Kyambambembe
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 326
- 354
Hata wewe pia unatatizo kuna vitu ameviona kwako ndio maana yupo hivyo yaani anajihami
Shida nikwamba hajapata sehem ya kuyasema yakwako yanayo mkela na mpaka akakosa imani na wewe niukweli usio pingika kua anakuvumilia tu ndio maana mmefika hapo mlipo
Mwanamke yeyote anapenda amshepu mumewe awe vile anavyo taka hasa pale mwanaume unapokua na vigezo vingi vinavyo mvutia na kuheshimika na jamii
NB; Kila mtu anamapungufu tofauti yetu nikwamba tunazidiana unachokiona kibaya wewe mm kwangu kinafaa pia sisi wanaume tupunguze ubabe kwani hata mm ninamke now tunaingia mwaka wa nne sasa.