
 
mmmnh pole sana,

hapo ndipo tunapotautiana wanaume na wanawake,

sisi wanawake ndoa ni upendo heshima,tuko tayari (baadhi)tuolewe na mtu tusiyempenda,

wakati wanaume ndoa ni kifungo,lol

hivi haviwezi kuchanganyikana,

mwambie mfunge ndoa,hata kama sio kubwa,

kaa nae kama mwaka,halafu mwambie mfunge ndoa,

akionyesha hana nia hio then labda sio ubavu wako,
ww utapata shida wazazi wetu wenyewe wamekuja funga ndoa tumesha zeeka
 
nikukumbuke nini na umesema ntumie akili zangu sasa akili zangu zinaniambia wewe ni mpuuzi na kama una familia itakushinda kama si kujinyonga

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
Boy Friend siyo Mchumba unakuja kuomba Ushauri wa Boy Friend kutaka kwenda kuishi naye kiufupi huyo Hatakuja kukuoa Maishani ... na kwa kuwa kipaumbele chako ni Cheti cha Ndoa basi ndoa utakuja kuiona Kwa Majirani
 
Aisee kama unafikiria ndoa ni cheti umepotea sana.

Kwa mtazamo wangu mimi ndoa ni makubaliano ya hiari ya watu wa jinsia mbili tofauti kuishi kama mke na mume hadi kifo,au itapobidi kuachana kabla ya kifo.
Masuala ya msingi kwenye ndoa ni Upendo, Uvumilivu, kuheshimihana, kusaidiana na kufanya kazi halali ya kuingiza kipato.
Sheria ya ndoa ya Tanzania inatambua ndoa iliyofungwa kidini, kiserikali na kimila aidha sheria hiyo inatambua kwamba watu wakiishi kama mume na mke zaidi ya miaka 2 na kuendelea hapo ni ndoa imefungwa.
Halafu tambua kwamba ndoa ni suala la makubaliano ya watu 2 tu hakuna cha ndugu wala nini labda uwe chini ya miaka 18 ndipo inahitaji ridhaa ya wazazi au walezi kufunga ndoa .
Cheti, harusi sijui sherehe kwenye ndoa ni mbwembe tu, kama kuachwa unaachwa tu na cheti chako hata ikiwa ndoa ya kikatoliki. Wengi wameachwa na mavyeti vyao.
Mwisho nakushauri nenda kaishi na huyo jamaa cha msingi muwe manapendana, mnaheshimiana, mnavumilana,mnaingiza kipato halali inshala nakuombea mema uishi maisha marefu na ya amani kwenye hayo mahusiano na baadae ndoa yenu.
Hilo ni dhari wanaume wengi sikuhizi hatuhusudu sana kuoa wengi tunatafuta watoto tunawalea kisingle parent maisha yanaendela,
Mimi mwenyewe sijaoa lakini ikitokea nitake kuoa pamoja ni mkatoliki niliyesoma seminari kidogo niwe padri, ndoa hiyo kama kuna ulazima nitaenda kuifungia kwa DC na sio ndoa ya kanisa katoliki

Huyu Hashauriki anataka kupakwa Mafuta kwa Mgongo wa Chupa Muacheni ahangaike na Boy Friend wake.. Ingekuwa Mchumba sawa ila Boy Friend.
 
Fuateni taratibu
1:Barua ya Mchumba
2:Akatoe mahari
3:Ndoa
Hapo kwenye ndoa inategemea ni ndoa ya serikalini,kimila au Dini
Kwenye Dini ASA ASA wakristo RC hapo ndipo kuna Tatizo la gharama na Fahari za kijinga
 
Lakini haya mambo yakuishi na mwanamke au mwanaume bila ndoa huwa nihatari sana maana kuna watu walikaa miaka hata sita bila ndoa na wakafanya maisha na watoto wakapataa.
Shughuli inaanziaga pale mmoja katangulia hasa ikitokea kwa mwanaume kawahi no
Mwanamke huwa rahisi kutimuliwa zaid ataambulia nguo zake ikibid na watoto wachukuliwe. Lakin ukiwa na ndoa kunakuwa nakauzito flani hataa nafsi zitawasuta sababu mchele walikula.

Na kuna mwanaume alipokonywa maiti ya mke wake na ndugu za marehemu na wameishi miaka 11 ndugu wanasema hawamtambui na vihela vyakula alikuwa anawatoa na wanakuja kumtembelea.

