Kuhusu Ubongo

Kuhusu Ubongo

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Wiki kadhaa zimepita tangu jirani zangu waondoke kwenda Apolo Hospital India .

Madhumuni ya safari yao , ni kumpeleka kijana wao , aliyekua ameathirika kwa kiasi kikubwa na midawa ya kilevi .

Walifika hosp na vipimo kuonesha kijana wao ubongowe umeharibika takriban 90% .
Hivyo hakuna tiba, othewise abadilishiwe ubongo kwa ujumla wake .

Wakapelekwa kitengo cha uuzaji ubongo .
Pale wakakuta kuna aina 3 za ubongo uuzwao .
1 . Ubongo wa kizungu bei dola 200
2. Ubongo wa black (mtu mweusi) bei dola 3,000
3. Ubongo wa kihindi dola 500 .

Kwa mujibu wa matarajio yao walidhani , ubongo wa kizungu ndiyo ungeongoza kwa price ya juu .
Ikawabidi waulize "Inakuaje ubongo wa mtu black ndiyo uuzwe bei kubwa na wa kizungu ndy uwe na bei poa , kuliko hiyo mingine?"

Majibu waliyopewa ni -
"Huu ubongo wa kizungu umeshachoka sana , kwa kutumika sana kufikiri ! Na kuvumbua mambo/vitu vingi.
Kama mitambo mikubwa , midege, machines n.k ! Na huu wa black people bado uko fresh , haujatumika hata robo yake kuvumbua na kufikiri , sanasana umetumika kwenye kugombea mali za mirathi na mipaka ya mashamba , umbea mwingi na kufikiri kuibaiba"
 
Teh teh teh...judgement unavituko ww...haya dada,mchana mwm kwako.
 
Teh teh teh...judgement unavituko ww...haya dada,mchana mwm kwako.

Umenifanya niangalie usajili wako kwanza kabla sijakujibu ili nielewe umetumwa/umeagizwa au ni maksudi , join date yako 3 may 13 una umri wa mie 6 takriban Jf ! So far ni mgeni , si kosa lako.
Tatizo ugeni mi ni Baba wala sio Kaka.
Sawasawa amazing ?
 
Last edited by a moderator:

yaani umenizidi busara hapa ningekua mm ningefulusha mitusi hadi angeomba poo, tyr nimekugongea haki yako pale juu,like
 
Umenifanya niangalie usajili wako kwanza kabla sijakujibu ili nielewe umetumwa/umeagizwa au ni maksudi , join date yako 3 may 13 una umri wa mie 6 takriban Jf ! So far ni mgeni , si kosa lako.
Tatizo ugeni mi ni Baba wala sio Kaka.
Sawasawa amazing ?

Itabidi siku moja ugeuke wakuone..
 
Last edited by a moderator:
Itabidi siku moja ugeuke wakuone..

Yaani hawaridhiki na mkomao wa hilo kalio?
Kalio limekomaa kaa'upara na kichwa cha Jacob Zuma hawaoni kweli ?
Itakua tashtiti zao tu !
 
Umenifanya niangalie usajili wako kwanza kabla sijakujibu ili nielewe umetumwa/umeagizwa au ni maksudi , join date yako 3 may 13 una umri wa mie 6 takriban Jf ! So far ni mgeni , si kosa lako.
Tatizo ugeni mi ni Baba wala sio Kaka.
Sawasawa amazing ?

Hahahahahaahaahahahahaaaaaaaaa "haya dada"
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa....unauweza ukewenza kwani?

Btw mi nakuamini wewe unauweza! Nakuamini sana kwa mibusara yako!
Au unasemaje my Chief-wife ?
You will remain at your position for all means !
 
Back
Top Bottom