Kuhusu utaratibu: Chadema yatangaza kufanya mikutano nchi nzima wataanzia vijijini, je mikutano ya kisiasa imeruhusiwa?

Tukuulize wewe Johnthebaptist kuwa akina Dr Bashiru na Polepole wanaofanya mikutano nchi nzima, je wao wameruhusiwa??

Je wao ni wabunge wa Chama gani??

Kama wao wameruhusiwa, ni kwanini wazuiwe kufanya mikutano hiyo viongozi wa Chadema pekee??

Kama mbwali na iwe mbwali!
Hapo sasa
 
Kumbukumbu zangu zinanijulisha kuna katazo la kufanyika kwa mikutano holela ya kisiasa isipokuwa ile tu inayohusisha wabunge katika majimbo yao ya uchaguzi.

Sasa Chadema ambayo haina wabunge nchi nzima imetangaza kufanya mikutano nchini kote, wadau hii imekaaje?

Maendeleo hayana vyama!
Kwa hiyo umejitoa akili na kujisahaulishe yule mwana CCM aliyesema iliyokatazwa ni ya kusomba watu na malori?
 
Kumbukumbu zangu zinanijulisha kuna katazo la kufanyika kwa mikutano holela ya kisiasa isipokuwa ile tu inayohusisha wabunge katika majimbo yao ya uchaguzi.

Sasa Chadema ambayo haina wabunge nchi nzima imetangaza kufanya mikutano nchini kote, wadau hii imekaaje?

Maendeleo hayana vyama!
Na hao ccm wanaoendelea kufanya mikutano nchi nzima tunafanyaje?
 
Kwani yeye ndio aliyekataza?!
KWa swali hili, cha kwanza unakubali kuwa ametamka....

NA KWENYE KUKUBALI, USISAHAU ANATOKEA CHAMA CHA WALIOKATAZA....

By the way, unapouliza swali kama hilo, usisapoti majibu dabo standadi... Kama imekatazwa, basi na huyo analiyesema hayo anatakiwa akatazwe kufanywa mikutano iliyokatazwa... SIYO WAKITAKA KUFANYA CAHDEMA MUANZE KUULIZA MASWALI YA KIDABOSTANDADI LAKINI WAKIFANYA CCM MNAKAA KIMYA KAMA HAMPO VILE...
 
Mbona pale Iringa viwanja vya mwembetogwa mchungaji Msigwa anafanya sana mikutano!
 
Pole Pole ni mbunge katibu Mkuu ccm ni mbunge? Kanali Ngemera ni Mbunge? Pinda ni mbunge?
Kumbukumbu zangu zinanijulisha kuna katazo la kufanyika kwa mikutano holela ya kisiasa isipokuwa ile tu inayohusisha wabunge katika majimbo yao ya uchaguzi.

Sasa Chadema ambayo haina wabunge nchi nzima imetangaza kufanya mikutano nchini kote, wadau hii imekaaje?

Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
FB_IMG_1550227980139.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukuulize wewe Johnthebaptist kuwa akina Dr Bashiru na Polepole wanaofanya mikutano nchi nzima, je wao wameruhusiwa??

Je wao ni wabunge wa Chama gani??

Kama wao wameruhusiwa, ni kwanini wazuiwe kufanya mikutano hiyo viongozi wa Chadema pekee??

Kama mbwali na iwe mbwali!
Mungu ibariki Chadema
 
Kumbukumbu zangu zinanijulisha kuna katazo la kufanyika kwa mikutano holela ya kisiasa isipokuwa ile tu inayohusisha wabunge katika majimbo yao ya uchaguzi.

Sasa Chadema ambayo haina wabunge nchi nzima imetangaza kufanya mikutano nchini kote, wadau hii imekaaje?

Maendeleo hayana vyama!
Vipi ile ya Polepole na ya Bashiru? Kumbukumbu zako zinasemaje?
 
Back
Top Bottom