Mashaurijr
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 639
- 1,020
Habari wakuu. Mwezi wa kwanza mwaka huu. Baada ya mwezi wa 12 kuonekana nina wateja wengi sana kwenye biashara yangu sasa nimepata mpinzani mpuuzi sana. Kiufupi nimeumia sana kuwa na mpinzani wa namna hii.
Mpinzani wangu ni mwanamke kabla ya kufungua biashara aliweka ukaribu mkubwa na mimi na kufika kwenye biashara yangu kila mara kwaajili ya kupata huduma bila kujua anasoma mchezo .
Kiufupi nakereka sana na watu wa hivi ningekuwa mchawi ningemloga walahi.
Yaani data zangu anatumia kujaribu kuniangamiza nazo.
Bahati yangu sikuchelewa sana nilisoma mchezo wake baada ya kuvuka mipaka ya kutafuta data.
Nilimtukana sana.
Baada ya hapo akafungua biashara nikauwa kabisa ukaribu nae na kumwonya asikanyage kwenye njia zangu . Kuwa anajaribu kunifuata store hapo ndio nikauwa mchezo kwa kuleta noma
Biashara yangu ninavyoendesha naendesha kwa ubunifu binafsi na muundo wake pia ni wangu binafsi.
Sasa kakopi kabisa kabisa mpaka sasa hata bei anatuma watu kuja kupeleleza aisee huyu kiumbe nitafutieni mganga mzuri.
Unapofungua biashara fungua ila sio kwa namna hii aisee
Namwambia tu hawezi kupita njia niliyoitengeneza mimi soon najiupdate abaki na toleo la zamani niwe mpya.