Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,940
- 23,223
Kabla ya kwenda kuuawa unahubiriwa kwanza mauongo kuwa ukiwa mtulivu kwenye kunyongwa unapata thawabu kubwa na unaenda kupokelewa ahera bila shida.Hawa jamaa wanakuwa wamepigwa sana kunyong'onyezwa mwili?? Kwa nini wanakua kama mandezi hata hawajitetei
Ni vikosi vya magaidi. Ona walivyovalia, hadi vitoto vinashuhudia mauaji hayo ya kutisha!Dini au vikosi vya magaidi?
Vinatengenezwa kuwa viuaji vijavyoNi vikisi vya magaidi. Ona walivyovalia, hadi vitoto vinashuhudia mauaji hayo ya kutisha!
Nna Nyuklia zimechil zinasubiri Shekhe Mihemko ajitokeze achezee kibiriti.Daaah unajua kuna watu humu huwa mnamiss kutukanana tuu sio 😂😂😂😂🙌🙌🙌
Mkuu tutakuvamia na kukupiga vibaya sana.. hiyo video sio ya kuweka huku mkuu 😂😂😂😂Nna Nyuklia zimechil zinasubiri Shekhe Mihemko ajitokeze achezee kibiriti.
Nakuhurumia ujue ,yaani akili yako imeharibiwa adi nakuhurumia.Nyie wote ni wapagani mkuu, ukristo, budha wote ni wapagani.
Dini ni moja tu, Uislamu.....zingine ni upagani
Hii dini tuwaachie kina AbdullahMAANA YA MURTADI
Murtadi ni mtu ambaye alikuwa Muislamu kwa hiari, kisha akaamua kutoka kwenye Uislamu kwa kauli au vitendo vya wazi.
ONYO:Hii video inatisha,Murtadi akichinjwa kwa jina la Allah
HADITH KUHUSU MURTADI
Hadith za Mtume Muhammad (S.A.W) zinaeleza kwa uwazi kuhusu adhabu ya mtu anayeacha dini ya Kiislamu.
Hadith kuu:
a)
Hadithi hii ni sahihi na ndiyo msingi wa hukumu ya kifo kwa murtadi katika fiqh ya Kiislamu. Inahusiana na mtu anayepinga waziwazi dini na kuchochea uasi au fitna.
b)
Imepokewa pia kuwa Mtume (S.A.W) aliwahi kutoa hukumu ya kifo kwa watu waliokuwa Waislamu kisha wakatenda ukafiri kwa makusudi na kujiunga na maadui wa Uislamu.
HUKUMU YA FIQH KUHUSU MURTADI
Wanazuoni wa Kiislamu (fuqaha) wamekubaliana kuwa:
- Murtadi wa wazi (anayepinga na kuchochea): anapewa nafasi ya kutubu. Akikataa, anauliwa kwa amri ya kiongozi wa Kiislamu.
- Murtadi wa ndani (asiyeleta fitna): baadhi ya wanazuoni wa kisasa wanapendekeza aachwe kwa Allah aendelee kuadhibu.
NCHI ZINAZOTEKELEZA HUKUMU HII
Sheria ya adhabu kwa murtadi kwa msingi wa Hadith hutekelezwa katika baadhi ya nchi zenye mfumo wa Shariah kama:
- Saudi Arabia
- Iran
- Sudan
- Afghanistan
Qur’an inazungumzia urtidad (kuacha Uislamu) kama kosa kubwa lenye athari za akhera. Hadith sahihi inatoa amri ya kifo kwa murtadi wa wazi. Hii ndiyo msingi unaotumiwa katika fiqh za baadhi ya madhehebu za Kiislamu.
🤣🤣🤣Hii dini tuwaachie kina Abdullah
Be free achana na kupelekeshwa utaishia kumlisha askofu na mtume mwamposa.Moja kati ya maamuzi Bora nimewahi kufanya katika maisha yangu ni kuukana uislamu na kumkubali Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa MAISHA yangu
Nakuhurumia ujue ,yaani akili yako imeharibiwa adi nakuhurumia.
Mwambie Mungu wako wa uislamu amalize wote mbaki nyie wenyewe
Ndiyo maana Mchina ameweka masharti magumu dhidi ya dini hiyo
Naongea ukweliWewe ndo mana ile siku walitaka kukufungia choo cha msikitini...
Acha maneno yako
Nyie wote ni wapagani mkuu, ukristo, budha wote ni wapagani.
Dini ni moja tu, Uislamu.....zingine ni upagani