mkuu maslahi ni neno pana hapa, mzungu anaweza kuwa karibu na mzungu mwenzake kuliko jamii nyingine, pia mwarabu ni rahisi zaidi kujenga ushirika mtu mweupe yoyote kuliko mtu mweusi. hata mchina na mhindi pia.kwani watu weupe wanapendana na hawawapendi weusi. kwani weusi wengi ni maskini na hawana cha kumsaidia mtu mweupe. Ndio maana watu weusi wanabaguliwa sana duniani kwakuwa rangi yao ni kama ishara ya umaskini hasahasa akitokea afrika, tena ni bora atokee South afrika (SA), kwani inaheshimika zaidi.japo upenzi huu pia utagundua unahusika na maslahi zaidi.
lakini tukija kwenye hii ishu ya russia, utaona kuwa, Ukraine chini ya utawala huu ina mpango wa kuvunja ushirika na Russia na kujikita na ulaya magharibi nayo ni sababu ya maslahi. Russia haina utajiri (maslahi) kama Ulaya magharibi. lakini eneo la crimea lina military base ya russia ikiwemo jamii ya wenyeji wenye kuzungumza ki-russia.(Russian).
unfortunately Ukraine sio member wa NATO, hii inaondoa uwezekano wa US kujiingiza kijeshi. lakini kujenga ushirika na Ukraine nikiashiria cha kuidhohofisha Russia.kwani Maslahi ya western, yapo kibiashara na kiusalama pia, kibiashara ni kama kushirikiana kiuchumi na Ukraine kuingia katika euro, lakini kiusalama ni kama US kuweza kuweka military base pale dhidi ya Russia.(rejea history of cold war)
ndio maana US inang'angana kuilaumu Russia. na ukicheki ni kweli Russia haijafanya fair kwani Ukraine ni nchi Huru (sovereighnity state) tena ikiwa na makubaliano ya mwaka 93 kuhusu crimea kuwa chini ya Ukraine. lakini kwasababu ya maslahi na usalama russia Imeamua kuingia kibabe kwa kudai inalinda raia wake wanaoishi crimea.(unakuaje na raia katika nchi nyingine?)
kimsingi kitendo cha Russia, ni sahihi kwani , Ni kitendo ambacho hata China na US zingefanya hivyo kwa maslahi yake kama kingetokea upande wao pia.
Hii ni tofauti na Sudan ambapo inatoa mafuta lakini potential yake haijawa kubwa kulinganisha na Ukraine.