Hii mechi naweza iangalia wapi online waheshimiwa? Si unajua tena wengine hatuna DSTV wala vioo vya kuweza kukamata masafa ya mbali. Kwa mwenye fununu, ni channel gani kwenye internet itaonesha/inaonesha mechi za La Liga na hasa huu mtanange wa leo atudokeze hapa jamvini!