Kuhusu Vita ya Siku Sita!

Status
Not open for further replies.

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,199
1,969
Ile vita maarufu kama "Six Day War" (Waarabu hupenda kuiita "the 1967 War" kwa sababu ya kukwepa humiliation) kati ya Israel na Waarabu iliyopiganwa mwaka 1967 inanifanya niulize swali: Kwa nini nchi tano za Kiarabu (Jordan, Egypt, Iraq, Lebanon na Syria - Nchi nyingine nyingi za Kiarabu pia zilichangia fedha,mafuta, wanajeshi, etc) zilishindwa na kanchi kadogo kama Israel? Je, Waarabu wamejifunza somo gani kuhusu vita hiyo?
 
Nini siri ya ushindi wa Israel? Kiroho, Israel ni taifa teule na hivyo Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaac na Mungu wa Yakobo aliwasaidia Waisrael kuwaashinda Waarabu. Kisiasa, nguvu ya Wayahudi katika mfumo wa uchumi/fedha na utawala wa Marekani ni kubwa sana na ndiyo iliyosaidia kuhakikkisha Waisrael wanapata misaada yote waliyohitaji wakati wa kupigana vita hii. Inapokuja kuchagua kati ya Israel na Waarabu / Mafuta, taifa la Marekani huchagua Israel.
 
Vita ya siku sita ilikuwa ni aibu kwa mataifa ya kiarabu ambayo haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa dunia.Mwisho wa vita ya siku sita nchi za kiarabu zilizidi kupoteza maeneo muhimu kwa taifa la Israel.Nchi ya Misri ilipoteza maeneo ya Ukanda wa Gaza na Sinai peninsula nchi ya Jordan ilipoteza maeneo ya West Bank na Jerusalem ya mashariki,Nchi ya Syria ilipoteza eneo muhimu la Golan heights. Wataalamu wa masuala ya kivita mpaka leo wanavichukulia vita hivyo kama ni moja ya maajabu makubwa sana kuwahi kutokea katika historia ya vita tangu kuumbwa kwa mwanadamu.Waarabu mara nyingi hawapendi kusikia habari ya vita ya siku sita kwani imekuwa ni sumu kali katika mshikamano miongoni mwam mataifa ya kiaarabu.
 
Pamoja na maelezo hayo kilichochangia kushinda ni pamoja na timing kwani waisrael hawakuwapa nafasi air forse ya waarabu walizipiga ndege zote hali iliyopelekea rais gamal kufa kwa kiwewe
 
Zaidi ya yote ni kwamba hapakuwepo na mshindi, wote walipigana juu ya ardhi na ardhi ikabaki vilevile, ni suala la kutoelewa.
 
NI WAPI lSRAEL IME TOHOA MBINU ZA KIVITA?
MBONA WAO NI MAGWIJI SANA WA MAMBO HAYA YA KIVITA?
NAKUMBUKA WALIVYOWAKOMBOA WANATU WAKE WALIOTEKWA NA NDULI IDD AMIN DADA.
 
U've said it well Ma'mdogo!! Backing ya US ni boost kubwa sana kwao

Umedanganywa! Israel italipiga taifa lolote linalokuja kinyume chake vitani provided wanasimama kwenye kusudi la Mungu. Marekani wenyewe wanajua kuwa nguvu yao inatokana na Wayahudi kwa hiyo ni heri kwao wakisimama pamoja na Israel maana pia kuna ahadi ya Mungu kwa watu au Taifa linalosimama na Israel.

RAis Obama mwenyewe pamoja na ulegelege wake lakini katika suala la uhusiano wa Marekani na Isareli yuko Imara na ameshawahi kutamka kuwa "USALAMA WA ISRAEL NI USALAMA WA MAREKANI' Unajua maana yake na kwa nini alitamka hivyo?

Hivi karibuni Waziri Mkuu wa Israel Banyamin Netanyahu alimtolea uvivu Obama na kumwambia Wamerekani wasiwaingingilie kwenye suala lao la kujenga makazi ya Wayahudi huko East Jerusalem; Umemsikia Obama amejibu?

Kwa taarifa yako Isarel haitegemei msaada wa taifa lolote na wanawesa kuigwa na taifa lolote ikiwa tu hawatasimama vizuri na Mungu. Thats historical, soma Biblia utaona. Pia ujue kuwa Myahudi ni Myahudi tu hata kama alikimbilia Argentina wakati wa WW2, bado ataendelea kupeleka zaka yake Jerusalemu kila mwaka.
 
Nyodo za Waarabu kabla ya Vita ya Siku Sita ni kama zinavyoonekana kwenye katuni hizi hapa chini:

Six_day_war_into_the_sea.gif
six_day_war_roz_el_Yousseff.gif
Six Day War: Al-Farida, Lebanon, showed Nasser kicking the "Jew," Israel, into the sea, with the armies of Lebanon, Syria and Iraq supporting him.June 5, 1967, Roz El Youseff shows Israeli midget being crushed in the hands of Syria and Egypt.
 
Hapa chini kuna picha ya ndege ya Kimisri ikiangamizwa kabla ya kuruka hewani na Majeshi ya Israel (Israel Defence Forces):

Egyptian Aircraft destroyed
on the runway - Six Day War​
Egyptian_Aircraft_destroyed_on_runway.jpg
 
Baada ya Kazi pevu kule Egypt:

mirage.jpg
Israel Mirage Jets returning from Egyptt
 
Kwani nguvu za kivita zilikuwaje?

Armaments and Battle Array
Estimates of armaments and troops vary.
Summary:
Israel: 275,000 troops (of which about 200,000 were reserves) 200 aircraft, 1,100 tanks, (According to Oren, 2002, page 168, but on page 171 he states that there were 250 aircraft). or 250,000 troops, 192 combat aircraft, 40 trainers, 1100 tanks, 400 guns and heavy mortars (Morris, Righteous Victims, 1999 page 311).
Total Arab forces: About 250,000 troops (not counting 50,000 in Yemen) 530 aircraft, 1,500 tanks (some sources claim 2,800 tanks), broken down as follows:
Egypt: 180,000 troops (of which 50,000 were deployed in Yemen - some of these were returned to Sinai), About 420 aircraft, of which 242 were MiG fighters, and the rest were apparently Ilyushin and Topolev bombers and Sukhoi fighter-bombers, 900 tanks, 800 artillery pieces (Morris, page 312,318);
Jordan: 56,000 troops, 24 Hawker-Hunter jet fighters, 294 tanks (including 30 Iraqi), 194 artillery pieces (including 34 Iraqi) (Morris, 1999, page 312). Jordanian troops were reinforced with several Iraqi brigades.
Syria: 70,000 troops, 92 fighter aircraft and two bombers, 300 tanks, 265 artillery pieces and heavy mortars (Morris, 1999, page 313).
The table shows all combat aircraft types of each country. Syria and Egypt alone had over 500 aircraft vs 343 for Israel, and they outclassed Israeli aircraft. The Iraqi air force did not not commit most of its air craft to the battle.​
Six Day War: Detailed Air Battle Array*
TypeIsraelEgyptSyriaJordan
Iraq
LebanonFighter228242922413031Bomber19572 21 Transport518357232Helicopter4537104505Total3434191093522438
*Approximate numbers of all craft, including those not in service. Israeli "fighter" air craft total includes 45 Fouga Magister (Zukit) trainers that were actually not suitable as fighters. It is not clear if trainer aircraft of other countries are included
 
Waarabu wamejifunza nini kwenye vita hii ya kihistoria?
Bado hawajawa tayari kujifunza lolote zaidi ya ukaidi, ujue walipoamua kuivamia Israel 1967 walitegeshea ile siku ya ''Yom Kipur'' ambayo ni siku ya toba kwa Waisrael, hakuna chochote kifanyikacho siku hiyo zaidi ya sala na toba. Kumbe walikuwa wamekosea ndipo walipojiunga wote kama taifa moja IS RA EL meaning WATU/MTU WA MUNGU, na kuwafurusha wana wa Ismael kurudi kwao. Inasemekama kwa nguvu waeisrael waliyo invest kwa siku hiyo ya vita walikuwa nauwezo wa kuzitwaa nchi zote za waarabu zilizohusika ktk vita, wamshukuru Mungu kwa ushauri wa USA na UN at large. Jamani hawa jamaa waisrael wanapigana dunia nzima. Kwa taarifa yenu viwanda vingi vya silaha za kivita za Marekani zina engineers wengi raia wa Israel usione wanakuwa wababe wana sababu na USA hawezi kuwalazimisha saaaaaana kufanya atakavyo. Wana wa Ismael wanajua yalowapata ndugu zao na ndo maana wanatafuta kila njia kulieliminate taifa hili but in vain.
 
Zaidi ya yote ni kwamba hapakuwepo na mshindi, wote walipigana juu ya ardhi na ardhi ikabaki vilevile, ni suala la kutoelewa.
Una maana gani mkubwa usemapo HAPAKUWEPO NA MSHINDI? Ni hivi uvamiwe kwako usiku nyumbani na wakora, ufanikiwe kupambana nao na kuwatoa nje watimke mikono mitupu hata kama utakuwa na majeraha lakini umewatoa halafu tuseme HAKUKUWA na MSHINDI? Don't object the obvious dude!
 
Waarabu ni waoga sana kusema kweli, hawawezi kusimama mbele za adui zao hata siku moja! Vita vyote na Israel wamepoteza tangu mwaka 1948, wamechagua kujilipua zaidi kuliko vita vya kutumia akili! Thinking capacity ya hawa jamaa (Waarabu) nina wasiwasi nayo!
 
Haya wanajamii habari za pasaka na naamini kabisa wote kama wanajamii mliitendea vizuri siku hiyo kisawasawa kabisa.

Napenda kuchangia katika hii mada inayotawala hii thread kwamba vita vya siku sita vilikuwa na usiri gani kwani katika yote yaliyojibiwa naafiki kabisa majibu hayo yanakidhi haja ya muuliza maswali kwa namna yake.

Six days days war ni nini? Nimerejea katika majibu pia nikajikuta ninahitajika nikubali kwa namna wenzangu mlivyoitoa na kukuta haina sababu ya kuongeza chunvi bali niafiki pia defination inplace inajikita katika maana yakinifu. Ila hivi vita vilikuwa na maana ya kuingamiza nchi ya Israeli ifutike kwenye uso wa dunia washiriki wakiwa katika list zilizotajwa hapo juu bila kukosea nafikiri zilikuwa nchi za Misri kama hosters, Jordan, Syria, Lebanon, na kama inavyotajwa pia Iraq.

Lengo langu kuu hapa ni kueleza usiri huu ulikuwa mkubwa sana na ni namna gani Israeli ilivyojua inavamiwa.

Kulikuwa na mwanamke mmoja alikuwa na asili ya kiyahudi aidha alipandikizwa azaliwe Misri na akajikuta nafanya kazi kwenye ofisi ya mkuu wa majeshi ya Misri au alizaliwa tuu basi ni raia wa Misri lakini naithibati ya kuipenda descent yake ya kiyahudi.

Lakini ukweli wote aliyetoa taarifa hiyo alikuwa mwanamke mwenye asili ya kiyahudi alieyekuwa akifanya kazi kwenye ofice ya mkuu wamajesh wa Misri na akapiga simu moja kwa moja Isareli siku kabla ya tukio na kwaabia Sraeli itavamiwa saa sita mchana na hakuwaambia pia hata jina.

Hali kama hii yatokea popote pale duniani kwa mfano ninakumbuka huwa Scortland Yard ya Uingereza ni mahasimu wa KGB ya Urusi ya leo huwa wanawindana mpaka wanauana wenyewe katika michoro ya kujuana kuhusu ujasusi nao warusi walikopi hii technique kutoka kwa hawa Israeli.

Ndugu wanajmii nashukuruni kwa kunipa nafasi hii

Thanx
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom