evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,984
- 9,938
Aisee kama unafikiria ndoa ni cheti umepotea sana.mila ipi sasa? mie nataka harus na yeye hataki pia naona kama nitapoteza muda kukaa na mtu Bila cheti hata cha ndoa
Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
Ungeleta Maada inayosema Mchumba ningekupa Ushauri ila Umeleta Mada inayohusu Boy Friend. Boy Friend hata kukuchumbia hajakuchumbia, hata kwenu hajulikani hajulikani.. Watu tunakupa Procedures za kutambua kuwa huyu mtu kwa kutumia hata vigezo vidogo bado unapuuza..Sawa mvulana
Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
Hmmm! Then jaribu kudadavua kwanini hataki mambo ya ndoa kwa sasa. Sometimes inaweza ikawa ni kwasababu ya mazingira kifamilia ni ukoo, or personal targets alizojiwekea. By the way anakupa chance nzuri kwasababu mkishindwana kila mtu na 50 zake. Kama mmedumu kwa 5 years basi jua anakupenda na anatamani mfike mbali. All in all....God bless you guys!tuna 5 yrs na pesa sio tatizo mbona ni watu tunaojiweza
Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
ww utapata shida wazazi wetu wenyewe wamekuja funga ndoa tumesha zeekammmnh pole sana,
hapo ndipo tunapotautiana wanaume na wanawake,
sisi wanawake ndoa ni upendo heshima,tuko tayari (baadhi)tuolewe na mtu tusiyempenda,
wakati wanaume ndoa ni kifungo,lol
hivi haviwezi kuchanganyikana,
mwambie mfunge ndoa,hata kama sio kubwa,
kaa nae kama mwaka,halafu mwambie mfunge ndoa,
akionyesha hana nia hio then labda sio ubavu wako,
Huyu Mdada Yeye alitegemea kusifiwa tu kwenye mada yake ahataki kukoseolewa ndiyo maana ameanza kutoa Lugha zisizo na staha..Una uhakika nina mzinzi mwenzangu (boyfriend) ninaezini nae?
Makandila
Boy Friend siyo Mchumba unakuja kuomba Ushauri wa Boy Friend kutaka kwenda kuishi naye kiufupi huyo Hatakuja kukuoa Maishani ... na kwa kuwa kipaumbele chako ni Cheti cha Ndoa basi ndoa utakuja kuiona Kwa Majiraninikukumbuke nini na umesema ntumie akili zangu sasa akili zangu zinaniambia wewe ni mpuuzi na kama una familia itakushinda kama si kujinyonga
Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
Aisee kama unafikiria ndoa ni cheti umepotea sana.
Kwa mtazamo wangu mimi ndoa ni makubaliano ya hiari ya watu wa jinsia mbili tofauti kuishi kama mke na mume hadi kifo,au itapobidi kuachana kabla ya kifo.
Masuala ya msingi kwenye ndoa ni Upendo, Uvumilivu, kuheshimihana, kusaidiana na kufanya kazi halali ya kuingiza kipato.
Sheria ya ndoa ya Tanzania inatambua ndoa iliyofungwa kidini, kiserikali na kimila aidha sheria hiyo inatambua kwamba watu wakiishi kama mume na mke zaidi ya miaka 2 na kuendelea hapo ni ndoa imefungwa.
Halafu tambua kwamba ndoa ni suala la makubaliano ya watu 2 tu hakuna cha ndugu wala nini labda uwe chini ya miaka 18 ndipo inahitaji ridhaa ya wazazi au walezi kufunga ndoa .
Cheti, harusi sijui sherehe kwenye ndoa ni mbwembe tu, kama kuachwa unaachwa tu na cheti chako hata ikiwa ndoa ya kikatoliki. Wengi wameachwa na mavyeti vyao.
Mwisho nakushauri nenda kaishi na huyo jamaa cha msingi muwe manapendana, mnaheshimiana, mnavumilana,mnaingiza kipato halali inshala nakuombea mema uishi maisha marefu na ya amani kwenye hayo mahusiano na baadae ndoa yenu.
