Kuhusu Wasafi TV ku-copy vipindi imekaaje?

Sijui anachoshangaa hata WizKid lile jina LA starboy Siyo lakwake kaiba kwa msanii wa marekani anaitwa the weekend Sijui kesi imeishia wapi,But kukopi ni kawaida mbona.
Achana na huyo dada ana hasira na Diamond kisa kamtema Zari utadhani yy ndio katemwa ndo maana comments zake ni za kumdis mondi si tunamjua ndo maana hatupati tabu nae
 
Sijui anachoshangaa hata WizKid lile jina LA starboy Siyo lakwake kaiba kwa msanii wa marekani anaitwa the weekend Sijui kesi imeishia wapi,But kukopi ni kawaida mbona.
Acha kupotosha Dingii,Wizkid kaanza kujiita Starboy 2009 but the Weeknd.Kaanza tu kujiita mwaka 2016 baada ya kushinda tuzo ya Grammy ndo akatangaza atakuja na Album ya Starboy Yenye myimbo kama Reminder,I feel it coming,Starboy,Party monster,,So check the sound ma men.
 
Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom