Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 743
tunachosubiri ni air strike tu ambayo itatokea muda simrefu tena kwa shitukizo la katikati ya usingizi wa manane.
Waarabu wamejifunza nini kwenye vita hii ya kihistoria?
Wamejifunza kuwa hawaiwezi Israel ndo maana leo nchi kadhaa za Kiarabu zimeamua kuwa na uhusianao wa Kibalozi na Israel na kuitambua pia isipokuwa Mwanaharakati mpya wa Iran Rais Ahmednajad ambaye anafikiri kuwa anaweza kuwadanganya tena Waarabu waingie vitani dhi ya Israel.
Mmh, hapo kwenye red nilikuwa sijawahi kusikia story kama hizo! Whatever the case, hii vita inanikumbusha mambo ya "90 Minutes at Enttebbe" ambapo magaidi ya Ki-Palestina yaliyoteka ndege ya Kifaransa yalipata somo jingine la karne toka kwa makomandoo ya Waisraeli mwaka 1976!
Ile vita maarufu kama "Six Day War" (Waarabu hupenda kuiita "the 1967 War" kwa sababu ya kukwepa humiliation) kati ya Israel na Waarabu iliyopiganwa mwaka 1967 inanifanya niulize swali: Kwa nini nchi tano za Kiarabu (Jordan, Egypt, Iraq, Lebanon na Syria - Nchi nyingine nyingi za Kiarabu pia zilichangia fedha,mafuta, wanajeshi, etc) zilishindwa na kanchi kadogo kama Israel? Je, Waarabu wamejifunza somo gani kuhusu vita hiyo?
Bila shaka unazungumzia Egypt na Jordan ambazo zimesaini mkataba wa amani na Israel! Pia nchi za Tunisia, Morocco na Mauritania zimewahi kuwa uhusiano wa kibalozi na Israel. Tunisia na Morocco ziliondoa balozi zao mwaka 2000 baada ya kile walichokiita Palestinian Violence. Pia Israel ina uhusiano wa kiteknolojia, kiuchumi na kibiashara na Oman na Qatar na ina ofisi zake huko bila kusahau uhusiano wa muda mrefu wa kijeshi na Uturuki! Wapalestina pia wamesaini mikataba mingi na Waisrael. Lebanon pia iliwahi kusaini mkataba wa amani na Israel lakini ulivunjwa kwa shinikizo la Syria. Iran wakati wa Shah walikuwa na uhusiano wa karibu sana na Israel lakini mapinduzi ya mwaka 1979 yaliyomwingiza Ayatollah Khomeini yaligeuza mambo! Hata hivyo Waarabu inaonekana wamesahau kwamba waliweka "3 NO's" dhidi ya Israel kule Khartoum, Sudan, September 1, 1967: NO PEACE TO ISRAEL, NO NEGOTIATION WITH ISRAEL, NO RECOGNITION OF ISRAEL! Hapa formula ya "If you can't fight them, join them" ilifanya kazi!
Wamejifunza kuwa hawaiwezi Israel ndo maana leo nchi kadhaa za Kiarabu zimeamua kuwa na uhusianao wa Kibalozi na Israel na kuitambua pia isipokuwa Mwanaharakati mpya wa Iran Rais Ahmednajad ambaye anafikiri kuwa anaweza kuwadanganya tena Waarabu waingie vitani dhi ya Israel.
Wewe ni muarabu wa wapi? na makubaliano hayo yalifanyika lini?
Upendavyo wewe si wapendavyo waarabu..hilo sasa si swala la waarabu, swala la kuwaadhibu waisrael linawahusu waislamu wote duniani. period
ubavu mnao wa kuiadhibu israel? mngekuwa nao mngekuwa mlishajaribu zamani sana. Watu wenyewe mmejikondea kwa kunywa kahawa kupita kiasi mtaweza hata kushika hizo AK-47 mnazopewa na warusi!
Only stupid and hypocrcy join the enemy of the creator..
Israel atapigwa kipigo cha mbwa muda si mrefu.
Ile vita maarufu kama "Six Day War" (Waarabu hupenda kuiita "the 1967 War" kwa sababu ya kukwepa humiliation) kati ya Israel na Waarabu iliyopiganwa mwaka 1967 inanifanya niulize swali: Kwa nini nchi tano za Kiarabu (Jordan, Egypt, Iraq, Lebanon na Syria - Nchi nyingine nyingi za Kiarabu pia zilichangia fedha,mafuta, wanajeshi, etc) zilishindwa na kanchi kadogo kama Israel? Je, Waarabu wamejifunza somo gani kuhusu vita hiyo?
Pro-Isreael utawajua kushabikia mauaji? damn!
waarabu wamejifunza kwamba Israel ni jimbo la merakani, dawa ni kupambana na amerika na vibaraka wao popote walipo hata kama ni Tanzania..period
Jehanamu inawasubiri waisrael na washabikia wao, lakini kabla ya hapo jeshi la Creator litawatunga ..time will tell.
Time will tell we kondoo usiye na akili ..
Muisrael hakuna lugha anafahamu zaidi ya kutungwa, alifanywa hivyo na mjerumani, mwingereza, na soon historia itajirudia atapigwa kipigo cha mbwa na wewe na ushabiki wako ndio utakayeumia...
Osama mtu moja anawapelekesha US na mizinga yake yote sembuse nyinyi makondoo mnaoimba mapambio hamtusumbia we kondoo nenda kanisani kaimbe..shit!
Tumain tuheshimiane hata kama hatukubaliani, tushindane kwa hoja si kwa matusi! Tunazungumzia vita ya mwaka 1967, anzia pointi zako hapo, usianze utabiri usiokuwa na mwelekeo kama wa Sheikh Yahya ambaye alidai Yanga itachukua ubingwa wa ligi kuu, 2010 Bara cha kushangaza Simba imechukua ubingwa huo!
sasa huyu ni mwanadamu wa aina nyingine, bado anaamini kuwa kuna siku Israel watafutiliwa mbali. pole sana. kwa kifupi, Osama unayemshabikia ameshindwa kuipiga israel, ndo akaona bora afanya kwa marekani, kama Osama ana uwezo huo, kwanini asingedili na israel ambayo iko hapohapo middle east, badaya ya kwenda america kote huko? halafu pili, kuna maandalizi ya kuifyeka Iran yanafanyika hata sasahivi tunavyoongea, kilichobaki ni namna gani israel inajiandaa kwa vita virefu kwasababu iran na syria wameshatoa silaha kwa hezborah na hamas ili ku counter-attack, ila kinachoenda kutokea, makombora yale yaliyoimaliza nuke ya Saddam husein, ndo yanaenda kuimaliza iran muda si mrefu. Kikao cha UN Resolution kuhusi iran fuatilia kimekaliwa lini, na Sakoz amekuwa akinung'unika nini kuhusiana na fununu hizi.
waarabu hawatakaa kuishinda israel hata siku moja, kwasababu Mungu wao ni mungu mfu, haishi, ni shetani aliyeko Kuzimu. ndio maana tangu enzi, wafilisti ndugu zenu wamekuwa wakijaribu kuipiga israel, matokeo yake ni aibu ya tupu. mmekuwa mkisubiri mahdi atokee hadi leo hajatokea, mmefuga majini na kusupport terrorism mmeshindwa. israel bado inanenepa na kunawiri siku hadi siku, na wala haihitaji msaada wala ushirikiano wowote toka kwenu. Kuna mataifa mengi zaidi duniani yanayoisapoti israel kuliko nyie wachache mnaoipinga, hivyo vita vyenu ni vya kitoto, mnajilipua wenyewe, mtaumiza mioyo hadi mtachoka, hamna lolote. Uislam na koran yenu mtasoma albadili hadi mtachoka, kama kitabu chenu kingekuwa cha Mung wa kweli, si mngewasomea albadili? kitabu kinachoruhusi jihad, kumpigania mungu wenu ambaye hana nguvu, mungu kiwete asiyena nguvu hadi kuhitaji msaada wa wanadamu wampiganie? ndo maana unasema jeshi la creator, because the koran teaches you kwamba, waislam ni jeshi la mungu wenu, poleni. mlishashindwa msalabani pamoja na baba yenu shetani, mtaweza mtaani? mtafundisha watu karate na kong fu kwenye misikiti yenu, mtafuga majini, mtatembea na majambia, mtafuga mandevu hadi yafike miguuni lakini israel itabaki ikinawiri, na kuna wengi tunaoisapoti.
kuhusu jehanum, nakupa pole, ukijua kuwa waislam wote wataenda motoni, ungefunguka macho. hii ni wazi tu, kwasababu shetani amewadanganya na kitabu chenu kufuga majini, kuua watu, kujilipua, kupiga wenzenu chumaulete na maasi mengi yasiyoongeleka. nakwambia siku mtakapoenda huko motoni mtawakuta mabikira mlioahidiwa wamejaa huko wakiota moto wakiwasubiri muungue wote, muhamad mtamkuta huko akihangaika kivyake na laiti angepata nafasi ya kurudi huku duniani angekuja kuwaambia mbadilishe njia haraka kwasababu aliwadanganya. nakupa pole, tena pole kubwa sana hakika.
Time will tell we kondoo usiye na akili ..
Muisrael hakuna lugha anafahamu zaidi ya kutungwa, alifanywa hivyo na mjerumani, mwingereza, na soon historia itajirudia atapigwa kipigo cha mbwa na wewe na ushabiki wako ndio utakayeumia...
Osama mtu moja anawapelekesha US na mizinga yake yote sembuse nyinyi makondoo mnaoimba mapambio hamtusumbia we kondoo nenda kanisani kaimbe..shit!
Tumain, it seems una lako jambo tu. hivi kati ya waisrael na waarabu nani wabaguzi?? Mbona waarabu ni wabaguzi wa kubwa sana? By the way, ni vizuri utambue kwamba hakuna mwarabu atakayeweza kuipiga Israel katika hali yoyote ile.Utaheshimiwa kama na wewe una heshima na si vinginevyo..gosh!
Israel ina subiri kipigo cha mbwa hata kama hutaki kusikia huo ndio ukweli wa mambo yatakavyokuwa, kwanza wataanzwa kupigwa chini na wananchi wenyewe wa America kwakuwa ni wahalifu, wanyonyaji na wabaguzi..wamelaaniwa
pili watapigwa na jeshi la Creator kwakuwa creator is just.. wewe ni uzezeta wako wa kuwaamini waisrael utawatetea kwakuwa ni kondoo usiye na akili.
Nafikiri huijui Israel. Soma historia yake katika biblia. Israel ni uzao wa Ibrahim, hakuna hata mmoja atakayeishinda kwa vita. Ndiyo maana marekani wanajipendekeza kwake. Hata wanaojaribu kupambana na Israel mimi nawaona wehu, kwa sababu lile lilishasemwa kuwa ni taifa teule la Mungu, na Mungu hatakaa alitupe zaidi ya kuwapa adhabu ndogondogo tu za kuwakumbusha wajibu wao na si kuwaangamiza, kama ambavyo mnataka kutuaminisha. Mungu si kigeugeu, tayari alishamwapia ibrahimu kwamba atambariki yeye na uzao wake. hawezi kuiacha Israel iangamie.