Patrick Nyemela
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 332
- 26
Je Buchanan unataka kutoa ujumbe gani katika thread hii? Je unashabikia uovu ambao Israel wanawafanyia waarabu na hapa ni wapalestina? Kumbuka ni wayahudi hao hao walimtesa bwana yetu Yesu. je kwa imani yako ulifurahia kuteswa kwa Yesu pia?
Inashangaza pale mtu unapokuwa na upenzi wa mambo ya uovu na dhuruma kwa watu wengine!!!!!
Inashangaza pale mtu unapokuwa na upenzi wa mambo ya uovu na dhuruma kwa watu wengine!!!!!