Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 11,988
Mpaka huyo Mofaya alivaa nguo za kike kule Dubai kama sikosei na alishinda.Mbona bongo kucopy ni zaidi ya kawaida au hujawahi kuwaona wasanii wa kiume wabongo wakiwa wamevaa vikuku
Sijui anachoshangaa hata WizKid lile jina LA starboy Siyo lakwake kaiba kwa msanii wa marekani anaitwa the weekend Sijui kesi imeishia wapi,But kukopi ni kawaida mbona.Kama boss kutwa kuiba na kukopy beats hadi nyimbo za wengine sembuse wafanyakazi
Achana na huyo dada ana hasira na Diamond kisa kamtema Zari utadhani yy ndio katemwa ndo maana comments zake ni za kumdis mondi si tunamjua ndo maana hatupati tabu naeSijui anachoshangaa hata WizKid lile jina LA starboy Siyo lakwake kaiba kwa msanii wa marekani anaitwa the weekend Sijui kesi imeishia wapi,But kukopi ni kawaida mbona.
bora wao wamekurupuka kuanzisha tv .na kuwapa watu ajira,Walikurupuka kuanzisha tv
Acha kupotosha Dingii,Wizkid kaanza kujiita Starboy 2009 but the Weeknd.Kaanza tu kujiita mwaka 2016 baada ya kushinda tuzo ya Grammy ndo akatangaza atakuja na Album ya Starboy Yenye myimbo kama Reminder,I feel it coming,Starboy,Party monster,,So check the sound ma men.Sijui anachoshangaa hata WizKid lile jina LA starboy Siyo lakwake kaiba kwa msanii wa marekani anaitwa the weekend Sijui kesi imeishia wapi,But kukopi ni kawaida mbona.
Itakuwa ashawahi kuliwa uroda na mondi halafu akatoswa bila kuhongwa hata karavafooachana na huyo dada ana hasira na diamond kisa kamtema zari utazani yy ndo katemwa ndo maana comments zake ni za kumdis mondi si tunamjua ndo maana hatupati tabu nae