Kuirudisha CCM madarakani ni maafa ~ Dr Slaa

Asilazimishe madhara, maisha yetu tangu nyerere ni hivi hivi tofauti kidogo..
Mawazo yako nayafananisha na ya rafiki yangu nilimwacha darasa la saba akisema hata baba yake aliishia la saba leo anajuta, na wewe muda wa kujuta hauko mbali ila leo unaweza kujifurahisha hapa JF.
 
Dar es salaam

is Taleban a pleasant story to you?

mkuu .... DSM belives in Martyrdom that's why when he come across Taliban he get so excited ,... cause he graduated in Tola Bora if not Kandahar together with Dr. Al Zawahiri
.
 
Waungwana leo nimelazimika kuwakumbusha hotuba ya Mh Dr Slaa pale Mwembeyanga siku tatu hive kabla ya uchaguzi. Alisema "kuchagua CCM ni maafa" na "CCM ni sawa na kikundi cha Taleban cha huko Afghanistan". Kauli hizo ni za kweli kiasi gani hasa kwa hali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii takribani miezi miwili tu baada ya uchaguzi. Tujadili hali halisi ya watanzania kuelekea mwisho wa mwaka kwa kuzingatia matukio ya hivi karibuni.
Naomba kuwasilisha

Maskini ndg zangu Watanzania! Ona watu wanavyopumua kwa kutumia mashine. Hali ni Mbaya kupindukia.
Inawezekana Watanzania hawakuichagua CCM, bali CCM waliiba kura. Kwa hii hali CCM hawakutakiwa kupata hata kura 10.
 
Mawazo yako nayafananisha na ya rafiki yangu nilimwacha darasa la saba akisema hata baba yake aliishia la saba leo anajuta, na wewe muda wa kujuta hauko mbali ila leo unaweza kujifurahisha hapa JF.

imekuwa mtabiri mkuu...nijute nini?

Ok, hata wewe muda wa kujuta hauko mbali kwa kuombea maafa yaje..
 
'If there is no bread give them cake' matamshi ya Malkia wa Uingereza, nafikiri ndugu yangu hujui matatizo ya wananchi aidha huishi nchini mwananchi hata ile hela ya kununulia kibaba cha mafuta ya taa anakosa unamwambia anunue solar duh!!!!!!!

Naishi mbezi mwisho (kwa yusufu)...shida yetu kubwa siyo umeme..huo haupo tangu enzi za nyerere..tumeshazoea..kila mtu kajiwekea ki-solar chake cha 200,000/- after ssaving for years ...

Maji mkuu ndio shida..kama ni maji ningeandamana unajua hakuna mbadala wa maji...
 
Watu kama nyie zingekuwa nchi za kikomnist ungeshakula risasi zamani ndiko tunakoelekea.

Duu! mbona mnatisha hamjali kabisa mambo ya vita..please i am out

Kuwa na amani mkuu vita/risasi sikia kwa jirani...acha kabisa..

Heri umaskini kuliko umaskini katika vita...hell
 
Hilo ndilo lengo letu wafikishie makuwadi wako we mean it.
 
Hamna kitu wewe kirungu moja tu cha polisi....(not risasi) utaita wazazi wako wote....waliotangulia

Huo mkwara mnapiga kwenye keyboard tu...hapa reality sifuri

Si ndio nyie mnaoimba kuibiwa, patachimbika, kieleweke..and other nonsense...

End of the day kimya..maisha kama zamani

I love Tanzania.
 
Naishi mbezi mwisho (kwa yusufu)...shida yetu kubwa siyo umeme..huo haupo tangu enzi za nyerere..tumeshazoea..kila mtu kajiwekea ki-solar chake cha 200,000/- after ssaving for years ...

Maji mkuu ndio shida..kama ni maji ningeandamana unajua hakuna mbadala wa maji...
Nilikuambia you are hopeless eti maji ungeandamana unataka kusema serikali inayosimamia maji ni tofauti na inayosimamia umeme nonsense.

Eti kila mtu ana ki-solar chake nani haijui Dar.
 
Go back to the topic...maafa...

Maafa ya namna yoyote yanayotabiriwa na mwanasiasa..thubutu siwezi kuya-support

Najua wanasiasa wana kinga..baada ya kuwapoteza...
 
Go back wapi umesema utaandamana lingekuwa tatizo la maji sasa huogopi hao FFU unaotutishia au huelewi unachosema.
 
At least nitakuwa naandamana kwa litu ninachoamini ni tatizo la wengi, lakini siyo umeme hilo tu mkuu

Of course kama si maandamano ya amani (baraka za polisi) huoni nikitia mguu huko..period!
 
Watu kama nyie wapo hatumtegemei Makamba kuja kuandamana ikiwa ni pamoja na wewe.
 
Sawa, ndio maana ya uhuru wa kuamua na kuchagua..

Maandamano yatakayoleta maafa, nani ahudhurie..

Wenye akili zao wanawasikilizia die hard...cdm

Hint: Slaa na mbowe wakinywa chai na mkulu hawatawaalika...ndicho wanachotaka kupata

Kwani Maalim Seif amewaita wale walioko shimoni somalia...anakunywa chai ikulu

Sidanganywi na mwanasiasa tena kutoka Tanzania

Nyerere, Nkrumah na Mandela wangekuwa na mawazo kama yako Afrika ingekwa bado enzi za mawe.
 
Haya tena, inahusu nini Taleban na Tanzania, wakati inajulikana kuwa kikundi cha Taleban ni wanfunzi wa kiIslam waliowahenyesha warusi na sasa wamerekani na rafiki zao. Jee, kama sio udini huo ni nini? Halafu JMK alivyosema kuna udini, mnajidai kushangaa!

hauna tofauti na mzinzi,akiona kalio tu hata kama ni la nani anawaza ngono,.......

Wewe ni mdini na mpumbavu haswaaaaaa,yani umejaa udini ambao ni upumbavu,....kila utakalo lisikia unajenga picha ya udini,huu ni upumbavu maliza mwaka kwa hekima japo kidogo!
 
Haya tena, inahusu nini Taleban na Tanzania, wakati inajulikana kuwa kikundi cha Taleban ni wanfunzi wa kiIslam waliowahenyesha warusi na sasa wamerekani na rafiki zao. Jee, kama sio udini huo ni nini? Halafu JMK alivyosema kuna udini, mnajidai kushangaa!

Crap!!!
 
Jamani mwacheni huyo Dar Es Salaam hata akiona foleni pale magomeni mataa atasema magari ya wakristo yamezuia waislamu wasiwahi msikitini.
 
Back
Top Bottom