Ukiacha mashauzi yakutaka miharusi mikubwa nibora mfunge ndoa hata ya mandazi lakin muishi katika agano la ndoa nafkiri inalipa zaid na mkimtegemea MUNGU hakiharibiki kitu mambo yanakuwa msawano tuu

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Sasa hataki kuja home kujitambulisha na kulipa mahaur hataki kabisa....sijui anashida gani

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
Huyo hakupendi achana nae

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Usidhani kua akidondoka huku akiwa kwenye ndoa ni tiketi yakuionja pepo,je ambao wako kwenye ndoa nabado wanasaliti ndoa,wao wakifa huenda peponi kisa wamefunga ndoa na waume zao ambao huwa tunawaona wanasalitiwa... ndoa siku hizi ni fasheni tu,tena wengine huwa mnafunga mkiwa wajawazito.
so wats ur point? kwamba dhambi haiepukiki kwahiyo ni heri kuendelea kuitumikia? Mimi nimempa ushauri kulingana na imani yangu ya dini yangu inavyonifundisha, sikumpa ushauri huo kwa kumaanisha kwamba watu walioko kwenye ndoa ni watakatifu, kama mtu anaamua kuingia kwenye ndoa na kuendelea kutenda dhambi huo ni uamuzi wake mana tumepewa uwezo wa kuchagua mema na mabaya, lakini huwezi kumwambia mtu tenda tu dhambi kwasababu watu wote wanatenda, then wat?
 
mila ipi sasa? mie nataka harus na yeye hataki pia naona kama nitapoteza muda kukaa na mtu Bila cheti hata cha ndoa

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
Kama muislam kuna ya mkeka nayo ndoa piaa kama katoliki kuna zile za mkesha asubuhi unapiga kiporo imeisha. We utakuwa unataka za matarumbeta ndo maana jamaa kakazaa. Kama unahitaji ndoa mpe hizo njia mbili akirukaa kakae nae uzalishwe watoto watatu unenepeanee uonee kilichomtoa kanga manyoya kuish bila ndoa
 
Usidhani kua akidondoka huku akiwa kwenye ndoa ni tiketi yakuionja pepo,je ambao wako kwenye ndoa nabado wanasaliti ndoa,wao wakifa huenda peponi kisa wamefunga ndoa na waume zao ambao huwa tunawaona wanasalitiwa... ndoa siku hizi ni fasheni tu,tena wengine huwa mnafunga mkiwa wajawazito.
na kwa taarifa yako NDOA sio fashen, sijui wewe ni imani gani, lakini imani yangu ya kikristo inaniambia NDOA ni agizo la Mungu. Kama huwezi kuishi bila ngono basi funga ndoa na biblia inaniambia NDOA na iheshimiwe na watu wote.
 
so wats ur point? kwamba dhambi haiepukiki kwahiyo ni heri kuendelea kuitumikia? Mimi nimempa ushauri kulingana na imani yangu ya dini yangu inavyonifundisha, sikumpa ushauri huo kwa kumaanisha kwamba watu walioko kwenye ndoa ni watakatifu, kama mtu anaamua kuingia kwenye ndoa na kuendelea kutenda dhambi huo ni uamuzi wake mana tumepewa uwezo wa kuchagua mema na mabaya, lakini huwezi kumwambia mtu tenda tu dhambi kwasababu watu wote wanatenda, then wat?
usibishane nae huyo
 
We nenda kajipeleke kwa mwanaume ambaye hajawa teyari kwa ndoa na majukumu ya kukamilika ndo utakuja kujua nn mana ya mwanaume....ukijidanganya eti ndo ubebe mimba kwamba ndo silaha ya kumvutia...hapo ndo kwisha kabisa....

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Fuateni taratibu
1:Barua ya Mchumba
2:Akatoe mahari
3:Ndoa
Hapo kwenye ndoa inategemea ni ndoa ya serikalini,kimila au Dini
Kwenye Dini ASA ASA wakristo RC hapo ndipo kuna Tatizo la gharama na Fahari za kijinga
Gharama na fahari za kijinga sio sheria za kikatoliki kuwa ukitaka kufunga ndoa lazima sherehe kubwa na vurugu.
Ni mawenge na mashauz ya wahusika wenyewe lakin me nshashuhudia ndoa za kikatoliki za kawaida mtu kaja kaandikisha ndoa yake kafata taratibu zote kafungishwa ndoa yake na mwenzake kasepa kimya kimya tu.

Nakuna zile za mikesha ya pasaka na noeli kitu inafungwa usiku asubuh mnazunguka nyumba kwa nyumba kula pilau ya noel au pasaka.
Vurugu na gharama tunazitakaga wenyewe
 
Kwani ww ni mtoto wa ndoa au wa nje ya ndoa

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
messi kaishi na mchumba miaka 10 na watoto wawil ila kamuoa juzi tu... prof jay nae lisa ana miaka 14 ndio wanaoana wazazi..

beckham nae aliishi sana na victoria...

shida wanawake wa kisasa mnapenda mashela kuliko maisha halisia
Well said mkuu...Take
 
Mazoezi kabla ya mechi ni muhimu bibie nenda ukalale mtupu na mwenzio
 
Back
Top Bottom