Kuileta Madrid Bongo ni kituko

Kuileta Madrid Bongo ni kituko

Masanilo naona umeamua kuja kufuatilia gemu kwa ajili ya kumbrief Guus! Ila hesabu maumivu J5

Nikuwawekea pin hao jamaa ukiwaachia wanakutia aibu...Messi atakuwa chini ya ulinzi wa Cole.....
 
Masanilo, kumbuka kuna Niesta atakayekuwa anapanda kusaidiana na Mesi siku hiyo kama ni Cole mmekula hasara bora mara 100 kuwa na Bosingwa.
 
BJ, au nikupe kilonga longa chake! Masanilo hupo?

Mh! Nitashukuru ila itabidi Masanilo ampigie halafu mimi nimsalimie tu vinginevyo...PM pls ila ninashare na Masa!..Nimebanwaa acha tu..
 
Salaam Chelsia tunakuja darajani kifua mbele. BJ panda feri huje darajani!
 
Jamani, huyu Messi nampenda kisoka TU. Usijali wala kumuonea wivu, hata hanifahamu...Relax my dear!

Mpenzi tulikuwa tuende Barcelona Summer, trip canceled tutaenda Lisbon...sawa eeeh isije jamaa akakatiza mitaa yetu ikawa shida...
 
Salaam Chelsia tunakuja darajani kifua mbele. BJ panda feri huje darajani!

Tatizo hizi salamu ni mbaya kwa Chelsea tena Massa wangu!..Japo nampenda Messi ila hamna jinsi inabidi niwepo darajani kushabikia ze bluez..
 
Mh! Nitashukuru ila itabidi Masanilo ampigie halafu mimi nimsalimie tu vinginevyo...PM pls ila ninashare na Masa!..Nimebanwaa acha tu..

Haya BJ Usikonde mimi lazima nikurushie kilonga longa chake manake J4 wanatua kwa bibi.
 
Tatizo hizi salamu ni mbaya kwa Chelsea tena Massa wangu!..Japo nampenda Messi ila hamna jinsi inabidi niwepo darajani kushabikia ze bluez..

BJ, unanikumbusha tangazo la Cocacola. yani unajifanya ze Blues ila ndani ya tshirt umepiga uzi wa Baca.
 
Masanilo, kumbuka kuna Niesta atakayekuwa anapanda kusaidiana na Mesi siku hiyo kama ni Cole mmekula hasara bora mara 100 kuwa na Bosingwa.

Hawawezi kufanya kosa hilo Maana Maluda atawafanya mbaya!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom