Yani kitendo cha kumpa tena aishike simu bhasi umepigwaaa...!!Mimi nilikua naskia simu kuwa sabuni,nilikua nawadharau wanaoibiwa.
Mwaka flani hivi nilipita pale kariakoo teja akanionesha simu kali ilikua Huawei.Nikajisemea moyoni ngoja nione hawa maboya huwa wanaiba vipi,nikamvuta pembeni.
Niliikagua simu zaidi ya mara 5,ipo fresh tukakubaliana nimpe 22,000/=.Nilizingatia hatua zote ili nisipigwe,simu nilikua nayo nikampa ela lakini alinilazimisha niiweke kwenye baasha yake sababu watu wataiona.
Nilihakikisha abadilishi kitu,mara tu alivyo nipa nilitoka nduki ghafla nikaanza kukimbizwa na watu wengine wawili lakini nikasikia sauti ya yule teja akisema muacheni.
Nilipanda daladala bila kujua linaelekea wapi huku nikijiona nimewakomesha.Gari ilivyofika muhimbili nikaona ngoja niiangalie simu yangu niliyojipatia bila jasho.
Duuuh,Sikuamini macho yangu....kukuta kipande cha sabuni.
Wale huwa wanatumia NDUMBA
haiwezekani kwa upande wangu labda NIDONDOSHE na sio niibiwe... kuna kibaka mmoja nilimfanya kitu kibaya sana... mpaka leo kahama kituoAisee usiseme hivyoo mkuu...!! IPO siku
Hahahahahaha mkuu sitaki kuamini ya kuwa huwezi kuibiwahaiwezekani kwa upande wangu labda NIDONDOSHE na sio niibiwe... kuna kibaka mmoja nilimfanya kitu kibaya sana... mpaka leo kahama kituo
sas kuna huyo kibaka.. nimegombea gari... dirishani... huku gari inaenda... akajifanya mjanja kuchomoa pochi yangu.. nikamdaka mkono... hapo gari inaenda.. sijamuachia.... dereva akataka kusimama.. nikamwambia kanyaga baba... wee vuta wese... yule teja akaanza kuliaa nimuachie..... dereva nae kichwa kibovu anakanyaga mafuta tu.. nilimburuza kama mita 100 hivi.. nikamuachia.. gari ikasimama watu wakaenda kumchek.. mie sina habari nakagua vitambulisho vyangu kama bado vyote vipoHahahahahaha mkuu sitaki kuamini ya kuwa huwezi kuibiwa
Hahahahahaha mkuu kutapeliwa vipi ulishawahi?sas kuna huyo kibaka.. nimegombea gari... dirishani... huku gari inaenda... akajifanya mjanja kuchomoa pochi yangu.. nikamdaka mkono... hapo gari inaenda.. sijamuachia.... dereva akataka kusimama.. nikamwambia kanyaga baba... wee vuta wese... yule teja akaanza kuliaa nimuachie..... dereva nae kichwa kibovu anakanyaga mafuta tu.. nilimburuza kama mita 100 hivi.. nikamuachia.. gari ikasimama watu wakaenda kumchek.. mie sina habari nakagua vitambulisho vyangu kama bado vyote vipo
kutapeliwa.... hiyo kweli nimewahi... kudadeki... ila nilikuja kuwarudia wale washenzi... nikawachimba mkwaraaaa... ila ndio hivyo nimeshatapeliwaHahahahahaha mkuu kutapeliwa vipi ulishawahi?
Nikikumbuka nilivyotapeliwa miaka ya nyuma huwa nacheka sanakutapeliwa.... hiyo kweli nimewahi... kudadeki... ila nilikuja kuwarudia wale washenzi... nikawachimba mkwaraaaa... ila ndio hivyo nimeshatapeliwa
kipindi hicho nasoma form two.. pale ubungo.. nilienda na bro wangu mmoja hivi kulikuwa na mishemishe.. sasa... wakaja wale wanaouza simu za wizi... ilikuwa ni NOKIA fulani kali kinoma.. nene.. hivi.. sasa kumbe wanazo mbili simu moja ni OG na nyingine ni fake... imetiwa mchanga mbichi katika housing.. sasa tukaingiwa na tamaa.... ilikuwa inauzwa elfu 15..kutapeliwa.... hiyo kweli nimewahi... kudadeki... ila nilikuja kuwarudia wale washenzi... nikawachimba mkwaraaaa... ila ndio hivyo nimeshatapeliwa
mie nimetapeliwa mara moja na hela yenyewe ni ya nyanya tu.. tangia siku hiyo nipo makini vibaya mnoooo.... mie huwa napoteza vitu na sio kuibiwaNikiku
Nikikumbuka nilivyotapeliwa miaka ya nyuma huwa nacheka sana
Vipi ulimkuta mkuu??kipindi hicho nasoma form two.. pale ubungo.. nilienda na bro wangu mmoja hivi kulikuwa na mishemishe.. sasa... wakaja wale wanaouza simu za wizi... ilikuwa ni NOKIA fulani kali kinoma.. nene.. hivi.. sasa kumbe wanazo mbili simu moja ni OG na nyingine ni fake... imetiwa mchanga mbichi katika housing.. sasa tukaingiwa na tamaa.... ilikuwa inauzwa elfu 15..
ishu ilikuwa hivi.. mkono wa kulia katika mfuko aliweka simu og alaf upande wa kushoto aliweka fake.. wakat tunampa hela (tulichanga) akabadilisha .. akatupa ya mkono wa kushoto maana wakati tunaikagua tukajihakikishia ni simu kweli akairudisha mfukoni.. (hapo hatuelewi)... daah tunakuja kushtuka tupo nyumbani... daah.. nilirud na bonge la sime....... mamaeee siku ile ningechinja mtu
Aisee ulipona sana maana jamaa huwa wanakuotea vibayaMimi ilibaki kidogo teja anichomolee simu huku nagombania daladala maeneo ya mwenge. Machale yalinicheza kugeuka nyuma naona mtu kachomeka vidole kwenye mkoba nilimkata jicho alivyozuga nikabaki kucheka.
Acha maada za kijingaAisee hakuna kitu kinaweza kukufanya utamani kuliaa lakini Machozi hayatoki Kama Kugombania siti ya Gari umekaa vizuri kuchek mfukoni hakuna Simuu...!! Aisee ilinikutaa mbagala siku mojaa achaa tuu rohoo iliniuma mpaka safari Nikaairisha...tuambie ni tukio gani la kuibiwa kwenye usafiri unalikumbukaaView attachment 870163
sikuwakuta... ila naamini walikuja kupewa taarifa na wale wanaouza vitu chini (wamachinga) maana kuna mmoja nilimtaitisha vibayaaa sana... nilimuwekea sime shingoni anielekeze wale washenzi wanapatikana wapi.. maana wakati tunaongea na wale matapeli.. yule machinga alikuwa anachochea.. tununue... sasa nilirudi nikamkuta palepale... niliimba nae... daah nikikumbuka nasema kweli siku hizi roho mbaya sinaVipi ulimkuta mkuu??
Yaani wale wakati mnajibizana huku mkisukumana wengine wanafanya yao, alkua mpole maana aliona wenzie washamaliza kazi,Niko zangu Kariakoo kuna teja kajigongesha kwangu kisha akaanza kuniletea zakuleta na mm nikaanza kumpandishia akawa mpole, dah! Sijui huwa wanadawa maana ile napiga hatua kadhaa mbele najipapasa mifukon sina kitu. Aisee, niliumia sana ile hata usingiz sikulala.