Mkuu unajuaje kama watu hapa hawajajiuliza kuhusu haya yote?Kabla ya kusoma / kuandika kuhusu Aliens ningewashauri watu wajiulize maswali haya
What is Alien...?
What is life....?
What is interagency..?
What's are necessary conditions for life to exist....?
Which are credible source to study about Aliens...?
Otherwise tutalishana "Hoax+conspiracy + wishful thoughts +believes "
Unapoteza wakati wako mkuu.Hawa watu wa namna hii wapokwaajili ya kupinga tu na siyo kuleta suluhu au mjadala wenye mantiki...Unashindwa nini kuweka hizo scientific arguments ili zioneshe utofauti wa hizi personal feelings na sisi tu comment, anzisha uzi ndugu kuuelewa na kutouelewa itabaki kwangu otherwise achana na huu uzi kama hutuwekei hizo scientific arguments ziache hizi personal feelings ziendelee kutamalaki hapa Jf.
Comments za wengi zinaonesha hawajajiuliza, na walio jiuliza wanapingwa kwenye huu uzi wako..!Mkuu unajuaje kama watu hapa hawajajiuliza kuhusu haya yote?
Kwasababu kama umejiuliza Alien ni kitu gani, Uhai ni nini, mazingira gani ya razima ili uhai uwepo na kivipi tunaweza hakikisha kama alien wapo. Basi huwezi kukubalina na huu uzi na wasio kubaliana nawe naona wanapingwa, nimeona mmoja hapo juu...Kivipi mkuu?
Nahitaji ufafanuzi zaidi mkuu...
Kwanini uwepo wa Aliens ukinzane na uwepo wa au maana nzima ya maisha?Kwasababu kama umejiuliza Alien ni kitu gani, Uhai ni nini, mazingira gani ya razima ili uhai uwepo na kivipi tunaweza hakikisha kama alien wapo. Basi huwezi kukubalina na huu uzi na wasio kubaliana nawe naona wanapingwa, nimeona mmoja hapo juu...
Watu wenye akili kama zako ni kikwazo katika maendeleo....Man you cant beat the bold! That guy is special. He was born to do do what he does. Baki msomaji kama mimi. Sio lazima wote tuandike. Makala ndeeefuu hadi usingizi. Acha kujaza server kwa nonsensical threads
Kwa kifupi jamaa siyo intellectual. Kwanza kiungwana alitakiwa amuombe msamaha kwa jinsi alivyochafua watu wengi. Anyway, huenda ndo aliens wenyewe hawataki tuwajue.Watu wenye akili kama zako ni kikwazo katika maendeleo....
Umetumia nguvu nyingi kuandika kitu ambacho ni upuuzi WA kiwango cha degree,
JF ni jukwaa huru Na hakuna anaye lazimishwa kuweka comment yake kwenye post fulani, ukiona andiko halijakupendeza ni bora ukae kimya kuliko huu upuuzi ulio uandika hapa..
Waandishi wanatumia nguvu kubwa sana mpaka hizi taarifa zinatufikia katika hali iliyo rahisishwa zaidi, hata mkuu The Bold atahuzunika sana akiona huo upuuzi ulio uandika...
Pamoja sana mkuu....Wakati nasoma hii makala yako ndugu muandishi, nilijikuta nasafiri Safari ya mbali sana kifikra juu ya mambo uliyo yaelezea...
Bado niko safarini kifikra ndugu lakini Nimatumaini yangu Nitarudi Salama na kupata majibu mazuri ya masuali ninayo jiuliza...
Sitaki kukataa wala kukubali lakini kitu kikubwa ninacho kupongeza ni kwamba, UMENIFANYA NIFIKIRI ZAIDI YA UWEZO WANGU ( out of the box)
Acha majigambo toa hoja usijifanye fundi sanaMkuu nakuomba tafadhali, acha kupoteza watanzania.
