Kuiomba Tanganyika ni kuenzi ukoloni

Kuiomba Tanganyika ni kuenzi ukoloni

Yaani ndege nilifikiri una kichwa cha kufikiri kumbe bado sana tu.
 
Uko sahihi mkuu., Nilipendekeza serikali 1, na ikishindikana basi 3 lkn litangazwe shindano la kutafuta jina jipya la Tanganyika

Akili nzuri sana tuifate Rwanda na Burundi pia Tunataka Tanganyika yetu lolView attachment 148929
Kwani kuna sumu kuwa na serikali mbili zenye madaraka kamili???


Sent from my iPhone
 
Yaani ndege nilifikiri una kichwa cha kufikiri kumbe bado sana tu.

Hapana mimi ni kilaza tu ila kwahili naona Giza tu kila Mtanzania haoni manufaa ya muungano wetu serikali ya Zanzibar ipewe madaraka zaidi Tanzania ibakie kama ilivyo Matatizo yanaisha Mbona south hatujaungana lakini tuenda bila viza? Ni udugu uliyokomaaa zaidi kuwa na TanzaniaView attachment 148930


Sent from my iPhone
 
Tunataka TANGANYIKA YETU, lugha zenu za ngonjera haziwez kutuziba midomo

Unataka Tanganyika ipi yenye Rwanda na Burundi? Au ipi sasa au hiii hapa ImageUploadedByJamiiForums1396530436.782426.jpg


Sent from my iPhone
 
Ndege achia watu wachangie usilete viroja vya Kikwete! Ninekuto maana kabisa huoni haja ya kuzifuata Rwanda lakini unaona umuhimu wa kuing'ang'ania Znz hata ikbidi kuipa madaraka kamili! Tanganyika yenye madaraka hata nusu iko wapi?
 
Tanganyika ni ya mjerumani bali Tanzania ni zao la watanzania sasa unadai nchi ambayo sii yako akili matope


Sent from my iPhone

Akili matope ni wale wanao ikataa Tanganyika ifikapo tisa disemba wanasherehekea uhuru wa Tanganyika.
 
Hiyo Tanganyika ilipata uhuru mwaka 1961 na ikawa Jamhuri mwaka1962. Tena tukiwa na bendera yetu, kwa nini tusitumie hiyo wewe unatuwekea ya Mkoloni.... Anyway mipaka ya Africa iliwekwa na Wakoloni.
Endelea kuelezea Historia ikawaje hadi 1964
I see huyu kibaka ametokea wapi sijui.
 
Tanganyika tunayoitaka ni ile inayo waunganisha wtz wote kusherehekea uhuru wake tarehe 9 mwezi wa 12 bila kujali wanao ipinga na wanao ikubali.Wote tunaungana kuitukuza Tanganyika kwa pamoja.

Hivi Nani aliiyomba Tanganyika kwa ushujaaa na huyo aliyeiomba Tanganyika ndio aliyiiomba Zanzibar ikakawa Tanzania sasa Sijui wewe unataka ni kumkosoa AMA kumlekebisha maana kwake yeye Mwalimu Nyerere wewe nakuona kidampa tu mpaka pale utakapo unganisha at least kijiji na kijii nakukipa jina lake


Sent from my iPhone
 
ccm imejaza vilaza nchi hii!!!Mungu peke ndo anajua ccm ilichoifanya tanzania.vp kuhusu ZANZIBAR?NAKO NI KUDUMISHA UKOLONI?KWA NINI UMEONGELEA TANGANYIKA TU?SUALA LA TANZANIA LIWEKE KWENYE MIZANI NA KILA UPANDE U-BALANCE!
 
Ndege achia watu wachangie usilete viroja vya Kikwete! Ninekuto maana kabisa huoni haja ya kuzifuata Rwanda lakini unaona umuhimu wa kuing'ang'ania Znz hata ikbidi kuipa madaraka kamili! Tanganyika yenye madaraka hata nusu iko wapi?

Wakulalamika ni Zanzibar sisi si watanzania maana Mungano ulivyo kwasasa ni kama tumeiteka Zanzibar sasa kuuomba madara ya Tanganyika nikuomba jina tu ambalo ni kuomba ukoloni maana katika muuungano Zanzibar tuliwateka hawana chochote tuwape madaraka zaidi wawatumikie wananchi wao


Sent from my iPhone
 
Nimekueleza Tanganyika jinsi ilivyo siii yako wewe ni ya mjerumani sisi kama sisi ni watanzania na


Sent from my iPhone

Umejidai kuandika historia sasa unatakiwa uendelee kuiandika hadi 1964 sio unaandika vitu nusunusu na kujifanya mwanahistoria.
 
