As far as I know the fate of TV1 is not yet known
Though kuna rumors leo itarudi ila sio from trusted source
Watu nilikuwa nikiwambia enzi tv1 imeingia sokoni niliona ikizima mara moja tu kwa week nzima na reason was card zilikua blocked maana after sometimes hawa jamaa wanafanya Card authoriation
Same story happened last thursday I think,by tuesday walirudisha baadhi ya Port kama testing ila kurudi kwa hizo port kulikua based on the fact kwamba wapewe tu
#Trusted_clients na si vinginevyo isije trial ikapigwa tena
Ila story ilonifikia jana ni kwamba cards zimekua blocked tena na since then sina communication nzuri na one of accounts manager maana nae anasema server owner hasomeki hewani vizuri
Ni vema kujua wao nao wanapenda hela na ukisikia A1,Killer sijui TV1 sijui BestcamHD we jua hao wajasilia mali tofauti lazima ujue almost all servers zina run under mikono ya waafrica usijefikiria labda wachina wanataka kukutapeli au nn?
China ni simply medium of linking us maana there is no way wataweza kuwashika hivo wanaweza kuuuza hivi vifaa bila shida Hivo usije danganyika eti wachina sijui wamesimamisha server moja ili wauze server nyingine huo ni uhongo nje nje
What I know Card sharing is not easy game maana ni ushindani kati ya wamiliki wa Irdeto2 na wachakachuaji wa mtaani ambao walikosa ajira hivo lazima ujue hamna IKS acct itadumu milele lazima one time tu zife more especially kama hazija make profit ya kutosha
Meanwhile kuna Backups
1.Azsky
2.BestcamHD
3.Killer CCcam
Na natoa test kwa wote inaweza isiwe stable zaidi ila personal account ni stable zaidi
server: bestcamfree.zapto.org
port: 33001
usr: bestcam
pswd: bestcam
whatsapp +255753932250
you can give feedback shida zilipo,mwenye server is at my hand ntamjulisha atarekebisha lkn lazima hiyo shida uki notice na mm mwenye premium acct nyumbani niweze ku notice huo ukweli