Acha waliopo ambao hawajui huu ujinga wakae wafanye mambo mengine ya msingi. Ulichondika ni uongo mtupu na huna evidence hata moja zaidi ya vipicha ulivyoleta kutoka kwenye blog ambazo hata miminilishiriki kuziandika miaka ya zamani kusambaza uongo maana zilikua zinalipa, kutengeneza $150 kwa siku ilikua ni kugusa tu. Ila nimeelimika nikaona negative side of it nikaacha nikaanza kufanya mambo mengine ya halali ya maana. Nilikua natumia hata photoshop kukaa na kutengeneza picha fake za aliens kua wameonekana maeneo mbalimbali kama evidence na watu wanaamini, I'm super good at photoshop huwezi ona picha ukasema its fake. Picha zote ulizoleta hapo ni fake, I am 100% sure.
Aliens labda wapo, ila hatujadetect hata moja, the closest thing ambacho tumedetect tukajichanganya kusema ni aliens ni Pulsars, hizi ni neutron stars zinakua zinaemit huge amounts of radiations katika interval moja nzuri sana kiasi kwamba the first time inakua detected miaka ya 1960s wanasayansi walidhani ni message kutoka kwa aliens imekua decoded, later on wakaja kugundua ni just stars. Nimeattend meetings nyingi sana za astronomy, nilikua napenda sana astronomy wakati nipo chuoni, nimekaa nawasikiliza watu wengine very popular duniani in science live, ukipeleka huu ujinga mbele yao watakucheka.
Huwajui NASA, wala any space agency wanavyo-operate, wala hujui wanaohusika na space research, ila ungekua umezunguka au umesumbua hata kichwa kidogo ungetambua kua ni watu ka wewe na mimi tu na they are smart enough kutokukaa wanafuatilia huu ujinga, ukiwa bongo kila kitu unaaminishwa unabeba, kikiwa tu kwenye blog watu mnameza, hizo blog tunaandika sisi sio malaika, advertising is a serious business. Ngoja nikwambie how it will happen, siku ikitokea tumedetect aliens, dunia nzima itajua, na utasikia kwenye reputable sources zote dunia nzima, wala haitofichwa, na kama extraterrestrial beings wapo hadi sasa na hatujawatambua basi ni obvious they are smarter than us, wanafikiria kwa uwezo zaidi kuliko wa kwetu, au wapo kwenye a completely different life form sio tuliyozoea, if thats the case probability ya sisi kuwatambua ni next to zero.
TLDR Tafadhali usipotoshe watanzania.
Hii mada nishaifunga, sina muda kubishana na watu wanaoamini conspiracy theories, from my experience hamna kitu mtaambiwa mkubali maana hata sayansi iliwapita pembeni. So mwisho wa siku we endelea kuamini unachoamini, hainipunguzii kitu.Acha majigambo toa hoja usijifanye fundi sana
Umiefunga kwani umeanzisha wewe, acha majigambo ya kike sayansi yako kafanye na mumeoHii mada nishaifunga, sina muda kubishana na watu wanaoamini conspiracy theories, from my experience hamna kitu mtaambiwa mkubali maana hata sayansi iliwapita pembeni. So mwisho wa siku we endelea kuamini unachoamini, hainipunguzii kitu.
thanks kwa Tag mkuu. ila naitwa Merengo90 not Marengo.Damian marijan @marengo90 Upepo wa Pesa Mkuu wa chuo @Blaki Woman Pendael24 Juma chief kauzu12 Guru Master mtu chake Mlelajr Azizi Seiph NAKEMBETWA Mwanga Lutila chumvichumvi Nifah ngajone sumer Yamakagashi cpt mselambaya mr green Duterte stable woman PUNKY Napoleone kadefeghe Compton twalib ngonyani Boanerge linous fahadain fuentte itearz torvic yang afsa Kazwala mkuu festo james kibol Kolomije wa Dar the glassroof
Pamoja sana mkuu....thanks kwa Tag mkuu. ila naitwa Merengo90 not Marengo.
nimeisoma, ngoja nikae chini then tutafakari pamoja ila mim nipo ur side on this, kuwa kuna super existance beings wapo na wanajifunua kwa namna mingi thou source yao ni moja.....
I ll be ryt back