Kuhusu ukoo wa massawe

Et jogoli umenikumbusha mwanza,nimekulia mwanza kwahiyo najua kisukuma na mila zaidi zako,
Ninyi tunawaita majogoli

Maana siye sukuma halisi hakuna akataaye ataanzaje kwanza
 
kwani ni kwamba kila mwanamke anapaswa kuomba hela au kupokea hela awapo kwenye mahusiano.....
Usimpimie. .....mwachie kadi yako ya Bank atumie pale anapohitaji....
Duu kadi hapana ila umenipa wazo ,ntafungua account nyingine niweke kiasi
 
Siyo kukulia huna pure genetic ya kisukuma mtoto wa nyoka ni nyoka hata angekulia wapi atang'ata tu ila wewe siyo kabisa
Et jogoli umenikumbusha mwanza,nimekulia mwanza kwahiyo najua kisukuma na mila zaidi zako,
 
Aisee umenitia simanzi
 
Daa asante kwa ushauri,ni kweli zawadi za kawaida anachukua,ila kwenye pasaka nilimwambia achague nguo nimlipie akagoma
Ana aibu na hela ya man. Subiri mpaka utakapoombwa..
Na kama unataka kumnunulia zawadi don't make it sooo obvious umejikoki eti tunaenda let's say duka la nguo kutafuta zawadi.. just make it kama by the way...
Kama sio aibu basi kuna mwingine anakupambanisha nae,isije tokea siku akakulia buyu,hakutaki ukaanza kusema mbovu kisa ulitumia pesa zako mkiwa pamoja.
 
Hyo hela uwe unanipa mimi. Kwakwel sijapata bahati ya kuwahi kupewa hela na bwana wangu.

Sasa msukuma mwenzangu, yeye akikataa nitumie mm
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…