Wasafi Media hakuna Creative Department, kuna Copy & Paste Department

Mtuflani Official

JF-Expert Member
Dec 31, 2019
1,936
4,347
Wasafi Media ilianza kwa mbwembe nyingi, lakini muda unavozidi kwenda naona hamna jipya. Nilitegemea Wasafi wataleta vitu vipya.

Muda unavozidi kwenda, yaani wanaonesha dhahiri hawana jipya kwenye industry ya media zaidi ya c&p. Vipindi vyote vya redio ni c&p ya Clouds. Mmeweka Michezo asubuhi baada ya kuona Efm wanafanya. Mkagawa mafuta bure baada ya kuona Efm wanafanya.

Refresh kipindi cha jioni mkaona muige kabisa EATV jinsi wanavoenda mtaani kuchukua maoni ya watu. Kipindi cha Uswazi cha EATV mkaona kabisa mkilete kwenu ila mkabadilisha jina tu.

Ushauri: Diamond Platnumz utapoteza pesa nyingi kununua watu ili ubebe media yako lakini utashia kupoteza pesa yako bure.

Wasanii wanalalamikia TV yako especially Wachanga kwamba hupigi nyimbo zao. Unapiga za Nigeria na nje.
 
Umeshindwa kuwasilisha hoja zenu kama ulivyotumwa. Sidhani kama haya ndio makubaliano yenu.

"NOTHING NEW IN THIS WORLD"
 
Madam, unastress za maisha AMA? Tangu lini c&p kwa jambo zuri ni dhambi?
 
Akili yako haifanyi kazi akili yako ni finyu unaakili ya panzi ndio nyie ambao jirani ako akipika pilau kuku unaumia sana inaonekana majirani zako wanapata shida sana kuishi na wewe.
 
Itv utv tbc star tv hazinaa ubunifu wote wanasoma taarifa za habari saa 2

Supersport sky sport, canal sport ubunifu zero wote wanaonyesha epl game ya live mda mmoja
 
Wasafi Media ilianza kwa mbwembe nyingi, lakini muda unavozidi kwenda naona hamna jipya. Nilitegemea Wasafi wataleta vitu vipya.

Muda unavozidi kwenda, yaani wanaonesha dhahiri hawana jipya kwenye industry ya media zaidi ya c&p. Vipindi vyote vya redio ni c&p ya Clouds. Mmeweka Michezo asubuhi baada ya kuona Efm wanafanya. Mkagawa mafuta bure baada ya kuona Efm wanafanya.

Refresh kipindi cha jioni mkaona muige kabisa EATV jinsi wanavoenda mtaani kuchukua maoni ya watu. Kipindi cha Uswazi cha EATV mkaona kabisa mkilete kwenu ila mkabadilisha jina tu.

Ushauri: Diamond Platnumz utapoteza pesa nyingi kununua watu ili ubebe media yako lakini utashia kupoteza pesa yako bure.

Wasanii wanalalamikia TV yako especially Wachanga kwamba hupigi nyimbo zao. Unapiga za Nigeria na nje.
I can't agree more.

Hata ukiangalia kwenye ads zao sio kwamba hawana ubunifu tu bali hata 100,000 OF PROFESSIONALISM.

Nimewahi kuingia kwenye page yao na kuwashauri kitu lakini yawezekana hawakuiona comment yangu.

Anyway ukiniambia swala la Creativity bado Clouds Media na EFM Media wako mbali by miles kwa redio nyingine
 
Mleta mada pengine hujui chochote kuhusu kazi za ubunifu..unaonekana wewe ni mlaji wa mwisho usiyejua chochote

Hakuna kipindi chochote kipya kwenye TV au redio yoyote hapa duniani ambacho hakijawahi kusikika sehemu nyingine..hakuna

Kwa sababu what u think is originality is undetected plagiarism.
Every thing that need to be said has already been said.But since no-one was listening, everything must be said again

Hata hao clouds au East Africa TV Wana imitate vilevile sehemu zingine..mfano kipindi cha mwanga kwenye kiza cha clouds TV kimewahi kufanyiwa Kama kile kwenye TV Fulani huko Nigeria

"Copy copy copy copy.At the end end of copy u will find yourself" Yohji Yamamoto

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Wasafi Media ilianza kwa mbwembe nyingi, lakini muda unavozidi kwenda naona hamna jipya. Nilitegemea Wasafi wataleta vitu vipya.

Muda unavozidi kwenda, yaani wanaonesha dhahiri hawana jipya kwenye industry ya media zaidi ya c&p. Vipindi vyote vya redio ni c&p ya Clouds. Mmeweka Michezo asubuhi baada ya kuona Efm wanafanya. Mkagawa mafuta bure baada ya kuona Efm wanafanya.

Refresh kipindi cha jioni mkaona muige kabisa EATV jinsi wanavoenda mtaani kuchukua maoni ya watu. Kipindi cha Uswazi cha EATV mkaona kabisa mkilete kwenu ila mkabadilisha jina tu.

Ushauri: Diamond Platnumz utapoteza pesa nyingi kununua watu ili ubebe media yako lakini utashia kupoteza pesa yako bure.

Wasanii wanalalamikia TV yako especially Wachanga kwamba hupigi nyimbo zao. Unapiga za Nigeria na nje.
Kwani hujui hakuna jipya chini ya jua?
 
We nae hujui chochote..umekoment kwa mihemko au propaganda zimekuingia..kuna Uzi humu umeelezea Kwa ufasaha kuhusu wasafi media,utapata kitu kipya

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Uzi huo nenda mwenyewe na wakuda wenzio.

Diamond ni minority s/holder hapo wasafi(45%),tatizo ulikimbia shule unasubiri watu waje wakutafsirie kwny uzi gani sijui huko.
 
Wasafi Media ilianza kwa mbwembe nyingi, lakini muda unavozidi kwenda naona hamna jipya. Nilitegemea Wasafi wataleta vitu vipya.

Muda unavozidi kwenda, yaani wanaonesha dhahiri hawana jipya kwenye industry ya media zaidi ya c&p. Vipindi vyote vya redio ni c&p ya Clouds. Mmeweka Michezo asubuhi baada ya kuona Efm wanafanya. Mkagawa mafuta bure baada ya kuona Efm wanafanya.

Refresh kipindi cha jioni mkaona muige kabisa EATV jinsi wanavoenda mtaani kuchukua maoni ya watu. Kipindi cha Uswazi cha EATV mkaona kabisa mkilete kwenu ila mkabadilisha jina tu.

Ushauri: Diamond Platnumz utapoteza pesa nyingi kununua watu ili ubebe media yako lakini utashia kupoteza pesa yako bure.

Wasanii wanalalamikia TV yako especially Wachanga kwamba hupigi nyimbo zao. Unapiga za Nigeria na nje.
Endelea kusubiria meli Airport.Ila hakuna kipya chini ya jua.
 
Back
Top Bottom