Hilo ni dhari wanaume wengi sikuhizi hatuhusudu sana kuoa wengi tunatafuta watoto tunawalea kisingle parent maisha yanaendela,
Mimi mwenyewe sijaoa lakini ikitokea nitake kuoa pamoja ni mkatoliki niliyesoma seminari kidogo niwe padri, ndoa hiyo kama kuna ulazima nitaenda kuifungia kwa DC na sio ndoa ya kanisa katoliki
Hayo umesema weweIla aendelee kuzini rejareja sindiyo?
Huyo hakupendi achana naeSasa hataki kuja home kujitambulisha na kulipa mahaur hataki kabisa....sijui anashida gani
Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
so wats ur point? kwamba dhambi haiepukiki kwahiyo ni heri kuendelea kuitumikia? Mimi nimempa ushauri kulingana na imani yangu ya dini yangu inavyonifundisha, sikumpa ushauri huo kwa kumaanisha kwamba watu walioko kwenye ndoa ni watakatifu, kama mtu anaamua kuingia kwenye ndoa na kuendelea kutenda dhambi huo ni uamuzi wake mana tumepewa uwezo wa kuchagua mema na mabaya, lakini huwezi kumwambia mtu tenda tu dhambi kwasababu watu wote wanatenda, then wat?Usidhani kua akidondoka huku akiwa kwenye ndoa ni tiketi yakuionja pepo,je ambao wako kwenye ndoa nabado wanasaliti ndoa,wao wakifa huenda peponi kisa wamefunga ndoa na waume zao ambao huwa tunawaona wanasalitiwa... ndoa siku hizi ni fasheni tu,tena wengine huwa mnafunga mkiwa wajawazito.
Kama muislam kuna ya mkeka nayo ndoa piaa kama katoliki kuna zile za mkesha asubuhi unapiga kiporo imeisha. We utakuwa unataka za matarumbeta ndo maana jamaa kakazaa. Kama unahitaji ndoa mpe hizo njia mbili akirukaa kakae nae uzalishwe watoto watatu unenepeanee uonee kilichomtoa kanga manyoya kuish bila ndoa [emoji23][emoji23][emoji23]mila ipi sasa? mie nataka harus na yeye hataki pia naona kama nitapoteza muda kukaa na mtu Bila cheti hata cha ndoa
Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
na kwa taarifa yako NDOA sio fashen, sijui wewe ni imani gani, lakini imani yangu ya kikristo inaniambia NDOA ni agizo la Mungu. Kama huwezi kuishi bila ngono basi funga ndoa na biblia inaniambia NDOA na iheshimiwe na watu wote.Usidhani kua akidondoka huku akiwa kwenye ndoa ni tiketi yakuionja pepo,je ambao wako kwenye ndoa nabado wanasaliti ndoa,wao wakifa huenda peponi kisa wamefunga ndoa na waume zao ambao huwa tunawaona wanasalitiwa... ndoa siku hizi ni fasheni tu,tena wengine huwa mnafunga mkiwa wajawazito.
[emoji122] usibishane nae huyoso wats ur point? kwamba dhambi haiepukiki kwahiyo ni heri kuendelea kuitumikia? Mimi nimempa ushauri kulingana na imani yangu ya dini yangu inavyonifundisha, sikumpa ushauri huo kwa kumaanisha kwamba watu walioko kwenye ndoa ni watakatifu, kama mtu anaamua kuingia kwenye ndoa na kuendelea kutenda dhambi huo ni uamuzi wake mana tumepewa uwezo wa kuchagua mema na mabaya, lakini huwezi kumwambia mtu tenda tu dhambi kwasababu watu wote wanatenda, then wat?
Gharama na fahari za kijinga sio sheria za kikatoliki kuwa ukitaka kufunga ndoa lazima sherehe kubwa na vurugu.Fuateni taratibu
1:Barua ya Mchumba
2:Akatoe mahari
3:Ndoa
Hapo kwenye ndoa inategemea ni ndoa ya serikalini,kimila au Dini
Kwenye Dini ASA ASA wakristo RC hapo ndipo kuna Tatizo la gharama na Fahari za kijinga
Well said mkuu...Take [emoji109]messi kaishi na mchumba miaka 10 na watoto wawil ila kamuoa juzi tu... prof jay nae lisa ana miaka 14 ndio wanaoana wazazi..
beckham nae aliishi sana na victoria...
shida wanawake wa kisasa mnapenda mashela kuliko maisha halisia