Kuiper Belt: Behind the certain

Kuna sehemu nilisoma kuwa hawa viumbe marekani anawatumia katika masuala ya tecknolojia ya midege ya ajabu na pia jeshini.. nilisoma muda ngoja nikapitie tarudi na inasemekana kuna sehemu amewaihifadhi na kuna ulinzi mkali sana jina nimesahau ni kama kwenye milima ya something like Dary space. Hivi vitu sio vya kupuuza maana inasemekana wanasababisha hadi ajali hawa viumbe.

I will be back ngoja nikafukunyue data.
 
Fukunyua mkuu uje utuletee nondo....
 
Binadamu wanawasiliana nao kila siku mkuu...

Nitaandika ishu nyingine inahusu NAZI na hawa viumbe nadhani utaweza kujua mengi zaidi mkuu....
Ukiandika hii mkuu chonde chonde usikose kunitag
 
Napenda Sana makala Kama hivi. Napenda kufahamu jambo mkuu Eiyer about UFO??
Cc relato unakumbuka movie ya alien Paul??
 
Napenda Sana makala Kama hivi. Napenda kufahamu jambo mkuu Eiyer about UFO??
Cc relato unakumbuka movie ya alien Paul??
Yes dear naikumbuka,such nice movie.Mi naaamini hawa viumbe wapo. Maana nikiunganisha na matukio ya kupotra kwa ndege,Ndio naamini kabisa wamechukuliwa na aliens
 
Unataka kujua nini kuhusu UFO's?
Nasikia shawahi kuwa spotted katika Uso wa dunia Mara chache sana. Vina speed and mwanga mkali sana. Baadhi ya watu wakavihusisha na aliens..
That's why napendelea kuvifahamu zaidi. Kama unaweza kunielezea kwa ufupi au uka brief kwa makala.
 
The bold is simply a genius. Our very own messiah of jamii intelligence. Do not compare him with "unknown things". His views, ideas, intellectual abilities are second to none. Simply the best!
duh ! kweli kienglish sio symbol of intelligency
 
hao ni wajuaji kwenye ubora wao mkuu
 
Nasikia shawahi kuwa spotted katika Uso wa dunia Mara chache sana. Vina speed and mwanga mkali sana. Baadhi ya watu wakavihusisha na aliens..
That's why napendelea kuvifahamu zaidi. Kama unaweza kunielezea kwa ufupi au uka brief kwa makala.
kwanza watu wanachanganya sana kati ya UFO,Aliens na Extraterrestrial...

UFO [Unidentified Flying Objects] ni aina ya kitu au chombo ambacho hakijaweza kueleweka au kufahamika ambacho kinaonekana kinaruka angani.Hii ina maana kwamba,hata Chopper kwa mfano,kwa wale ambao hawaielewi,wakiiona kwao ni UFO...

Aliens,hawa ni viumbe ambao wanasadikiwa kuwepo lakini wakiishi kwenye solar system yetu lakini kwenye sayari nyingine na wana uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko binadamu n.k....

Extraterrestrial,hawa ni viumbe wa roho ambao hawatokei kwenye solar system hii na hawaonekani kwa macho ya kawaida hadi watake uwaone.Hawa wanatokea anga za mbali sana....

Nimejaribu kuelezea kwa lugha nyepesi sana ili wengi waelewe hili....

Nikirudi kwenye ulichouliza ni kwamba hatujui chochote kuhusu UFO NA na kama tungejua tusingewaita au tusingeita UFO's maana tungekuwa tunajua....

Kwa maana hii hakuna maelezo ya kutosha kuwahusu hawa "viumbe"....
 
me hua wananichosha pale wanapoanza majigambo bila kuweka fact za hoja wanayoisimamia haha
Wanajua wachokuwa wanakifanya mkuu....
 
Wanajua wachokuwa wanakifanya mkuu....
Basi me hua naishia kucheka na kupita zangu kimyakimya.

Halafu mkuu naomba uwe unanitag kwenye post zako.

Ila haya mambo yana ukweli mkuu hasa ile miji ya chini ya ardhi, kuna siku niliwah kubahatika kusikia kua hata ile nchi ya maziwa matatu hiyo miji/mji ipo pia, tusione ni burebure tu viongozi wa mataifa makubwa kupishana kwenye ile nchi na mara nyingine hukutana pamoja,shortly tunavovijua ni kama kisoda tu kwenye pipa lililojaa maji mengi

form1
Wanajua wachokuwa wanakifanya mkuu....
 
Nimekupa like ila naona kama unakitu unakijua vizuri ila unataka kurukaruka tu au kuleta ujuaji kwenye Uzi wa mwenzio, hapa tunabadilishana uelewa mkuu eiyer tangu kaleta uzi huu hapa wengine tunasoma polepole na kwa umakini mkubwa kuogopa kuchangia hovyo au kudanganyika we kama umekuta tunadanganywa sema ulijualo wewe tushirikiane tuelewe kama mtoa mada kakosea mahali rekebisha kiungwana tu acha shobo mkuu au leta unachokijua sie tutaelewa kati yako na mkuu eiyer nani anaelewa vzuri habari hizi.
 
We jamaa unajiona mjuaji sana ila ujue nini kama husemi kwa ushahidi basi hukuwa na haja ya kuja kutuletea ujuaji wako ambao hatuujui wala kuuamini bora tuendelee na mada iliopo we una masifa ya kijinga baki nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