Kuishi kwingi ndio kuona mengi

Kuishi kwingi ndio kuona mengi

Dogo unafeli. Kwacha inatumika Zambia. Kwa hapa bongo unaweza ukaiona tunduma coz NI boda na Zambia. Ruvuma haipakani na Zambia hata nukta.
Sio Zambia tu bali na malawi pia hutumia kwacha,.....Ila hiyo Rukwa it sound like kweli wale watu daaah wamepoa sana udumavu wa akili ni 78%
 
1.Njombe UKIMWI sio
kitu cha ajabu.

2. Arusha kama huna
meno ya dhahabu
unatengwa.

3. Manyara usipoua
simba we shoga.

4. Mara mke akiwa
hapigwi anaomba
talaka.

5. Mwanza mtoto
mchanga wa siku
moja anapewa ugali
sio maziwa.

6. Kagera huko hata
barabara ya vumbi
wanaita fly over.

7. Kigoma kati ya watu
10 basi 8 sio
Watanzania

8. Shinyanga kuokota
hirizi ni kama
kuokota jani la
mwembe uchawi
no stress

9. Tabora wasomali
wengi kuliko waswahili

10. Dodoma mtoto
anazaliwa kanyoosha
mikono. Anajifunzia
uomba omba tumboni

11. Rukwa hawa hata
hawajui kama wapo
Tanzania..

12. Mbeya ukinywa chai
usitumie dakika Kumi
la sivyo inaganda.

13. Iringa kujinyonga
ni ushujaa.

14. Morogoro wanaamini
wao ni wajanja kuliko
Dar Es Salaam. [emoji12]

15. Pwani hawa ni
mgambo wa jiji la
Dar wanalinda Mkoa.

16. Lindi mkoa
mkuubwaaa ila
sehemu kuubwaaa
ni hifadhi ya
wanyamapori.

17. Mtwara wanalinda
korosho kuliko uhai
wao...

18. Ruvuma huko nasikia
hawatumii Tsh
wanatumia kwacha.

19. Dsm kila mtu taperi,
Anaweza kujitaperi
hadi nafsi yake!

20. Kilimanjaro ikifika
December Mji unajaa.
Sijui hata watu
wanatoka wap?

21. Singida hapanaga
tofauti na jangwa la
Sahara. Full vumbi!!

22. Tanga mtoto
akizaliwa tu,
anavalishwa shanga
kiunoni. Za nini mie
sijui..
```

#Hii Ni Tanganyika. ```
Kilimanjaro hujakosea kabisa
 
Mkuu usisahau tabora baiskel nyingi kuliko watu na magari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom