Kuinyima misaada Russia ni ujinga usiofikirika kwa Marekani

2013

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
11,358
6,059
Russia haiutambui uongozi wa Ukraine uliopo, Russia ambayo ina raia wake wengi katika mji wa Crimea , imesema itaendelea kukalia Crimea kulinda mslahi yake, kitu ambacho naimani hata ingekuwa Marekani ama China zingefanya kama Russia ilivyofanya ili kulinda maslahi yake. lakini Marekani na Ulaya zinataka kuipora Russia maeneo muhimu ili kuidhohofisha, kitu ambacho Russia haiwezikukubali kirahisi.

Mkwara wa Marekani kuinyima misaada Russia, inaweza kugonga mwamba kwakuwa, Urusi wameonya kuwa watapunguza utegemezi kwa Marekani mpaka kufikia sifuri. na kutafuta namna itakayowafanya wao wawe washindi dhidi ya vikwazo hivyo. pia hawatalipa mkopo kwa benki za Marekani, zaidi ya yote hawatafanya biashara kwa kutumia US Dollar, wana imani uamuzi huo utaharibi mfumo wa kifedha wa Marekani na kuiangusha Marekani kama nchi inayoongoza kwa uchumi mkubwa duniani.

Uzoefu unaonyesha kuna wakati Marekani iliwatimua Warussia watatu kwa tuhuma za kufanya ujasusi nchini Marekani, Russia ikajibu kwa kuondoa Wamarekani 50, na ikasema itaendelea kufanya hivyo kwa kila Mrusi mmoja. (rati ya 1:50) Marekani ikalalamika but haikusaidia kitu.

Here's a good laugh.

Sergei Glazyev — a Kremlin aide who's known for voicing extremist lines on policy — is out with some of the sillier threats imaginable to the US.

From Reuters:

A Kremlin aide said on Tuesday that if the United States were to impose sanctions on Russia over Ukraine , Moscow might be forced to drop the dollar as a reserve currency and refuse to pay off any loans to U.S. banks .

Catch that? Glazyev is literally threatening to put his own companies into default. That's the opposite of a threat.

AFP has more:

"We would find a way not just to reduce our dependency on the United States to zero but to emerge from those sanctions with great benefits for ourselves," said Kremlin economic aide Sergei Glazyev, noting that Russia could stop using dollars for international transactions.

"An attempt to announce sanctions would end in a crash for the financial system of the United States, which would cause the end of the domination of the United States in the global financial system," he added.

Again, all you can do is laugh at the notion that Russia has the ability to induce a crash of the US financial system by getting away from the dollar. Sure, if Russia wants, it can conduct transactions in any currency it likes, but that won't stop Russian counterparties from then exchanging whatever currencies they trade in for the dollar.

Meanwhile, perhaps Glazyev needs a reminder of the declining state of the Russian economy (even before the latest turmoil).

Here's Matthew Klein:

Real gross domestic product growth has already slowed from 5.1 percent in 2011 to just over 1 percent in 2013. Car sales fell by 5.5 percent in 2013, despite the Russian government's introduction of subsidized auto loans.

If that weren't bad enough, European demand for natural gas -- about30 percent of which comes from Russia -- has been steadily falling since 2010. Additional supply could come on line in the coming years from the U.S. and Israel at the same time as Russia expands its own production capacity. The net effect could be a glut that would lower prices and further reduce Russia's access to hard currency.

Meanwhile, world oil prices have been flat for years, while Russian production costs have rapidly increased. Some analysts think Putin's recent adventurism in Ukraine has been an attempt to distract his domestic constituents from these unpleasant economic prospects.

Glazyev probably thinks it sounds good domestically to make these threats and to imagine that they're of any significance. For everyone else they're just an amusement.
Source: Aide To Putin Makes The Stupidest Threat Imaginable To The US - Yahoo Finance

Read this too:

140303080112-01-ukraine-0303-horizontal-gallery.jpg


UPDATE 1-EU ready to provide 11 bln euros of financial aid to Ukraine | Reuters

* EU's financial assistance a series of loans and grants
* European leaders to meet Ukraine's PM on Thursday (Adds details, background)

(Reuters) - The European Union is ready to provide 11 billion euros ($15 billion) of financial support to Ukraine over the next couple of years via a series of loans and grants, European Commission President Jose Manuel Barroso said on Wednesday.

The assistance would be delivered in coordination with the European Bank for Reconstruction and Development and the European Investment Bank, and is in part contingent on Ukraine signing a deal with the International Monetary Fund.

"The package combined could bring an overall support of at least 11 billion euros over the next couple of years, from the EU budget and EU-based international financial institutions," Barroso told a news conference.

The announcement comes a day after the United States offered $1 billion in loan guarantees and said it would send technical experts to Ukraine to advise its central bank and finance ministry on how to tackle economic difficulties.

Ukraine is on the verge of bankruptcy because of economic mismanagement, high energy costs and currency turmoil fuelled by a conflict with Russia since the ouster of Moscow-backed President Viktor Yanukovich in February.

The West has stepped up efforts in recent days to persuade Moscow to pull its forces from the Ukrainian Crimea peninsula, which they seized after the fall of Yanukovich, and avert the risk of war.

The EU also plans to bring forward trade benefits that Ukraine would have received had it signed an association agreement with the EU last year, and will work on providing energy to Ukraine via "reverse flows" of gas from the EU.

Kiev's new rulers have said they need $35 billion over the next two years. But its shorter-term requirements are much less and are estimated to be around $4 billion, according to some EU officials.

European leaders will hold an emergency summit on Thursday in Brussels to discuss what steps to take next on Russia, having threatened sanctions if Moscow does not reverse course in Ukraine. ($1 = 0.7277 euros) (Writing by Luke Baker; editing by Martin Santa)
 
Russia zaidi ya nuclear weapons ana nini?njaa Kali tuu and full west dependency na gas yake kila akichukia anafunga pipes,
 
Kupunguza misaada kwa marekan kwa urusi kutaiathiri zaidi urusi kuliko marekan ingawa ni ukweli usiopingika kua dola ya kimarekani itayumba

umoja wa ulaya na marekan kama wataamua kumbinya urusi kwa vikwazo urusi itaathirika zaidi maana inategemea sana uingizwaji wa vitu vingi toka ulaya,soko kubwa la biashara zake liko ulaya,kwa ujumla urusi atakua ndio muathrika namba moja kwa hvyo vikwazo

urusi kwa sasa ni tegemezi mkubwa sana wa nchi za magaribi kuliko kipindi chochote,anasambaza karbu 25% ya gesi ulaya,km umoja wa ulaya utamuwekea vikwazo atasitisha usambazaji,bei ya gesi itapanda ulaya,lkn je yeye ataiuza wapi?kuanza kujenga miundombinu ya gesi kwenda asia itamchukua mda sana na garama kubwa lkn pia huko asia nan atamudu,weng ni choka km afrika
 
Germany ni mteja mkubwa sana wa gas ya russia na nchi nyingi za jirani yake. Marekani hawateza washawishi kirahisi watumiaji wakubwa wa fuel resources kuzisusa wakati ndio kwanza hizo nchi zimeanza kujitoa katika mmomonyoko wa uchumi, jirani mwengine ni Iran. Kususia hizo bidhaa na Iran bado yupo kwenye sanctions maana yake ni kuzifuata mbali. Wacha kuwa gharama bali itawachukua muda kuwa na stability nazo (na ni very expensive process kufanya hivyo), bado zikifika inabidi zifanyiwe industrial processes za kuzibadili kuwa gas.

Angela Merkel awezi kubali upuuzi huo he needs russia very much si yeye tu bali many balkan nations or else it is going to be very expensive for them to import those commodities especial in winter time. Mkwara tu ndio maana uwasikii wa Europe kuchochea vikwazo wanajua umuhimu wa russia kwao.
 
Kupunguza misaada kwa marekan kwa urusi kutaiathiri zaidi urusi kuliko marekan ingawa ni ukweli usiopingika kua dola ya kimarekani itayumba

umoja wa ulaya na marekan kama wataamua kumbinya urusi kwa vikwazo urusi itaathirika zaidi maana inategemea sana uingizwaji wa vitu vingi toka ulaya,soko kubwa la biashara zake liko ulaya,kwa ujumla urusi atakua ndio muathrika namba moja kwa hvyo vikwazo

urusi kwa sasa ni tegemezi mkubwa sana wa nchi za magaribi kuliko kipindi chochote,anasambaza karbu 25% ya gesi ulaya,km umoja wa ulaya utamuwekea vikwazo atasitisha usambazaji,bei ya gesi itapanda ulaya,lkn je yeye ataiuza wapi?kuanza kujenga miundombinu ya gesi kwenda asia itamchukua mda sana na garama kubwa lkn pia huko asia nan atamudu,weng ni choka km afrika
nchi zinazonunua gase russia zikisusa,sijui zitanunua wapi,maana gesi ya marekani iko mbali,hakuna pipeline ya kutoka marekani hadi ulaya na ile gesi ya qatar bado haijawekwa miundo mbinu hadi syria patulie.itabidi wategemee Liguified gase inayokuja kwa meli,nayo itakua expensive
 
Umeshasikia nchi inaitwa NORWAY na kampuni yao ya STATOIL?

