KUHUSU WIMBO WETU WA TAIFA.

Testar

JF-Expert Member
May 30, 2015
7,461
12,215
Tangu 1961 tumekuwa tukisikiliza audio ya wimbo wa taifa pekee, sasa nauliza video yake inatoka lini?....Tafadhali mwenye namba ya GodFather production anitumie nimpe kazi.
 
kweli mkuu singo imetoka '61 remix '64 kichupa mpaka '16 bado!
 
kichupa kitakuwa cha og Mungu ibariki Tanganyika au remix Mungu ibariki Tanzania?

v. queen kesho nakutupia picha.
Tukisema Tanganyika VQ ingebidi wawe kina Bi.... ila tukisema ibariki TZ tutapata VQ vitoto vya kisasa...tuweke TZ.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom