Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,434
Kweli mkuu,tunakomaa sana na watu kukaa Dar,yaani kama Yuko peponi!Hellow
Kuna watu wana jiaminisha kuwa hawewezi kutapeliwa wala hakuna asichokijua kwasababu tu anaishi dar ni uongo
Kuna watu wamezaliwa dar na wamekulia hapo ila wanatapeliwa kila siku na kuibiwa kijinga sana sasa wewe wa mkoa umeenda dar kwasababu tu ya kazi unajiona mjanja subiri wakuingize mjini
Na watu wa dar wengi wanajiamin kuwa wanajua kuvaa yaan wanaenda na wakati uongo sio wote ukitembea utakutana na vituko vingi sana kiasi hukutegemea kabisa
Kuishi kwako dar haimaanishi unajiweza uongo wengi dar wanaishi maisha ya kawaida sana tena kama mgeni usikimbilie kununua gar itakutesa mkuu
Kuishi kwako dar sio kwamba dar yote unaijua no kuna njia zingine uzijui kuwa mpole punguza ujuaji utashindwa saidiwa
Wanajikuta sanaKweli mkuu,tunakomaa sana na watu kukaa Dar,yaani kama Yuko peponi!
UkiMkuta sasa njian ukimuuliza swali anajishaur kukujibuHawa wala miguu ya kuku na bao la pweza ndio wanajiona wajanja😂😂
Kila kitu,Dar,dar,dar,Halafu wanatuomba tuwatumie vyakula wa mikoani!Wanajikuta sana
Ujuaji una waponzaMtoto wa shamba ana nafasi nyingi za kufika dar na kuwa mjanja zaidi , ndio maana kuna watu walitoka kijijini na shangazi kaja, sasa hivi ndio ma doni wa hapo dar na kuwaacha wajanja wa maneno na uhuni wakitoa tu macho.
AhhaahahUkiMkuta sasa njian ukimuuliza swali anajishaur kukujibu
Haaha na unatuma?Kila kitu,Dar,dar,dar,Halafu wanatuomba tuwatumie vyakula wa mikoani!
Ahahaah kasheshe kweli wakat yupo vikinduAhhaahah
Alafu wakirudi huku bush wanatuambia wanaishi sinza na masupa star wa bongo 😭😂
Kwa nini mkuu?Ukiweza kuishi Kampala Uganda ndo unakuwa mjanja
Lile jiji achana nalo kabisa watu wapo exposed Sana .Kwa nini mkuu?
Dogo ukiona mtu anaishi Dar ujue huyo ni Superstar tayari sio level za watu wa mikoani tena.Hellow