MkuuMambo ya aliens kwa kweli nafikiri yapo, kutokana na hapo juu kuhusu nyota/jua, lazima ktk kila jua kuna sayari moja iko kama yetu, that much i understand, na nakubali yawezekana sayari kama zetu zitakuwa kibao huko, zikiwa na viumbe wenye uwezo kiakili kuliko sisi, lini dunia yetu wataimaliza hatujuwi, ila kutokana na vitabu wanasema kufifia kwa jua ndio mwisho wetu, mabilioni ya miaka yajayo ofcourse, sisi hatutakuwepo, ila dunia itaisha tu.
Ni somo kali lenye kuhitaji uwezo mkubwa wa kufikiri na sio sisi wenye kuamini dini za waarabu au wazungu, yahitaji IQ ya uhakika kwa kweli, thread bomba...endelea mkuu
Viongozi wetu ndivyo wanavyoongoza nchi, mambo ni mpaka yawe na uhakika ndipo sisi twaelezwa, otherwise wananyuti wakiendelea na upelelezi, hawataki raia wao wa panic, this is a serious matter bro, NASA wako dedicated kabisa na hili..sio elimu yetu tunashindwa kusoma hata mikataba, wengi TZ hawatakuelewa kabisa, this is an alien territory for them...Jambo ambalo najiuliza ni kwamba,kama hawa viumbe ni kitishi [threat] kwetu,ni kwanini hatuelezwi ukweli?
Mimi nafikiria kinyume na wewe mkuu....Viongozi wetu ndivyo wanavyoongoza nchi, mambo ni mpaka yawe na uhakika ndipo sisi twaelezwa, otherwise wananyuti wakiendelea na upelelezi, hawataki raia wao wa panic, this is a serious matter bro, NASA wako dedicated kabisa na hili..sio elimu yetu tunashindwa kusoma hata mikataba, wengi TZ hawatakuelewa kabisa, this is an alien territory for them...
MWENYEZI MUNGU anasimamia..acha niwe kama Tomaso mpaka siku hao alliens watakapojitokeza ndo ntafikiri vingine!..Kimsingi ninavyojua ni kwamba hawa Aliens wapo hapa duniani na wamekuwa wakiishi na binadamu tangu enzi hizo na najua wanahusika na mambo mengi anayokutana nayo binadamu....
Binadamu yupo siyo kwa sababu ya bahati mbaya mkuu,kuna nguvu inayosimamia uwepo wake na kuhakikisha anaendelea kuwepo...
Mbona hakuna aliens ambao ni dark skinned? Wote lazima wawe light skinned?Kwani hao ni Wazungu mkuu?
Yani mtu uliyemuambia anatoa nonsensical thread anakujibu karelax hana hata panic kwasababu kaishakusoma anakujibu wewe ni mtu wa aina gani kichwa kikubwa akili kiziboMan you cant beat the bold! That guy is special. He was born to do do what he does. Baki msomaji kama mimi. Sio lazima wote tuandike. Makala ndeeefuu hadi usingizi. Acha kujaza server kwa nonsensical threads
Mkuu umenifanya nimecheka sana...Eiyer ulipotea sana au labda mimi sikuoni..
binafsi kuna binadamu/watu kama einstein...michael jackson..mess..n.k nafikiri bongo zao si zakawaida.. waweza kuwa ni uzao wa hawa viumbe kwakweli
Umenikumbusha Wanefili, waliwaingilia binti za wanadamu wakazaa naoMkuu umenifanya nimecheka sana...
Kuna Aliens ambao wanafanana na binadamu na hwezi kuwajua,hawa nadhani wanafanya kazi maalum.....
Kuna binadamu ambao ni machotara wa hawa viumbe ambao kimsingi ni zaidi ya binadamu...
Lakini kuna uwezo wa kawaida wa binadamu wa kufikiri pia ambao kimsingi ni mkubwa ila sikubali kuwa maendeleo ya kisayansi ni product ya ubongo wa binadamu kufikiri pekee...
Mkuu niposana naona tunapishana tu....
Mkuu Eiyer mie nilisoma kitabu cha Sidney Sheldon The Doomsday of conspiracy anazungumzia Hawa viumbe huko alps mountainMimi nafikiria kinyume na wewe mkuu....
Siyo kweli mkuu kuwa hawana uhakika isipokuwa hawataki tujuwe...
Kuna afisa mmoja wa MI6 aliona ushahidi kwenye document za siri juu ya jambo hili,nitakuja kuandika siku moja kuhusu hilo na nitaeleza kwa kina,sasa hivi ninakusanya data kwanza....