Mnada wa Urusi tayari una hali mbaya sana kwa sasa.

Ukweli ni kuwa kwa dunia ya leo ilivyo, hata ukiiwekea Sancion USA, na yenyewe itakuwa choka mbaya.
nchi zinazonunua gase russia zikisusa,sijui zitanunua wapi,maana gesi ya marekani iko mbali,hakuna pipeline ya kutoka marekani hadi ulaya na ile gesi ya qatar bado haijawekwa miundo mbinu hadi syria patulie.itabidi wategemee Liguified gase inayokuja kwa meli,nayo itakua expensive
 
Russia a.k.a Urusi ina uchumi mkubwa na wala haitegemei misaada.
toka nasoma nimekuwa nikiielewa xana russia hata kufuatilia current issues.
 
inawezekana amemaanisha alichoandika lakini pia inawezekana alikusudia kusema mikopo ngoja aje mwenyewe aclarify vizuri
cc: 2013
nchi xenye uchumi mkubwa duniani ni
1. US
2. China,
3. Japan
4. Germany
katika nchi hizi russia haipo kabisa. pia haijazifikia nchi za ulaya kama France, UK, ..etc.
Russia ni nchi enye uwezo kijeshi lakini kama zilivyo nchi nyingine inapewa misaada na marekani.
hata korea kaskazini ni nchi yenye uwezo kijeshi lakini kiuchumi ni choka mbaya.

misaada hii ilikuwepo tangu kuanguka kwa USSR ambapo ilipelekea umaskini mkubwa nchini kwao, ambapo US walianzisha mkakati wa kutoa misaada ili kukuza uchumi wasije wakafikia kiwango cha absolute poverty , lengo lilikuwa kuepusha wataalam/wanasayansi wa kirrusia wa nyuklia ambao walidaiwa ni wengi sana, wasije wakarubuniwa na offer kutoka nchi hasimu kwa US wakapeleka technolojia hiyo huko, ambayo inaweza kuwaumiza US.kwani wengi walikuwa jobless.
pia watu ni budi waelewe hata marekani inayotawala/kuongoza uchumi wa dunia, ndio nchi pekee yenye madeni mengi zaidi duniani, vilevile huwa inapewa mkopo na china. thats normal. kuna madai kuwa wamarekani sio waoga kujaribu innovation ndio maana kwenye sayansi na technolojia wako tayari kugharamia pesa nyingi hata kukopa ili wapige hatua kuliko nchi nyingine zilivyo. haya ni mambo ya ushirikiano wa kimataifa hayana uhusiano na ugomvi wao.

ukweli utabaki palepale kuwa US haiwezi kuipiga russia, vilevile Russia haiwezi kuipiga US. wanaofatilia mkataba wa 'MAD'(mutually assured destructive) wataelewa hili kwa kina ni kwanini mkataba ulifanywa.
 
Tatizo Marekani wanajua kila nchi wanaweza kuijaribu..Hapa vikao vingi baada ya kazi wengi wao wanamini hakutokuwa na mtu wa kumshika paka kengele ikiwa Rusia wataamua waikalie Ukrain yote
 
Kupunguza misaada kwa marekan kwa urusi kutaiathiri zaidi urusi kuliko marekan ingawa ni ukweli usiopingika kua dola ya kimarekani itayumba

umoja wa ulaya na marekan kama wataamua kumbinya urusi kwa vikwazo urusi itaathirika zaidi maana inategemea sana uingizwaji wa vitu vingi toka ulaya,soko kubwa la biashara zake liko ulaya,kwa ujumla urusi atakua ndio muathrika namba moja kwa hvyo vikwazo

urusi kwa sasa ni tegemezi mkubwa sana wa nchi za magaribi kuliko kipindi chochote,anasambaza karbu 25% ya gesi ulaya,km umoja wa ulaya utamuwekea vikwazo atasitisha usambazaji,bei ya gesi itapanda ulaya,lkn je yeye ataiuza wapi?kuanza kujenga miundombinu ya gesi kwenda asia itamchukua mda sana na garama kubwa lkn pia huko asia nan atamudu,weng ni choka km afrika

Kama hata peleka gesi ulaya na ulaya itayumba kwa sababu wana tegemea gesi kwa mambo mengi, so it a lose lose situation
 
Back
Top Bottom