Hapana mkuu ,usiwaze hivyo umeenda mbali sana,in short one of my parents ni mchaga kwa hiyo sina nia mbaya,no politicsHuu ni moja ya ushahidi na muendelezo wa kauli za kibaguzi na kuudhi dhidi yetu Wachagga.
Wachagga tulibaguliwa kwa kificho, ila sasa hivi tunabaguliwa hadharani na kauli za kikabila na kejeli dhidi yetu zimeshika hatamu.
Wachagga tuna makosa gani kwenye nchi yetu?
Kama ni kazi tunafanya, na sheria tunafuata kama wengine ila ndugu zangu, ni nini shida?
Hivi kweli Wachagga hatuna jema la kusemwa?
Huu ubaguzi kejeli zenu hazina maana, na siyo nzuri.
Kila kitu kibaya ni sisi!!!!
Mungu wetu yupo, na atatupigania, na tutasali, tutafanya kazi, na tutazidi kufanikiwa, na tutashinda.
Hapana mkuu ,usiwaze hivyo umeenda mbali sana,in short one of my parents ni mchaga kwa hiyo sina nia mbaya,no politics
Yeye hajaona haja ya kuhudumiwaNi wajibu wangu kuhudumia
Daa asante kwa ushauri,ni kweli zawadi za kawaida anachukua,ila kwenye pasaka nilimwambia achague nguo nimlipie akagoma
Ndio inawezekana...usipate ideas zingineMhhh inaweza kuwa kweli?
Ninyi tunawaita majogoliHahaa ni mixer mzee,hapana sijitangazi but nataka nijue tu kama kuna wanawake wengine wanakataa hela