Nimekueleza Tanganyika jinsi ilivyo siii yako wewe ni ya mjerumani sisi kama sisi ni watanzania na


Sent from my iPhone

Acha kuandika upuuzi hiyo Tanzania na Tanganyika ipi ilikuwapo kabla?
 
Hivi Wakuu kwani kuna reshuffle ya Wakuu wa Wilaya hivi karibuni inakuja? Manake mada zingine bana zinashindikana hata kutetewa.

Wengi wanaukwaa ukuu wa wilaya hivi hivi..si unajua enzi za JK.

Mada si kuwa na Tanganyika (tunaweza kuita vyevyote vile) ila ni kuondokana na muungano kiinimacho...hauelezeki tena hajulikani msingi yake ilikuwa nini.
Nyerere alinishangaza kweli alipolikana jina la Tanganyika, ati hajui lilitoka wapi! Kwani alipokuwa anazunguka nchi nzima akihamasisha upatikanaji wa uhuru wa Tanganyika alikuwa na maana gani? Kajifojia kimuungano chake feki halafu analazimisha...kafa na muungano unakufa ili watu wajifunze kufanya vitu kwa ridhaa ya wananchi.
 
Mkuu Pascal Ndege,umepotoka.Kuidai Tangayika ni kuhakiki uhuru na kuutukuza uhuru tulioupata mwaka 1961. Iliyopata uhuru toka kwa wakoloni ni Tanganyika.Inayodaiwa ni Tanganyika. Kuna kosa gani kuidai? Halafu usichanganye uhuru wa nchi na ushirikiano.Uhuru kila nchi ina wake;ushirikiano ni wa hiari na hauonyeshi kuwa huru toka kwenye ukoloni.Kwa taarifa yako,wakoloni wanatawala tena nchi zetu kupitia ushirikiano uliopo.
Ni kama kusema kuwa waliichukua Tanganyika yetu na kuitumbukiza katika ukoloni mwingine wa weusi. Haina tofauti. Hata kama wanaotawala ni weusi, lakini baada ya miaka 50 ya utawala, wananchi ni maskini kiasi hiki, maendeleo duni kiasi hiki kama inavyodhihirika katika safari ya Kinana kule Rukwa, maji, elimu, afya, viwanda, kilimo, mifugo, miundombinu, vyote dhaifu; isitoshe sasa rushwa, ufisadi, ujangili, madawa ya kulevya, mikataba mibovu, kupanda gharama za maisha kila kukicha n.k ndio kama sera ya utawala huu, hata kama wanaotawala ni weusi, ukweli ni wabaya zaidi ya wakoloni wale weupe. Kelele hizi za kutaka Tanganyika ni zaidi za kutaka Tanganyika jina. Wananchi wamechoka na utawala huu wa mkoloni mweusi na wanataka mabadiliko makubwa katika system ya utawala. Wanataka ku overhaul system yote na kuanza upya pale Tanganyika ilipofia. Tumaini lao la kufanya hivi lilikuwa katika ujio wa vyama vingi lakini utawala huu wa mkoloni mweusi umekuwa ukitumia udhaifu wa Katiba kuzima mabadiliko. Safari hii wananchi wamekuwa na matumaini kuwa sasa Katiba mpya ingeweza ku facilitate mabadiliko, lakini bado mkoloni huyu anafurukuta kuzuiya mabadiliko ya Katiba. Zanzbar wao wamefurukuta kujitoa katika makucha ya mkoloni huyu na kiasi kikubwa wamefaulu ingawa bado mkoloni huyu anataka kushikilia vipengele muhimu ili kuendelea kuithibiti Zenj. Kuitaka Tanganyika maana yake ni kutaka ukombozi kutoka katika utawala dhalimu wa mkoloni mweusi---CCM!
 
Japokuwa umetumia maneno marefu sana , hata hivyo TANGANYIKA ni lazima irudi ! Umeweka masihara kwenye mambo ya msingi mno ! Ulaaniwe kabisa !
 
Back
Top Bottom