Kuhusu utaratibu: Chadema yatangaza kufanya mikutano nchi nzima wataanzia vijijini, je mikutano ya kisiasa imeruhusiwa?

Ile ni mikutano ya ndani !

Ni rahisi tu wapinzani wafanye mikutano, kisha polisi wakitumwa kuwapiga ni kuwatambua hao polisi. Familia zao zinafahamika, wanapoishi panafahamika. Ni kuwafanyia hujuma na familia zao kama kuchoma nyumba zao, kuweka sumu kwenye vyombo vya familia zao hasa maji ya kunywa, na wakiingia bar kuwawekea sumu kwenye vinywaji na chakula. Kubaka watoto wao. Tukifika hapo hao wanaowatuma kwenye makatazo haramu itabidi wajiulize maana misiba itakuwa ya kutosha. Hii ni ndoto tu isitekelezwe.
 
Tukuulize wewe Johnthebaptist kuwa akina Dr Bashiru na Polepole wanaofanya mikitano nchi nzima, je wao wameruhusiwa??

Je wao ni wabunge wa Chama gani??

Kama wao wameruhusiwa, ni kwanini wazuiwe kufanya mikutano hiyo viongozi wa Chadema pekee??

Kama mbwali na iwe mbwali!
Jaribuni kutikisa kiberiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Bashiru na Polepole ni wabunge wa majimbo yapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
afu huyu jamaa Bushiri alipokuwa chuo anaongoza mijadala ya kigoda cha Mwalimu nilimuona bonge la kichwa !! kumbe laaaa - anarudia yale yale ambayo Mwalimu aliyakemea kwa nguvu zote. huu ni unafiki na usaliti kwa falsafa ya Mwalimu.

Na huyo mwezie ndiyo balaa tupu, wakati wa Bunge la KATIBA nilijua bonge la kijana mpigania haki za binadamu na ana uchungu wa nchi kumbe laaaa... mzee wa procurement za wabunge na madiwani wa upinzani.
 
Mkuu hiyo para ya mwisho una uhakika?!
 
Tukuulize wewe Johnthebaptist kuwa akina Dr Bashiru na Polepole wanaofanya mikitano nchi nzima, je wao wameruhusiwa??

Je wao ni wabunge wa Chama gani??

Kama wao wameruhusiwa, ni kwanini wazuiwe kufanya mikutano hiyo viongozi wa Chadema pekee??

Kama mbwali na iwe mbwali!
Kuna tofauti ya mikutano yao.ya hao unaowasema ktk mikutano yao sio ya kuhimiza maendeleo kazi yao ni mitusi na kashifa ndio mwanzo mwisho. sasa hao unaowaona kazi yao kuhimiza maendeleo na kushiriki moja kwa moja ktk shughuli zao. Hiyo tofauti zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbukumbu zangu zinanijulisha kuna katazo la kufanyika kwa mikutano holela ya kisiasa isipokuwa ile tu inayohusisha wabunge katika majimbo yao ya uchaguzi.

Sasa Chadema ambayo haina wabunge nchi nzima imetangaza kufanya mikutano nchini kote, wadau hii imekaaje?

Maendeleo hayana vyama!
Majimboni mwao ni wameruhusiwa kila mtu akapigie siasa alikochaguliwa
 
Kumbukumbu zangu zinanijulisha kuna katazo la kufanyika kwa mikutano holela ya kisiasa isipokuwa ile tu inayohusisha wabunge katika majimbo yao ya uchaguzi.

Sasa Chadema ambayo haina wabunge nchi nzima imetangaza kufanya mikutano nchini kote, wadau hii imekaaje?

Maendeleo hayana vyama!

CHADOMO Waendelee tu na mikutano ya mitandaoni anbayo haina makofi wala vigelegele.Hiyo ya nchi nzima ni sawa kama kila mbunge na jimbo lake atafanya mkutano katika vijiji vyake vyote.Kule ambako hawana mbunge wasijaribu kabla ya wakati uchaguzi haujafika.Wakijaribu tu hapo ndipo watajua kwamba maharage ni mboga.
 
Ni rahisi tu wapinzani wafanye mikutano, kisha polisi wakitumwa kuwapiga ni kuwatambua hao polisi. Familia zao zinafahamika, wanapoishi panafahamika. Ni kuwafanyia hujuma na familia zao kama kuchoma nyumba zao, kuweka sumu kwenye vyombo vya familia zao hasa maji ya kunywa, na wakiingia bar kuwawekea sumu kwenye vinywaji na chakula. Kubaka watoto wao. Tukifika hapo hao wanaowatuma kwenye makatazo haramu itabidi wajiulize maana misiba itakuwa ya kutosha. Hii ni ndoto tu isitekelezwe.
Mkuu hii ndoto hata mimi naipendaga kuiota yaani naipenda kama nini!. tatizo letu watanzania hatuna mshikamano na umoja. Sipati picha huu uongozi ungalikuwa somalia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimkakati ni wakati muafaka kabisa wa CHADEMA na vyama vingine vyote kufanya siasa kila sehemu nchini. Tayari wamechelewa, lakini ni bora kuchelewa kuliko kutoanza wakati huu.

Polisi wakitaka kupiga na kuua raia wasiokuwa na hatia hilo ni lao wenyewe kulipima kama linaleta tija.
 
Kumbukumbu zangu zinanijulisha kuna katazo la kufanyika kwa mikutano holela ya kisiasa isipokuwa ile tu inayohusisha wabunge katika majimbo yao ya uchaguzi.

Sasa Chadema ambayo haina wabunge nchi nzima imetangaza kufanya mikutano nchini kote, wadau hii imekaaje?

Maendeleo hayana vyama!
Kasoma katiba ya nchi then ujr ufute hii takataka uliyotuletea hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CDM ni wakuonewa huruma. Tamko la Zanzibar limefikia wapi? Huyu kaimu mwekiti akiongea wala hamna chembe ya karisma. Naye kaishia kupotosha eti CAG kuitwa bungeni ni sakata la upotevu wa 2.4 Trillioni kasahau ustadhi prof mwenzake alichoongea redio aUNO na kumsababishia usumbufu usio kuwa wa lazima/epukika.

Wako viongozi vijana vipaji vyao vinapotelea CDM. Mnyika na Silonde chukueni hatua haraka Taifa hili linawahitaji huko mliko mnapoteza muda wenu bure.

Enzi zile za CDM DR Slaa na sisi wengine thubutu yake.

Chadema is totally dead huo ndio ukweli mchungu
Laana ya Slaa hiyo inafanya kazi na bado

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom