Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,725
- 2,607
kwanini Chadema hawaei kuchallenge hii ishu mahakamani?
Toa iyo mimb@ ya katibu wa bavichaChadema imewashinda hata kujenga ofisi yao tu,
Kazi kujifanya wanajua kila kitu kuhusu Mali za wengine!!
Shame on you
Na si viwanja tu hata ofisi zao zimejengwa kwa nguvu ya wananchi,ndo maana zinaungua tu,dhulma haidumuPolepole toa uthibitisho wa TANU au CCM kununua Kiwanja Na kampuni zilizojenga .Viwanja vyote vimejengwa Na watanzania bila kujali chama watu wamekatwa mishahara, wameuza mifugo kuchangia viwanja
Jamhuri Dodoma kilikua cha councilAmesema kuwa CCM ilitumia rasilimali zake kununua ardhi then wakajenga viwanja vya mpira.
Na amesema kati viwanja 23 CCM inamiliki 22. Kwa taarifa za uhakika nilizozipata ni kwamba viwanja vyote vinavomilikiwa na CCM zimejengwa kwa nguvu za wananchi wote wa Tanzania tena wasio na chama.
Na viwanja vingi vilijengwa kutokana mzunguko wa sherehe za Uhuru kila mwaka. Kwa maana hiyo viwanja hivyo si Mali ya watanzania wote? Nawasilisha
Leo bila hata aibu wanamiliki viwanja hivo. Uwanja pekee waliouonea aibu kuuchukua ni uwanja wa taifa wa zamani (shamba la bibi) kwa kuwa ulikuwa unatumiwa na jeshi letu.Jamhuri Dodoma kilikua cha council
Mkwakwani Tanga kilikua cha manispaa
Sheikh Amri Abeid kilikua cha council
Jamhuri Moro
Kama unavyoiona karume wa Dar au Nyamagana Mwanza hivi navyo ndivyo ilivyokua ukitaka kujua hili fuatilia mafaili Ardhi na pili wale wazamani watakumbuka mashindano/ligi za mpira zilikua zikifanyika katika viwanja hivi kabla ccm haijazaliwa
Huyu slow slow alikua hajazaliwa na kama alikua amezaliwa basi alikua ni malaika kwa maana alikua anayonya kwa mama yake hivo hajui baya lipi na jema ni lipi akiamka kucheza, kula, kwenda shule na kulala na nadhani pia hajui historia ya viwanja hivi, arudi katika mafaili ya miji husika akaone jinsi umiliki ulivyofanyika hivi viwanja vya mkwakwani, jamhuri Dom, jamhuri Moro, Amri Abeid Arusha, vita Tabora, Nyamagana Mwanza na Karume Dar vilikua ni viwanja vya miji husika na ligi za mpira wa miguu wakati huo zilifanyika katika viwanja hivyo, wakati wa sherehe za TANU/CCM wakati wa chama kimoja ndipo vilipokarabatiwa na kwa wakati ule ilikua ni ngumu kutofautisha chama na serikali wananchi wote tulichangishwa kwa ujenzi wa viwanja hivi, sina hakika kama anafahamu kuaPolepole toa uthibitisho wa TANU au CCM kununua Kiwanja Na kampuni zilizojenga .Viwanja vyote vimejengwa Na watanzania bila kujali chama watu wamekatwa mishahara, wameuza mifugo kuchangia viwanja
Tulikua tunajenga viwanja kwa ajili ya michezo na sherehe za kitaifa, ilikua ni namna kufanya kila mkoa kuwa na kiwanja cha michezo kwa ajili ya kuendeleza michezo, Nyerere alipenda sana kuendeleza michezo pamoja na kwamba yeye hakuwa mpenzi sana na kama utakumbuka hata Olympic timu yetu ilikuwa ikienda na kundi kubwa la wanamichezo, haya majina ya ccm kwenye viwanja yalikuja ongezwa baadae sana, watu walilipishwa kodi ya ujenzi wa viwanja katika baadhi ya bidhaa.wakati vinajengwa vilijulikana kama ni viwanja vya ccm! sasa kama ulikuwa unajenga wakati huna chama ulikuwa unawachangia ccm! ni kama leo chadema wanavyotangaza harambee watu tukachangia hata bila kuwa mwanachama.
pia kama unataka kumiliki mali za ccm, jibu ni simple tu, jiunge na ccm uwe mmoja wa wamiliki kwani hakuna aliyekufukuza au kukukataza kujiunga na ccm.
mwanamke aliyeachika mwenyewe hana haki ya kugawana mali alizochuma na mmewe! maana kama akizitaka kuzitumia mumewe humwambia aje aishi nae wazitumie! na hata akienda mahakamani hushindwa kwa hoja hiyo.. hakuna aliyekufukuza! kama unataka nyumba njoo tuishi pamoja tuitumie wote.
Naam CCM ilishinda.kesi ilifunguliwa CCM wakashinda? nafikiri ni kesi ambazo zinatakiwa kati ya halmashauri za miji vs CCM. mfano uwanja wa Sokoine iwe halmashauri ya jiji la Mbeya vs CCM. ilikuvyo au ilikuwaje?
KANU nao walijimilikisha hili jengo hadi hati wanayo lakini 2003 lilirudi serikalini.na halikuwa n hali nzuri. serikali haikusema bora ijenge lingine.Huo muda si wangeanza kujenga vingine vya kisasa zaidi hata kwa kutumia external financing. Ukidai hivyo chakavu ni kupoteza muda. Ipo mikoa mipya na wilaya mpya ambazo hakuna viwanja. Pamoja na kutazama michezo mingine kuogelea, tennis, kikapu, magongo ebu tokeni nje ya boksi tusongembele.
