Kuhusu Wasafi TV ku-copy vipindi imekaaje?

EATV sio creative tena labda unatumia kisimbusi ambacho hakina Wasafi tv tafuta Zuku uangalie mambo acha kusikiliza maneno ya mitaani.

Kitu HD yani hutamani hata kuitoa
Mi sio mpenzi sana wa kuangalia tv ila kuna siku nilienda kwa wazee nimekaa siku nzima Basi nikawa busy na t.v. nilikuwa sijawah kuona Wasafi tv aaa ni copy na peste ya eatv tusidanganyane boss
 
Hongera naona umeenda kukopy google
READ ME


1. Jealousy is just hate and love at the same time.

2. Jealousy is a weak emotion.

3. Jealousy is for weak people.

And last but not least

4. Jealousy is a sure way towards hell.
 
Wewe unajua vipindi tu. Mpaka Logo yao ni copy na paste. Sasa usishangae.
 
Innocent Dependent
I
Member
Joined Saturday at 11:01 AM

Join date jmos aiseee njoo na ID yako maarufu acha kuniogopa bibie.

Point of correction domo ndo alitemwa
Achana na huyo dada ana hasira na Diamond kisa kamtema Zari utadhani yy ndio katemwa ndo maana comments zake ni za kumdis mondi si tunamjua ndo maana hatupati tabu nae
 
Mi sio mpenzi sana wa kuangalia tv ila kuna siku nilienda kwa wazee nimekaa siku nzima Basi nikawa busy na t.v. nilikuwa sijawah kuona Wasafi tv aaa ni copy na peste ya eatv tusidanganyane boss
Tufanye jambo moja mkuu, uuwe huu mjadala kwa kutaja vipindi, graphics, au maudhui yaliyoigwa kutok EATV ambayo wewe uliyaona alafu mimi nikukosoe au nikubaliane nawe.

Kama huna basi unachuki binafsi tu na wale watu ni creative hatari.
 
Innocent Dependent
I
Member
Joined Saturday at 11:01 AM

Join date jmos aiseee njoo na ID yako maarufu acha kuniogopa bibie.

Point of correction domo ndo alitemwa
Km diamond ndo katemwa hizo hasira zako juu ya diamond zinatoka wapi?
 
Mkuu hicho cha The Bartender ratiba yake ikoje?
 
Sijui anachoshangaa hata WizKid lile jina LA starboy Siyo lakwake kaiba kwa msanii wa marekani anaitwa the weekend Sijui kesi imeishia wapi,But kukopi ni kawaida mbona.
The weekend alitoa Starboy huku tayari Wizkid anajiita Starboy.Fuatilia ni lini weekend ame release starboy na ni lini Wizkidayo amejiita starboy.
 
Wamefeli kivipi wakati hadi sasa hivi wana wadhamini 8 lakini pianNi moja kati ya redio Sasa hivi yenye watazamaji wengi pia na kwenye YouTube japo wameweka vipindi vichache
Mkuu umesema " ni moja kati ya redio yenye watazamaji wengi"....??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…