Kuiomba Tanganyika ni kuenzi ukoloni

Kuiomba Tanganyika ni kuenzi ukoloni

Muda si mrefu Zanzibar pia itaanza kesherekea Uhuru 10 december. Mungu ibariki Tanganyika Mungu ibariki Zanzibar
 
Nimekueleza Tanganyika jinsi ilivyo siii yako wewe ni ya mjerumani sisi kama sisi ni watanzania na


Sent from my iPhone

Pamoja na porojo nyiingi ulizoandika, vipi kuhusu Zanzibar?? Kwani hii haikuwa Koloni la Sultani?? Na jina gani walikuwa wanatumia??
 
Rudi darasa la tatu mkuu majibu utayapata.
 
majina ya nchi zote afrika yaliasisiwa na wakoloni maana ndio walioligawa bara hili. zanzibar muingereza aliita zenjibar mbona huwaambii wazanzibar wakatae neno zanzibar la ukolon na kulipokea Tanzania la waasisi? yaani kwa watanganyika pekee ndio unaona choyo? mbona wakenya huwaambii,wa ghana,cameronn,nigeria. wewe umeona tanganyika pekee?

kama waznz wanatesa wat/nyika kutomiliki ardh na kuuwa viongozi wa dini tuendelee hivi hivi?.
 
Hakuna anaekataa Tanganyika, kinachokataliwa ni kutumiwa Tanganyika kuficha chuki za watu kama akina Warioba, Seif Sharif na Mtikila. Wewe unajifanya una uchungu au unaijua Tanganyika kuliko Waasisi wa hiyo Tanganyika akina Mwl Nyerere na wazee wenzake?
 
Muda si mrefu Zanzibar pia itaanza kesherekea Uhuru 10 december. Mungu ibariki Tanganyika Mungu ibariki Zanzibar

Iko dhahiri kabisa kuwa waumini wa Serikali tatu wanaipenda kwa sababu zao sio kuimarisha Muungano kama malivodai Warioba.
 
Muullize anaehutubia siku hiyo pale uwanjani
 
Hakuna anaekataa Tanganyika, kinachokataliwa ni kutumiwa Tanganyika kuficha chuki za watu kama akina Warioba, Seif Sharif na Mtikila. Wewe unajifanya una uchungu au unaijua Tanganyika kuliko Waasisi wa hiyo Tanganyika akina Mwl Nyerere na wazee wenzake?

umevurugwa we mwanaharamu. kafie mbele ww jini maimuna.

Tangayika nakupenda.
 
Ni ujinga ukiomba nchi ya Tanganyika iliyodumu kwa muda wa miaka 2 na miezi 4 tukaikataa Tanzania iliyodumu miaka 50.

Ujinga uko wapi? Wewe ni Nape? Siamini kwamba jambo kubwa kama hilo, unalikataa kwa sababu ndogo kiasi hicho. Nani alikufundisha kwamba Tanganyika ilikuwepo kwa miaka miwili tu! Kabla ya hapo Mwingereza alitawala nchi gani?

Achaneni na vijimaelezo vya wajumbe uchwala wa CCM. ETI TUNAENZI UKOLONI! What is your name? Mbona wengi munafurahia kuitwa majina ya wakoloni? Mbona Rais wako anafurahia nchi kuwa mwanachama wa common wealth. Unajua maana yake?

Kwa wa TZ wenzangu, sasa nayaona madhala ya kuwa chini ya CCM kwa kipindi kirefu. Kiwango chetu cha uelewa na hata kufikiri kinaendelea kuwa chini kabisa! CCM wao hata baada ya miaka yote hii bado viongozi wao ni class 7.
 
Muda si mrefu Zanzibar pia itaanza kesherekea Uhuru 10 december. Mungu ibariki Tanganyika Mungu ibariki Zanzibar

Amina,thank God Tanganyika yangu inarudi,porojo zooote,tunaitaka Tanganyika,good news sehem kubwa ya wazanzibari wanatuunga mkono.
 
Iko dhahiri kabisa kuwa waumini wa Serikali tatu wanaipenda kwa sababu zao sio kuimarisha Muungano kama malivodai Warioba.

Mkuu kwani huo muungano una faida gani,nikikuomba unipe au utaje faida za muungano,unipe facts sio hisia na mambo ya kufikirika utanitajia?
 
Hakyamungu kumbe kuna robots katika kufikiri. Kudai nchi yako uwe na mawazo ya kukumbatia ukoloni? Mleta mada umevurugwa siyo bure.ukoloni gani unaosema? Yaani kamkoa kamoja katawale mikoa 26 eti ccm wanaogopa utawala wao kuondolewa ndo iwe sbb? Kwenda zako tunataka tanganyika yetu.kibaraka mkubwa we !kafie mbali.
 
Tanganyika tunayoitaka ni ile inayo waunganisha wtz wote kusherehekea uhuru wake tarehe 9 mwezi wa 12 bila kujali wanao ipinga na wanao ikubali.Wote tunaungana kuitukuza Tanganyika kwa pamoja.

Ona huyu et Tanganyika inayowaunganisha watanzania wote!! Hiyo Tanganyika gani? Hujui unacha dai wewe


Sent from my iPhone
 
Acha kuandika upuuzi hiyo Tanzania na Tanganyika ipi ilikuwapo kabla?

Kama tukiangalia nini kilianza kabla, basi turudi hadi utalawa wa machifu sasa tuigawe Tanzania ki makabila kwasababu tunataka kuanza upya


Sent from my iPhone
 
Hivi unajua kwamba hata hilo eneo la Tanganyika liligawa na wakoloni mwaka 1884 huko Berlin. Kwa hoja yako hiyo "Tanzania" unayoijua ni chimbuko la wakoloni vilevile.

Sent from my Lumia phone using Tapatalk

Tanzania Wakoloni hawaijui kabisa Tanzania ni muungano wa Nchi mbili kamili na sii kooo wala makabila au machifu


Sent from my iPhone
 
What did Tanzania brought us? I can say, Tz brought mkoloni-mweusi(ambaye ni hatari kuliko yule mweupe) hivyo tunaihitaji Tanganyika yetu na itapatikana tu kama mkoloni-mweupe alivyoitema!

Ujue Usifumbe macho ukatafuta mlango hiii nchi itajengwa na watanzania kama ni wavivu wa kuwa wabunifu basi hakuna kumlaum mtu juu ya hili


Sent from my iPhone
 
Wewe mpuuzi hiyo sio bendera ta Tanganyika. Bendera ya tanganyika huru kila mtu anaijua uaituletee mashuzi hapa

Hiyo bendera aliyoiunda ndio huyo uliunda Tanzania sasa kama unakataa hiii ya Tanganyika basi hii ndio bendera yako ImageUploadedByJamiiForums1396546985.131883.jpg


Sent from my iPhone
 
Back
Top Bottom