Kuhusu Web Series ya 'We Men'

Yeahh..to some extent 😉😉

When you put it like that...I agree!

There is still a lot to be done in that department. Haswa upande wa Director maana yeye ndo anaweza ku-influence how an actor delivers his/her lines. Ubaya ni kwamba Director ndo anaweza kuwa na hiyo weakness and he is rubbing it off on his/her actors akidhani ndo sahihi.
Ndio director ndo kila kitu na yeye ndio mwenye vision. Ila wamejitahidi haya makosa ni rahisi kurekebisha. Labda tutaona improvements muda unavyozidi kwenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom