Kuibiwa kwenye Daladala

Huwa sishangai nikiona raia wanapiga mwizi hata kama wao hawajaibiwa mwingine anakumbuka tu aliwah ibiwa anamalizia hasira zake pale
Wala hujakosea [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Pole sana
 
Nimelipenda hilo jina lao. KITENGO MAALUM
[emoji1] [emoji1] [emoji1] na wanaume siku hizi wanavyopenda kugombea siti hata kama waliojazana pale ni wanawake tupu
 
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huwa wanazikodi izo simu
 
Hahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unavutwa masikio[emoji1787]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…