Huyo pole pole hajui lolote yupo kupiga debe.CCM hawajahi kujenga Kiwanja wala jengo.Majengo na viwanja vyote nilikuwa vinachangiwa na wafanyakazi na wakulima.Tukikatwa kwenye mishahara na wakulima wakikatwa kwenye mazao.Tena ilikuwa lazima ukikataa unawekwa mahabusu ati umekataa kuleta Maendeleo. Atueleze ni wapi CCM ilitumia. Ada yake kununua au kujenga viwanja.Amesema kuwa CCM ilitumia rasilimali zake kununua ardhi then wakajenga viwanja vya mpira.
Na amesema kati viwanja 23 CCM inamiliki 22. Kwa taarifa za uhakika nilizozipata ni kwamba viwanja vyote vinavomilikiwa na CCM zimejengwa kwa nguvu za wananchi wote wa Tanzania tena wasio na chama.
Na viwanja vingi vilijengwa kutokana mzunguko wa sherehe za Uhuru kila mwaka. Kwa maana hiyo viwanja hivyo si Mali ya watanzania wote? Nawasilisha
CCM pamoja na makada wote ni wakupuaji wa raslimali za Taifa pamoja na kupora Mali za Serikali na kujimilikisha.Majengo yote yalupaswa kurudi serikalini kwa maana mishahara yetu ilikatwa tena kwa lazima halafu Leo mnajisifu mnamajengo yapiMiaka yote mtaendelea kulalamika na maisha yanaendelea, CCM imezidua jengo jipya Upanga la kisiasa nyie endeeni kupanga miaka 25 sasa, hakuna mwenye jeuri ya kuhoji matumizi ya ruzuku, hela za Sabodo na pesa za wafadhiri
Kuna siku tutapata Rais Mzalendo mwenye hulka na tabia ya Utaifa majengo na viwanja vyote mtavisikia kwenye Gazeti la Uhuru.Hata hilo.gazeti la Uhuru.kilikuwa gazeti la serikali mkalipora.Yaani CCM ni wezi waliokubuhi kuanzia chama mpaka wanachama wake.Sera yao ya kwanza.ni ukwapuaji na wizi wa.raslimali.za.Taifana ukumbuke kuwa! baada ya kuruhusu vyama vingi hakuna aliyesema kuwa baadhi ya wanachama wa ccm waondoke kuunda vyama vingine! no no no.. waliondoka kwa kujitakiwa wao . so hawana haki ya kudai vya ccm! kama wanataka wende huko huko ccm watumie pamoja
Mtatumia maneno yote lakini Kumbuka hili kuna siku hayo majengo yatarudishwa Serikaliniwakati vinajengwa vilijulikana kama ni viwanja vya ccm! sasa kama ulikuwa unajenga wakati huna chama ulikuwa unawachangia ccm! ni kama leo chadema wanavyotangaza harambee watu tukachangia hata bila kuwa mwanachama.
pia kama unataka kumiliki mali za ccm, jibu ni simple tu, jiunge na ccm uwe mmoja wa wamiliki kwani hakuna aliyekufukuza au kukukataza kujiunga na ccm.
mwanamke aliyeachika mwenyewe hana haki ya kugawana mali alizochuma na mmewe! maana kama akizitaka kuzitumia mumewe humwambia aje aishi nae wazitumie! na hata akienda mahakamani hushindwa kwa hoja hiyo.. hakuna aliyekufukuza! kama unataka nyumba njoo tuishi pamoja tuitumie wote.
Wachaga bwanaNazungumzia hili kwa kuwa viongozi wetu wanajinasibu kuwa ni waadilifu.Kama ccm wanataka wamiliki Mali halali basi warudishe Mali ya watanzani wote. Nasema hili kama raia wa kawaida ambaye mzazi wangu ambaye hakuwahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa lakini alichangia ujenzi wa viwanja.
Lile tawi dogo la CCM ambako 90% ni wanachama wa Chama cha kijaniMahakama ipi?
Naona wachagga ndiyo kiboko yenu.Maana hata Mwenyekiti wenu wa Chama cha Majangili yuko busy kudeal na wachagga.Wachaga bwana
Acha kuhalalisha maovu ya chama chako, majengo yapi? Haya ruzuku 800m mnashindwa kununua nyumba kinondoni, ilala au sinza 300m?? Mnaendelea kupanga? Hela zinaenda wapi? Haya endeleeni kulalamikaCCM pamoja na makada wote ni wakupuaji wa raslimali za Taifa pamoja na kupora Mali za Serikali na kujimilikisha.Majengo yote yalupaswa kurudi serikalini kwa maana mishahara yetu ilikatwa tena kwa lazima halafu Leo mnajisifu mnamajengo yapi
Wezi wazoefu ni wezi tu.
Majangili hao wamekalia wivuNaona wachagga ndiyo kiboko yenu.Maana hata Mwenyekiti wenu wa Chama cha Majangili yuko busy kudeal na wachagga.
Amesema kuwa CCM ilitumia rasilimali zake kununua ardhi then wakajenga viwanja vya mpira.
Na amesema kati viwanja 23 CCM inamiliki 22. Kwa taarifa za uhakika nilizozipata ni kwamba viwanja vyote vinavomilikiwa na CCM zimejengwa kwa nguvu za wananchi wote wa Tanzania tena wasio na chama.
Na viwanja vingi vilijengwa kutokana mzunguko wa sherehe za Uhuru kila mwaka. Kwa maana hiyo viwanja hivyo si Mali ya watanzania wote? Nawasilisha