huyu nnayeishi naye ni mlokole mbaya yaan anasali kila saaaSwala la mke lazma uombe Mungu ili akuletee yule anaefanana na wewe i mean yule aliekupangia !lakin ukaamua kujichagulia kutokana na matamanio ya macho lazma upate tango pori ambalo litakusumbua forever! kwa iyo vijana jitahidin sana kuomba ikifikia hatua hii muhimu ya maisha !wa kwako yupo ila hujataka kumtafuta(better fish swimm near the bottom)!period
Mwenye nyumba unaambiwa kanawe miguu,shuka kitandani nitandike[emoji32]
Umepanga au umejenga?kama ni kinyumba cha kupanga beba mtoto peleka nyumbani kwenu alelewe kwenu na wewe beba begi la nguo na vyeti vyako vya shule nenda kaishi kivingine,muache hapo peke yake anatumbua mimacho atie adabusijaoa naishi na mwanamke ambaye japo anatabia zinazonikera najitahidi kuvumilia tabia nisizozipenda ni kama hizi
Ubanaji wa matumizi anajibana kama anajenga lakini sijaona cha maana anachonunua au anachowekeza
Msafi kupitiliza yaani ukitoka kazini kabla hujaingia anakuambia FUTA VIATU VYAKO Na uoshe miguuu kabla hujaingia(kama umevaa sandals)
Anamfokea sana dada (mfanyakazi wa nyumbani) yaani hata kama glass hajaiweka sehemu yake atapiga kelele masaa mawili
Anaweza kukuamsha kitandani ili atandike kitanda anaboa hadi natamani nimtimue nlete nyumba ndogo ila nkiwaza mtoto wangu mdogo napata shida kidogo
Wote tunafanya kazi ila nampa hela ya matumizi kwa kila kitu anachoniambia na kuniandikia kwa mwezi ila bado anataka kujua hela yangu iliyobaki imeenda wapi (sisi ni wafanyakazi serikalini so anajua scale ya mshahara wangu )
Juzi niliishiwa na nilitaka kununua kitu cha muhimu kwa ajili ya maisha yetu nilipungukiwa na laki 2 tu akanambia hana hela wakati last transaction yake (aliniagizia nimtolee hela alikua na mill 2 na laki 4
Nilishamwambia akanambia atajirekebisha ila hajajirekebisha ndo anazidisha
NB:; BADO SIJAMWOA NIENDELEE NA MCHAKATO WA KUOA AU NIACHE!
Biblia inasema uishi nao kwa akili, kwa sababu kuna kaz ya ziada kuwaelewaView attachment 400913