Broda,Ndoa ipi sasa ya kidini, kimila, kiserikali...! au ya kukutana Tandale kwa mtogole? jioni mnaowana kesho mashemeji wanahamia, mtondogoo mnapeana talaka.....! fafanua tuanze kudadavua.
Mkiwa na mahusiano ya jinsia mbili tofauti, neno ushemeji lazima liingie, sio ndoa tu.Broda,
Ishu hapa nadhani si aina ya ndoa!
Mimi sijui wewe ni wa dini gani, lakini jichukulie wewe una mke na mkashindwana, shemeji zako itakuwakuwaje?...Na kama wao hawakushiriki ugomvi wako na mkeo, waondoke?
Obviously, familia ambayo ina watu wengine wanaokuja kuishi ni lazima itakuwa ni kongwe kidogo, lakini ishu ya dini sielewi inaingiaje, maana ugomvi katika familia si function ya aina ya ndoa!
Ligi ndefu ya nini broda?Mkiwa na mahusiano ya jinsia mbili tofauti, neno ushemeji lazima liingie, sio ndoa tu.
Ndoa navyoelewa ni mkataba wa halali baina ya mwanamke na mwanaume.
Sasa kabla sijaendelea kutokana na nukuu yako hii labda unamaanisha ushemeji kama ushemeji au vyovyote vile...?
OK...OK...OK...!Mbona umeongelea mke kuondoka? Kwani mume hawezi kuondoka?
usishangae mkuu. hata hilo la aina ya ndoa sijui limekujaje kwenye uzi wako.
Aisee watu tuna akili tofauti kweli. Usikute kama mtihani hapo jamaa alishafeli kabla hata ya kushika peni aiseeeeeee!
Hapa tunapanuana mawazo!Ligi ndefu ya nini broda?
Utanukuu vifungu vyote vya sheria ya ndoa ya Mwaka 1971, lakini hili sio suala la sheria na mahakama, ni social matter! Otherwise ningeshaipeleka kule Jukwaa la Sheria!
Mkuu,Teh teh teh hiyo ndo raha ya Afrika hapo inategemeana na extent ya ugomvi kama ule wa kutiana jamba jamba usifukuze mtu ila kama ugomvi wa kukatana shoka watafutie nauli waende kwa amani.
Ndoa ipi sasa ya kidini, kimila, kiserikali...! au ya kukutana Tandale kwa mtogole? jioni mnaowana kesho mashemeji wanahamia, mtondogoo mnapeana talaka.....! fafanua tuanze kudadavua.
Iwe ndoa yoyote inabidi wasepe tu!
Du!hapo hakuna mjadala, wote mtafungasha mizigo muondoke...:A S 13: