shanature
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,958
- 1,864
hii picha itafaa kidogo nimeipata hapa hapa jf.....wanalilia..............View attachment 19378endeleeni kula ra watajuta kuwapigia kura
Afadhali sie ambao hatukuchagua sisiemu coz tulijua ni maafa tu, so akili zetu zilishajitune huko.., kazi kwao, kwanza hamjui kuwa hapa sisiem wanajiUNdo campaign? 2015 upinzani hautahitaji nguvu kubwa..!
Wacha kwanza waipate fresh! Waliongoza kwa kuichagua CCM na sasa wanavuna walichopanda. Na safari za chako ni chako na NK zitapungua!
Safi...japo maumivu. Learn the hard way!
tusijindanganye kusema kua upinzani hauhitaji kazi kubwa uchaguzi ujao, msiwasahau watanganyika ni wepesi wa kusamehe,kusahau na kuzoea shida. Watanganyika wanapenda amani kuliko haki zao. Yatupasa kuwaelimisha vya kutosha bila kusahau swala la mgombea binafsi na katiba mpya.
Acha wafe c waliichamua wenyewe,naombea hali iwe ngum wakome kuchagua vyama maneno co vtendo
asante dada Husninyo, kumbe dodoma ni bomba kiasi hiki, sikujua. leo nilibahatika kutembea baadhi ya maeneo kama kule Udom, ni kuzuri kwa kweli, ila nakasirika ugumu wa maisha unavyozidi kutuandama. naamini ukombozi umekaribia. nipo hapa Savana hotel.
Hata msipowachagua 2015 CCM watafanya mazingaombwe yao ya uizi wa kura na kuendelea kupeta ..so whats the point?
Sehemu kubwa ya haohao wananchi wenyewe kwanza ndio mzigo mkubwa sana kwa uoga wao, indecision na kutoona beyond their noses and mouths. Sasa wanamlaumu nani? majuto mjukuu.