Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,614
Hahaha good night Mr PoH,.see you tomorrow ibada ya pili😉bye!!!Nakuona fundi wangu umeshaanza utume rasmi!!! Ngoja me nipande kitandani...tutaonana kesho (misa ya kwanza).
Good nyt kamdori...bye.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaMkuu usisahau na fungu la 10;ili kuongeza miaka ya kuishi.
Usiwaze. Nawe jitaidi basi kuvitendee haki, hivyo vidole vitatu ulivyobaki navyo....Mkuu usisahau na fungu la 10;ili kuongeza miaka ya kuishi.
Ha Haha Mother Theresa wa Calcutta ama???
Hakuna anayekesha hata mmoja,zaidi ya masikini kuendelea kumchukiza Mungu kwa kuwachukia matajiri.kati ya masikini na tajiri yupi anakesha Kufunga na kuomba siku ya ile ya kuja Kristo ije haraka ?....
ByeeeehHahaha good night Mr PoH,.see you tomorrow ibada ya pili[emoji6]bye!!!
Ba'byeee😊
Hakuna mwanadamu anayependa kifo,au maumivu katika ugonjwa...cha muhimu ni kujua namna ya kuishi muda mrefu bila maumivu.Kiuhalisia hakuna maana ya maisha ila ni vyema mtu mwenye afya nzuri, mali za kumtosha na furaha aishi muda mrefu ili afurahie siku za ubatili wake.
Kuishi siku nyingi za shida au mateso ni umama uliotukuka!
Soma ramani ya maisha yako ukiona mbeleni utapata tabu sana ujiondoe mwenyewe.
Cha muhimu fanya lolote ili furaha yako itimie,,,,,,, nje ya hapo wewe sepa tu
Mkuu usiogope wajibu !! Kufa ni wajibu. Unaweza ukazingatia masharti ya afya ukafa kwa ajali . Utakwepa ajali ufe kwa furaha nk nk.Nini kifanyike ili tuweze kuishi miaka 100 au na zaidi?
Wengi wetu tumekuwa tukiishi miaka 30,40,50,60 n.k au pungufu ya hapo na kufa.
Je ni halali kufa mapema?Nini kifanyike sasa?
Ha Haha Mother Theresa wa Calcutta ama???
Hi Aggie!!!
Je itasaidia kufikia miaka 100?Kuishi vile inakupendeza bila kuvunja sheria Mungu na kaisari basss
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama tunajua kifo kipo,kwa nini tunaishi kwa majivuno,tunajenga majengo makubwa n.k?Mkuu usiogope wajibu !! Kufa ni wajibu. Unaweza ukazingatia masharti ya afya ukafa kwa ajali . Utakwepa ajali ufe kwa furaha nk nk.
Swala ni kuwa tayari anytime.
Kuboresha maisha kuna saidia kuondoa vifo vya hovyo hovyo, lakini mwisho wa siku lazima u RIP [emoji23][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli masikini tunapata tabu sana aiseee,,,,,Hakuna anayekesha hata mmoja,zaidi ya masikini kuendelea kumchukiza Mungu kwa kuwachukia matajiri.
Atakuwa ni wa kipekee....kwa sababu wale hawaolewi na wala hawana wachumba.
Ha ha ha ha ha mkuu tupambane angalau tufikie basi ata miaka 90kweli masikini tunapata tabu sana aiseee,,,,,
wenye dhambi sisi,masikini sisi,wambea sisi,wenye roho mbaya sisi..........
Hahahah you still remember,.really..!!!
😂kweli masikini tunapata tabu sana aiseee,,,,,
wenye dhambi sisi,masikini sisi,wambea sisi,wenye roho mbaya sisi..........
HahahaAtakuwa ni wa kipekee....kwa sababu wale hawaolewi na wala hawana wachumba.