Shangani
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 776
- 1,093
Mkuu hiyo sheria gani hiyo?Ukishaishi Na Mwanaume More Than Three Month Tayari Ni Mke Na Mume Hata Mkiachana Kama Kulikuwa Na Mali Lazima Mtagawana Pasu Kwa Pasu Kwa Mujibu Wa Sheria Ya Tanzania
Mkuu hiyo sheria gani hiyo?Ukishaishi Na Mwanaume More Than Three Month Tayari Ni Mke Na Mume Hata Mkiachana Kama Kulikuwa Na Mali Lazima Mtagawana Pasu Kwa Pasu Kwa Mujibu Wa Sheria Ya Tanzania
Master Jay Na Shaa Wamekuwa Wapenzi Kwa Muda Wa Miaka 10 Ndo Juzi Juzi Wameoana Hao Celebrity Wa Tanzaniamessi kaishi na mchumba miaka 10 na watoto wawil ila kamuoa juzi tu... prof jay nae lisa ana miaka 14 ndio wanaoana wazazi..
beckham nae aliishi sana na victoria...
shida wanawake wa kisasa mnapenda mashela kuliko maisha halisia
Mkuu sheria inataka kuishi miaka 2 na zaidi na sio zaidi ya miezi 3Ukishaishi Na Mwanaume More Than Three Month Tayari Ni Mke Na Mume Hata Mkiachana Kama Kulikuwa Na Mali Lazima Mtagawana Pasu Kwa Pasu Kwa Mujibu Wa Sheria Ya Tanzania
mila ipi sasa? mie nataka harus na yeye hataki pia naona kama nitapoteza muda kukaa na mtu Bila cheti hata cha ndoaWee nenda tu kaishi, mkimaliza miezi mitatu mko naye tayari ni ndoa ya kimila!!!!
majirani ndio cheti watakuwa mashahidi hahahahamila ipi sasa? mie nataka harus na yeye hataki pia naona kama nitapoteza muda kukaa na mtu Bila cheti hata cha ndoa
Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
Asante nitajaribu kumueleweshammmnh pole sana,
hapo ndipo tunapotautiana wanaume na wanawake,
sisi wanawake ndoa ni upendo heshima,tuko tayari (baadhi)tuolewe na mtu tusiyempenda,
wakati wanaume ndoa ni kifungo,lol
hivi haviwezi kuchanganyikana,
mwambie mfunge ndoa,hata kama sio kubwa,
kaa nae kama mwaka,halafu mwambie mfunge ndoa,
akionyesha hana nia hio then labda sio ubavu wako,
Sawa mkuu nitajitahid nifanye hivyoSHIKIRIA HAPO HAPO KUISHI PAMOJA NDO MWANZO WAKUWA NA FUTURE YA FAMILIA NA KUUNGANA PAMOJA KULIKO KUMEGANA JUU KWA JUU AMBAPO DALILI YAKUOANA INAKUWA HAIPO
Umemjibu kijuaji Sana. Yaani mkishapata ujuzi kidogo tuu basi mnaleta dharau. Mijitu mingine Bibi....Nenda Kaishi naye kwani Huwa Mnakutania Hotel au Guest mnavyokuwa mnahalalisha huo Uboy Friend wenu... Watu wengine Bwana
Kumbe Unataka Harusi Siyo Ndoa Halafu Baadaye Uanze Vituko Kwa Mumeo Aiseemila ipi sasa? mie nataka harus na yeye hataki pia naona kama nitapoteza muda kukaa na mtu Bila cheti hata cha ndoa
Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
ni boyfriend anataka nikae nae Bila ndoa yoyote Ile ananiahidi baadae tuje tufunge ndoa nikimwambia aje home hataki anataka niende kwao tuu halafu tuishi sasa mimi kwa vile sijui wala sijawahi ishi na mwanaume ndo nimeamua kuomba ushauri kwa waliotanguliaJamani Naomba Mnipe Tofauti kati ya Hawa watu.
- Boy Friend
- Mchumba
- Mwanaume Wangu
- Baby Wangu
- Husband To be
Nani anayesemwa hapo kati ya hao waliotajwa hapo chini.. Nachojua Boy Friend hajafikia hata level ya kuitwa Mchumba maana yake hata hajatambulishwa Nyumbani kwa Mwanamke kwa lengo la kumvisha Pete sasa hapa tunatoa ushauri wa Watoto wa Umri Gani ambao hata hawatambui wako level gani ya hayo Mahusiano ya uzinzi?
je kama yeye ndo anamatatizo mimi sina nikaja kugundua makucha yake huoni kama nitajiharibia futureUkishagegedwa tayari umefanya tendo la ndoa, hakuna tendo la uchumba, nenda kaishi naye. Vilevile anataka achunguze urefu wa makucha yako asijejuta baadae. Naona huwa mnasubiri mfunge ndoa halafu mnaleta cheche za moto ndani ya nyumba.
Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
Si Unaona Jinsi Madada Wanavyowekana Ujinga Na Kupeana Suport Mbovu MbovuSiku hizi mnaambiana!??
Asante education mentor mie pia nimeangalia nikaona nitajiharibia futureKuna Faida na Hasara zake
1.Ikitokea mifarakano mkaachana ni vigumu sana kupata haki zako ikitokea mkapata maendeleo ya Nyumba na vingine.
2.Ukikubali Kuhamia hata mkija kuja kufunga ndoa baadae kunakuwa hamna jipya ndani ya nyumba
3. Elewa Physical anatomy of body yaani mwili wa mwanamke anapo contact na mwanaume kimwili au kuuzaa anabadilika usiombee Kama na My Bros there alivutiwa na wewe sababu ni ngumu kubainisha Love and Like.
3.We are Men we are unpredictable. When you accept to go there your value diminish day after day tofauti ukiwa kwenye ndoa rasmi utakuwa na Thamani official. You can charge someone ukimkuta na your husband.
4.Maamuzi kama Hayo look into your Future usiangalie leo na kesho Tazama Mbali zaidi tazama mbele sana
Sisi Wanaume Honestly tunapokutana na Mwanamke attention ya kwanza huwa Physically Umbo kabla ya Kumfahamu huyo ni Mtu wa aina gani Imagine baadae labda mme crush mkaachana then you will be not the same Woman....
"Si lazima haya yote yawe kweli ila watch out lady and be caution"
Hata ukiishi naye ni ndoa.Ndugu zangu natumai hamjambo....hivi hili suala la mwanaume kumwambia mwanamke waishi bila ndoa then wafunge ndoa baadae mnalionaje.
Mimi mwenzenu niko njia panda baada ya boyfriend kusema tuishi bila ndoa.
Je faida na hasara zake hua ni zipi? kwa mliotangulia kuoa ama kuolewa naombeni msaada