KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,712
- 12,068
Msemo wa "ameingia cha kike" itakua unawahusu Sana wanaume kuingia cha "kike" kuliko wanawake kuingia cha kike.
Utafiti nilifanya, nimegundua, huko wanakoingia ni CHOONI.
Sasa sijajua iwapo mwanaume ataingia cha kike, atashindwaje kukojoa, nilidhani mwanamke akiingia cha kiume, atashindwa kukojoa, cha ajabu msemo wenyewe hautamki Mambo ya "kuingia cha kiume".
Au labda vyoo vya kike ni vichafu Sana, wanawake tuelezeni. Kama ni kusafi, kwanini hamuuchukii huo msemo? Badala yake mnaiimba na kucheza Kwa madaha mnapofika kwenye iyo chorus!!