Kuishi kwingi ndio kuona mengi

Kuishi kwingi ndio kuona mengi

Mkuu hiyo no 10 sahihi kabisa mi nipo Dodoma yaani wanaomba,ukipita tena anaomba asahau kama alikuomba.
 
10. Dodoma mtoto
anazaliwa kanyoosha
mikono. Anajifunzia
uomba omba tumboni
 
Now nipo kwenye folen moshi na sijui itaachia saa ngapi.

Mm mwenyewe sijui kwa nn
Tukutane hupo kiboriloni
FB_IMG_1543768460302.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom